min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Zamani ubabe ni kila sehemu, nashangaa watoto wa siku hizi wanapendana. Huenda zamani ubabe ulikuwa kama sehemu ya kupoteza muda na bururani, siku hizi watu wameangalia mpira wanasimuliana, wote wanafuatikia muziki, movies n.k. hawana muda ya kutunishiana misuli.Kulikuwa na ubabe wa kifala mashuleni, mi nakumbuka 2003 naanza form one, Kantalamba Boys. Kuna jamaa mmoja wa form six akaja kukagua tranka langu, akakuta kuna blueband, tomato sauce bimkubwa kanipa kutoka home. Akachukua, basi ndio siku nikawa maarufu pale shule. 😊
Mkuu hii issue unapotosha au hukuielewa,
Humu zamani kulikua na nyuzi zinaibuka kutuponda wabeba box,mtu anafungua uzi kuponda wabeba box mpaka unamshangaa,unahisi labda ni stress za maisha tu,ndio anatafuta faraja,
Ila siku hizi badala ya kuponda wabeba box,wao ndio wanaomba connection! Kumbuka kua,hii JF wakati ina anza,member wengi walikua ni diaspora coz ndio walikua na internet connection kabla ya simu kusambaa huko,
Wakati mmezimiwa Internet huko kwenye uchaguzi,humu tulibaki member kama 10 au 15 tu ndio tulikua active,
Diaspora hawakuwahi kumdharau mtu ila watu waliopo huko ndio walikua wanafungua nyuzi za kuwadhihaki diaspora ili pengine wapate faraja tu.
I find this chaotic ..Utatombwa , kujipendekeza kwa wanaume , acha huo ufala ongea kama mwanaume.
Mara nyingi ukishakuwa mtu wa ku-connect doti utajua kutenga utani na dharau. Nashangaa mtu anaona ametaniwa kumbe kadharauliwa/ katukanwa lakini yeye anabaki kufurahi tu.Ndio ninachosema mkuu. Utani unakuja na dharau kubwa sana.
Zamani ubabe ni kila sehemu, nashangaa watoto wa siku hizi wanapendana. Huenda zamani ubabe ulikuwa kama sehemu ya kupoteza muda na bururani, siku hizi watu wameangalia mpira wanasimuliana, wote wanafuatikia muziki, movies n.k. hawana muda ya kutunishiana misuli.
Nahesabu tu makombora 😂Utatombwa , kujipendekeza kwa wanaume , acha huo ufala ongea kama mwanaume.
Yeah, kabisa.Sasa siku hizi shule imeshakuwa rahisi, watoto wanaanza shule mapema. Elimu imeboreshwa mkuu.
Ile miaka tulipata tabu sana member wapya , wadogo na ambao sio maarufu . Nakumbuka Kuna uzi mmoja jamaa alikuwa attacked kisa umri wake wewe ukaja kuDefend kwa hoja zenye akili kumtetea yule attacked , siku hiyo nilifarijika sana na ujasiri wako , iliniongezea kujiamini na kunipa moyo wa kushiriki kwenye mijadala Jf japkuwa nilikuwa mdogo , enzi hizo umri wangu nilikuwa naficha sana sio kama sasa najiachia .Hivi kumbe min -me umejoin 2022 tu hapo 😀
Nyie new members kwa % kubwa mada zenu mnakuwa kama mmerukwa akili 😂
Nwei, WanaJF wana tabia ya kupuuza members mpya na kuna wengine wanaenda mbali zaidi ku-attack mtu sababu ni mdogo kiumri ( Hii ilikuwa sana miaka ile) namshukuru Mungu mimi sio mdogo tena
Yeah, kabisa.
