MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
naam 😄Shkamoo bro😅
naam 😄Shkamoo bro😅
Sasa dem uliwe hivyo si unamstukia huyo kibaka au inakuwaje?Ndio maana kuna nyumbu , wana dai raraa reree ni min -me , ni I'd moja, yani jf ipo kukuvuruga tu, wewe endelea kujifanya mjanja ipo ipo utaliwa na I'd 10 za mtu mmoja tu🤣
Mi nilianza kutumia simu mwaka 2002 hivyo nipewe heshima yangu 😎Wacha iwe.. imagine mtu alikuwa na simu 2010? Huyo ni kikongwe recently
Apewe heshima yake
.
Unakuta mtu yuko zake Sudan kusini, lakini anawadharau ambao hatujabahatika kutoka nje ya nchi 🤣
Kwamba ulikuwa na cm wakati niko bado vidudu? Dosho huu uwongo mbona ni mzito 😹😹Mi nilianza kutumia simu mwaka 2002 hivyo nipewe heshima yangu 😎
😹😹 Chiwawa ndio nini?
Kumbe ndiye 😹😹Bwashee wewe ni mlevi tu, na siku hizi naskia wanakuita eti wewe ni chiwawa senior😂
ni vibaya kuita wakubwa zako waongo 😎😏Kwamba ulikuwa na cm wakati niko bado vidudu? Dosho huu uwongo mbona ni mzito 😹😹
Kuhisi tu kwamba unadharauliwa ni kukosa kujiamini. Mtu kajiunga 2020 lakini kiumri huenda ni mtu mzima kuliko aliyejiunga 2010, mambo ya ekspozha au bahati pia yanahusika, binafsi sikuwa na bahati ya kuifaham jf mapema, huenda 2006 wakati ikiwa jambo(?) ningejuinga maana nilishakuwa active mitandaoni.Joined date ya mtu,haiwezi kua ndio justification ya kumuona mtu ni mtoto wa juzi kisa kajoin 2026,
Kwahiyo wale wote ambao sio member wa JF,ina maana kua sisi ni wakubwa kwao?
Marehemu mzee Mpiri bila shaka hakua na ID humu,so sisi tulikua ni wakubwa kwake?
Hata Julius Nyerere kwakuwa hukuwa memba humu kuna watu watamwona ni mdogo.Joined date ya mtu,haiwezi kua ndio justification ya kumuona mtu ni mtoto wa juzi kisa kajoin 2026,
Kwahiyo wale wote ambao sio member wa JF,ina maana kua sisi ni wakubwa kwao?
Marehemu mzee Mpiri bila shaka hakua na ID humu,so sisi tulikua ni wakubwa kwake?
Oooh! My gwaaaadni vibaya kuita wakubwa zako waongo 😎😏