Humu JF kuna kasumba ya kuwa dharau wale join 2020 kuendelea

Humu JF kuna kasumba ya kuwa dharau wale join 2020 kuendelea

Mpaka sasa JF inaleta arosto,
Labda wewe tu ndio utakua umezeeka mkuu.

😀
Sina arosto kabisa ila ni kwa sababu tu kuna threads huwa nazifuatilia kuongeza maarifa. Kinachoshusha thamani nowadays watu wanashambuliana kwa mionekano yao sio kushindana kwa hoja. Mbona zamani tulikuwa tunapangq tunakutana sehemu tunapiga story fresh tu na tunaburudika bila hata kujuana kwa ids ?
 
Fikiria tu kizazi cheni mna secretarybird kwa nini tusiwadharau ? 😂🤣

Enzi za Jf together party mlikuwepo ? kitambo na hicho tunakutana pamoja .

Kipindi hicho 2015 , 16 ,17 ,18 kosa vyote ila sio bando la Jf . Celebrities Kuna warumi , Chit chat Kuna show Kali kuwahi kutokea ya DJ sepetu akifanya interview na Warembo Jf , show ilikuwa 🔥 watu wanajaa mpaka Dada yangu Shadeeya anaunguza mboga nyie 2020 mtatuambia Nini ? 🤣

Kuna mengi sana Jf 2020 mmekosa , hamjajui na sidhani kama yatakuja tena
Fsnyeni mpango yajirudie bwana, this jf is becoming so dull guys

JF imepoa sana, watz mbona hatuna creativity?

Watu watengeneza hata magroup bwana kuwe na kiingilio, kuwe na watu wenye maono ya pamoja, kuwe na something that makes this platform chanzo cha vitu vikubwa sasa yaani platform imekaa kiboya saan
 
ki ufupi wageni ni wageni wakitaka heshima warudi kwa ID zilizowaleta JF

Wana nyea kambi halafu wana force heshima.heshima kwa ID MPYA heshima which
Kama hawezi kurudi kwa ID ya zamani kama anavyosema Yeye Mkongwe, Basi asubiri 2040 awe Mkongwe.

Otherwise atadharaulika tu maana hata michango yake inaendana sana na mwaka aliojoin.

Huwezi kutunza ID, usijiite Mkongwe.
Wenye heshima ya kupewa ukongwe ni wenye ID kongwe.
 
Sina arosto kabisa ila ni kwa sababu tu kuna threads huwa nazifuatilia kuongeza maarifa. Kinachoshusha thamani nowadays watu wanashambuliana kwa mionekano yao sio kushindana kwa hoja. Mbona zamani tulikuwa tunapangq tunakutana sehemu tunapiga story fresh tu na tunaburudika bila hata kujuana kwa ids ?
Wazee,muda wenu umepita,mlee tu wajukuu kwa sasa,
Mitandao ya leo sio ya jana,mambo yanabadilika,

Umri ukienda,kila kitu unakua unakiona ni kibaya au ni cha kitoto.

😀
 
Kama kawezi kurudi kwa ID ya zamani kama anavyosema Yeye Mkongwe, Basi asubiri 2040 awe Mkongwe.

Otherwise atadharaulika tu maana hata michango yake inaendana sana na mwaka aliojoin.

Huwezi kutunza ID, usijiite Mkongwe.
Wenye heshima ya kupewa ukongwe ni wenye ID kongwe.
Kukimbia I'd yako Kongwe ni udhaifu mkubwa aisee halafu unataka kushindana ma watu ambao wamedumu na I'd zaidi ya miaka 15 ? Tupewe heshima zetu kwa kustahamili shuruba zote na tumekuwa imara kwa kila hali
 
Wazee,muda wenu umepita,mlee tu wajukuu kwa sasa,
Mitandao ya leo sio ya jana,mambo yanabadilika,

Umri ukienda,kila kitu unakua unakiona ni kibaya au ni cha kitoto.

😀
Uzuri ni kwamba hakuna kitu cha kitoto ila mapokeo tu ndio huwa yanaleta tafsiri tofauti.

Mambo kubadilika nayo huchangia kupunguza ile hali ya kutaka kwenda nayo sambamba maana kuna maisha mengine nje ya humu nayo yanatusubiri.

Sasa Mkuu kwa mfano kama sasa hivi hizi I'd za 2020 + zinavimba na kujiona zinajua kila kitu na zimetoboa life na zinakula sana mishangazi halafu hapo hapo ikifika mida ya mchana zinaanzisha uzi wa kuomba elfu tatu zikapate msosi , wewe hapo unapaonaje ? 😀

Matùmizi mabaya ya Mtandao?
Thamani ya Mtandao imeshuka ?

Kumbuka zama zile 500 MB unazinunua kwa sh 7000
 
Uzuri ni kwamba hakuna kitu cha kitoto ila mapokeo tu ndio huwa yanaleta tafsiri tofauti.

Mambo kubadilika nayo huchangia kupunguza ile hali ya kutaka kwenda nayo sambamba maana kuna maisha mengine nje ya humu nayo yanatusubiri.

Sasa Mkuu kwa mfano kama sasa hivi hizi I'd za 2020 + zinavimba na kujiona zinajua kila kitu na zimetoboa life na zinakula sana mishandling halafu hapo hapo ikifika mida ya mchana zinaanzisha uzi wa kuomba elfu tatu zikapate msosi , wewe hapo unapaonaje ? 😀

Matùmizi mabaya ya Mtandao?
Thamani ya Mtandao imeshuka ?

Kumbuka zama zile 500 MB unazinunua kwa sh 7000
Au unamkuta min -me muda wote ananuka Pombe tu.
Ukija kwa BICHWA KOMWE - ukitaka kusoma comment zake,lazima kwanza uangalie kama watoto wako mbali na wewe.
 
Ndiyo lengo la ughost (anonymity) iliyopo humu Mkuu, mnachimbana mkwara bila kujuana.

Unakuta mwanafunzi anamchimba mkwara Mwalimu wake bila kujua yaani 😅

Anyways, twende mbele turudi nyuma, naomba hao wajukuu kwenye profile waniletee Kiko babu yao

Hii alosto itaniua Mzee wenu 🤪
 
Kuna utoto wa kubadili badili Id au mtu mmoja unakuwa na Id mbili za nini? Au ni faida gani mtu unaipata ukiwa na Id zaidi ya moja? Sasa wengine wameenda mbali Id moja ya kiume nyingine ya kike mtu mmoja what for?
 
Back
Top Bottom