Mbona malijendi tupo na hatuna hizo pigo mzee.Hili jambo nimeliona sana hasa kwa wale wakongwe wanalitumia hili kama ngao😅
Unaweza ona join 2020 au 2026 ila ni joini 2007 , anaijua jf kuliko wewe kiazi wa hapo join 2010 sijui join 2017 😅
Kuna maoni ya watu yanapuuziwa tu kisa ni joini za miaka ya karibuni , unakuta kijana kama adriz ( jokes, usijali bwashee) wa hapa 2017 tu😅,ila anamtishia legend aliye kuja 2026 kwa parody lake tu na sio hoja😅
Asee jf tubadilke kabisa tudili na hoja na hoja binafsi na sio I'd ya mtu 🤔
Poa. Jiandae kisaikolojia maana madogo wa Barca wako vyema sana.Poa mzee, ngoja nicheki zangu El-Classico. Real Madrid vs Barcelona. 😊
Kumbe ulikuwa active humu kipindi najiunga !Sembuse mke ana achwa ndio I'd? Nani asiye kujua siku unajiunga humu bwashee? Nani asiye jua chanzo cha utani wenu na mghayo ?tukisema madgo acheni ujuaji tunawajua bwashee 🤣
Poa. Jiandae kisaikolojia maana madogo wa Barca wako vyema sana.
Hili jambo nimeliona sana hasa kwa wale wakongwe wanalitumia hili kama ngao😅
Unaweza ona join 2020 au 2026 ila ni joini 2007 , anaijua jf kuliko wewe kiazi wa hapo join 2010 sijui join 2017 😅
Kuna maoni ya watu yanapuuziwa tu kisa ni joini za miaka ya karibuni , unakuta kijana kama adriz ( jokes, usijali bwashee) wa hapa 2017 tu😅,ila anamtishia legend aliye kuja 2026 kwa parody lake tu na sio hoja😅
Asee jf tubadilke kabisa tudili na hoja na hoja binafsi na sio I'd ya mtu 🤔
Nimeokoka kaka kwa sasa nguvu zangu nimewekeza kutafuta pesa kwanza, naona mambo si mbaya kwa sasa pesa inaingiaKumbe ulikuwa active humu kipindi najiunga !
Usikute nyinyi ndio wale mliokuwa mnadharau new members, madogo na watu ambao sio famous kipindi kile mpaka kukuanzishwa makapuku forum humu .
Enzi hizo Beira Boy alikuwa na nyuzi za kitoto za kuwala walimu shuleni sasa hivi Saint
NzunyaTujadili hoja, tusijikite sana kumjadili mtoa hoja.
Kujadili mtoa hoja sana badala ya hoja ndiyo mwanzo wa kufanya ad hominem logical fallacy.
Hoja ni hoja tu, bila kujali umri wa mtu, au kajiunga lini.
Pia, watu wapya/wadogo nao wana nafasi kubwa ya kuonesha mambo ambayo wakongwe tunayofanya vibaya kwa mazoea tu. Kutufundisha.
Hili somo kubwa sana nilifundishwa na Robert Rubin, former US Secretary of The Treasury, mtu aliyewahi kuwa na saini yake kwenye US dollar, nilipokuwa naanza kazi Wall St. miaka mingi nyuma.
Nilijifunza kitu kikubwa sana yule mkongwe hakuwekea mkazo kusisitiza mafunzo ya kutupa kutoka miaka yake alipokuwa Waziri wa Fedha wa Marekani. Yeye alisisitiza sisi vijana tuliokuwa tunatoka vyuoni, tutoe uzoefu wa dunia mpya, tukosoe wakongwe waliokuwa wanafanya kazi kwa mazoea kwa miaka mingi, bila woga. Kwenye dunia ya teknolonia inayobadilika kwa kasi sana mawazo mapya ni muhinu sana.
Baada ya kusema hayo, kuna changamoto upande wa pili pia.
Kiujumla zamani kuwa na mtandao ilikuwa kitu adimu. Ilibidi uwe mtu fulani kuwa na mtandao. Umesoma, umesafiri, una exposure fulani.
Kwa hiyo tulikuwa tunakutana watu wenye upevu fulani wa mawazo, mazungumzo yalikuwa ya kuelewana zaidi.
Siku hizi, teknolojia imekuwa rahisi, kila mtu ana mtandao, of course utakutana na watu wengi wa kajamba nani ambao hawaelewi mambo mengi, hawajui mantiki, hawana ustaarabu, hawajui tofauti ya hoja na kiroja,
Of course kujadiliana nao hao ni kazi sana.