Humu JF kuna kasumba ya kuwa dharau wale join 2020 kuendelea

Humu JF kuna kasumba ya kuwa dharau wale join 2020 kuendelea

Hili jambo nimeliona sana hasa kwa wale wakongwe wanalitumia hili kama ngao😅

Unaweza ona join 2020 au 2026 ila ni joini 2007 , anaijua jf kuliko wewe kiazi wa hapo join 2010 sijui join 2017 😅

Kuna maoni ya watu yanapuuziwa tu kisa ni joini za miaka ya karibuni , unakuta kijana kama adriz ( jokes, usijali bwashee) wa hapa 2017 tu😅,ila anamtishia legend aliye kuja 2026 kwa parody lake tu na sio hoja😅


Asee jf tubadilke kabisa tudili na hoja na hoja binafsi na sio I'd ya mtu 🤔
Hakika mkuu ,hoja kwanza.
 
Ndiyo, ni ushamba tu hakuna kingine. Unakuta mtu umemzidi kila kitu kuanzia elimu hadi umri ila sababu tu una ID mpya anajiona yeye mjanja kumbe debe tupu

JF ndio social media yenye watu wengi wa ego, self-esteem, ujuaji mwingi na kujiona bora bila sababu ya msingi. Hii ni social media, kwa sasa ina miaka karibu 20. Lazima watu/kizazi watakuwa wanapishana. Wanaingia kila leo humu na ndio uhai wa forum hii.

Hata social media zingine tunakuta watu, FB, Twitter n.k
 
Back
Top Bottom