Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Karibu chapati raahini na maharage
Una amini la mimi ku joini 2022 tu?😅😅😅😅
Wengi pengine hata akina aki na ukwaUmevamiwa na kina nan?
Hahahahhhhhh..... ule uzi nilidhani shes amedukuliwa na Binti wa zamani kumbe!!! na ShesRise_1 naye anawaza kukulana....Wanatuonea sana bwashe just imagine nilianzisha uzi wenye ujumbe mzuri tu halafu cha ajabu niliambulia comments zako na za miamba Seran secretarybird Red black na raraa reree ila dada ShesRise_1 alipata wachangiaji wa kutosha kisa tu kaanzisha uzi wa "Kwenye mapenzi nani anamkula mwenzake"
Wewe umejiunga jf lin?Umevamiwa na kina nan?
Hahahaha...... Chapatiii kwa sasa nimeziachaHahaha chapati sipendelei bwashee 😅
Kitu ambacho najivunia hapa Jf nimeJoin 2017 nimelikuta Jf ya ile ya moto inayompa mtu mpaka arosto .Hili jambo nimeliona sana hasa kwa wale wakongwe wanalitumia hili kama ngao😅
Unaweza ona join 2020 au 2026 ila ni joini 2007 , anaijua jf kuliko wewe kiazi wa hapo join 2010 sijui join 2017 😅
Kuna maoni ya watu yanapuuziwa tu kisa ni joini za miaka ya karibuni , unakuta kijana kama adriz ( jokes, usijali bwashee) wa hapa 2017 tu😅,ila anamtishia legend aliye kuja 2026 kwa parody lake tu na sio hoja😅
Asee jf tubadilke kabisa tudili na hoja na hoja binafsi na sio I'd ya mtu 🤔
Wakongwe brand inawabeba kumbuka hata wahuni huzeeka mkuuKitu ambacho najivunia hapa Jf nimeJoin 2017 nimelikuta Jf ya ile ya moto inayompa mtu mpaka arosto .
Kusema ukweli mtu akiwa joined kuanzia 2020 na kuendelea automatically Kuna kadharau huwa sisi MaLegend kanatuingia maana kipindi hiko ni zama za simu za mikopo na IDs nyingi za hovyo kama wakina Mpwayungu waliJoin zama hizo , na lazima tujiulize ulikuwa wapi au ulikuwa wapi wakati wenzako kipindi hiko tukaitoa na kutafuta madini Jf au ulikuwa unashinda Fesibuku ukishindana kujipost ? 😂 😆
Anyway , japo akili haipimwi na muda wa KuJoin Jf na Kuna wakongwe wengi tu Vilaza ila , 🆔 yako ikiwa joined chini ya 2020 Kuna kaConfidence kanaingia ndio maana loose Nut pamoja kuwa na IDs nyingi ila inamuuma mpaka Leo nilivyoizima ID yake kongwe ya Maghayo ambayo joined 2014. 🤣
Ukongwe Jf raha sometimes nanyanyasa watu unakuta namvimbia " mtu mwenyewe joined 2022 unajua nini kuhusu Jf wewe ?
Tunadharaulika sana bwashee 😂Hili jambo nimeliona sana hasa kwa wale wakongwe wanalitumia hili kama ngao😅
Unaweza ona join 2020 au 2026 ila ni joini 2007 , anaijua jf kuliko wewe kiazi wa hapo join 2010 sijui join 2017 😅
Kuna maoni ya watu yanapuuziwa tu kisa ni joini za miaka ya karibuni , unakuta kijana kama adriz ( jokes, usijali bwashee) wa hapa 2017 tu😅,ila anamtishia legend aliye kuja 2026 kwa parody lake tu na sio hoja😅
Asee jf tubadilke kabisa tudili na hoja na hoja binafsi na sio I'd ya mtu 🤔
Wanasema Wana 🆔 zao zamani watumie hizo , Mimi mtu nikamdharau mwaka alijiunga halafu aniambie mambo ya ID za zamani namuona kichwani loose Nut , kutolinda ID ni kukosa umakiniWatakaoheshimika ni wale waliotunza I'd zao hadi leo
Za 2006, 2008,2009 ,2010, 11,12,13,14,15,
Wengine mliozitelekeza halafu mnakuja kujitapa kuwa ni wakongwe, basi pambaneni na hali zenu
Kama mwenyewe umeshindwa kuwa mwaminifu kuilinda I'd yako ya zamani,unataka sisi utulazimishe kukubali kuwa ni mkongwe?
Tumia id zenu za zamani mpunguze kujieleza., especially kwa mnaotamani kuaminisha watu kama nyie ni wakongwe.
Kuwa new comer siyo dhambi Wala makosa.
Hakika mkuu si vema kumuignore mtu kisa new memberBinafsi huwa nashangaa sana mtu kumdharau mtu kisa ame jiunga karibuni
Eti 2023 wewe bado mtoto mdogo cant relate
Sembuse mke ana achwa ndio I'd? Nani asiye kujua siku unajiunga humu bwashee? Nani asiye jua chanzo cha utani wenu na mghayo ?tukisema madgo acheni ujuaji tunawajua bwashee 🤣Wanasema Wana 🆔 zao zamani watumie hizo , Mimi mtu nikamdharau mwaka alijiunga halafu aniambie mambo ya ID za zamani namuona kichwani loose Nut , kutolinda ID ni kukosa umakini
MamboNaamini nachokiona manake nikibisha hujajoin 2022 nna ushahidi? 😂