secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Ndiyo maana Mimi ili kuonesha ukongwe wangu basi yeyote atayenilenga kwa manati Mimi humrushia kombora zito la kibalistiki.Wanatuonea sana bwashe just imagine nilianzisha uzi wenye ujumbe mzuri tu halafu cha ajabu niliambulia comments zako na za miamba Seran secretarybird Red black na raraa reree ila dada ShesRise_1 alipata wachangiaji wa kutosha kisa tu kaanzisha uzi wa "Kwenye mapenzi nani anamkula mwenzake"
Heshima inakuja yenyewe.