Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Ooh sawa, basi wabaya wangu woote nakwenda kuwapa ignoreKwa profile yake.. palipo andikwa ignore
Ooh sawa, basi wabaya wangu woote nakwenda kuwapa ignoreKwa profile yake.. palipo andikwa ignore
Disrespect mbona mpaka leo ipo kwenu, nyie wenyewe kwa wenyewe?Mkuu, kulikuwa na mashambulizi toka pande zote na dharau pia zilikuwepo. Hii fact kwamba diaspora ndio walikuwa wengi toka enzi za JamboForums siipingi. Ni ya kweli, lakini disrespect ilikuwepo kati ya pande hizo.
Hoja ya juzi kuzimwa Internet itoe mkuu, haina relevance na tunachoongelea. 😊
Acha kabisa ndugu yangu kiukweli mengi yaliyokuwepo miaka 08 hadi 10 nyuma humu jf hayawezi kujirudia tena.Fikiria tu kizazi cheni mna secretarybird kwa nini tusiwadharau ? 😂🤣
Enzi za Jf together party mlikuwepo ? kitambo na hicho tunakutana pamoja .
Kipindi hicho 2015 , 16 ,17 ,18 kosa vyote ila sio bando la Jf . Celebrities Kuna warumi , Chit chat Kuna show Kali kuwahi kutokea ya DJ sepetu akifanya interview na Warembo Jf , show ilikuwa 🔥 watu wanajaa mpaka Dada yangu Shadeeya anaunguza mboga nyie 2020 mtatuambia Nini ? 🤣
Kuna mengi sana Jf 2020 mmekosa , hamjajui na sidhani kama yatakuja tena
Uuwiiii!Ndiyo maana Mimi ili kuonesha ukongwe wangu basi yeyote atayenilenga kwa manati Mimi humrushia kombora zito la kibalistiki.
Heshima inakuja yenyewe.
Beira alikuwa fala sana 😁, aliyeharibu JF ni Joseverest mzee wa siti ya kwanzaKumbe ulikuwa active humu kipindi najiunga !
Usikute nyinyi ndio wale mliokuwa mnadharau new members, madogo na watu ambao sio famous kipindi kile mpaka kukuanzishwa makapuku forum humu .
Enzi hizo Beira Boy alikuwa na nyuzi za kitoto za kuwala walimu shuleni sasa hivi Saint
Mkuu,unaonaje wewe ulete hiyo mijadala yenye tija ili tuwazidi hawa unaowaita vilaza na wabishi usela mavi,ujuaji mwingiii?Jf kama imepoa vile kwa mijadala yenye tija ..Nakumbuka nilikua nalala usiku mbovu nasoma mijadala tu asubuhi ukiwa unaenda kazini uko kwenye gari ni jf tu fb hata mda sina.Sasa hivi wamejaa vilaza na wabishi usela mavi,ujuaji mwingiii tunawachola tu maana kama shule tulisha kula shule zamani humu jf level za phd.
Sio kila mtu ni mwandishi mzuri wa mada wengine kuchangia tu inatosha tatizo sasa hivi wamejaa wajuaji na ukitaka kumwelekeza unakutana na tusi zitoMkuu,unaonaje wewe ulete hiyo mijadala yenye tija ili tuwazidi hawa unaowaita vilaza na wabishi usela mavi,ujuaji mwingiii?
Respect online should depend on a person's character,actions and conduct rather than the date they joined a social media platform.Mi nilianza kutumia simu mwaka 2002 hivyo nipewe heshima yangu 😎
PoaMambo
Mambo
ki ufupi wageni ni wageni wakitaka heshima warudi kwa ID zilizowaleta JFWatakaoheshimika ni wale waliotunza I'd zao hadi leo, Za 2006, 2008,2009 ,2010, 11,12,13,14,15 nk.
Wengine mliozitelekeza halafu mnakuja kujitapa kuwa ni wakongwe, basi pambaneni na hali zenu.
Kama mwenyewe umeshindwa kuwa mwaminifu kuilinda ID yako ya zamani,unataka sisi utulazimishe kukubali kuwa ni mkongwe?
Tumia id zenu za zamani mpunguze kujieleza., especially kwa mnaotamani kuaminisha watu kama nyie ni wakongwe.
Kuwa new comer siyo dhambi Wala makosa.
Ile miaka tulipata tabu sana member wapya , wadogo na ambao sio maarufu . Nakumbuka Kuna uzi mmoja jamaa alikuwa attacked kisa umri wake wewe ukaja kuDefend kwa hoja zenye akili kumtetea yule attacked , siku hiyo nilifarijika sana na ujasiri wako , iliniongezea kujiamini na kunipa moyo wa kushiriki kwenye mijadala Jf japkuwa nilikuwa mdogo , enzi hizo umri wangu nilikuwa naficha sana sio kama sasa najiachia .
Siku hiyo ndio ilikuwa mwanzo wa kuikariri ID yako na nikakuona smart sana na ni mtetezi wa madogo wa Jf tunaodharauriwa .
Hawa joined 2020 wa sasa washukuru kuikuta Jf hivi wanapata reply na likes , zamani new members kupata reaction ilikuwa ngumu sana watu wanachat wenyewe kwa wenyewe wakongwe tupu , unakuta Uzi wako umeanzisha kinakuja kikundi kubebishana na kupiga soga , mtu una MQuote vitu vya maana anapuuza kukujibu kisa mgeni anawajibu wengine dah !
Mambo