Kweli tena Babu 😂 , ungeongea kwa kisukuma basiWe kajamaa kaongo kaongo alafu kajivuni😀😀eti kalikuwepo toka 2018 kanaomba ushauri ila wewe kajamaa kaongo
Abeee!Hili jambo nimeliona sana hasa kwa wale wakongwe wanalitumia hili kama ngao😅
Unaweza ona join 2020 au 2026 ila ni joini 2007 , anaijua jf kuliko wewe kiazi wa hapo join 2010 sijui join 2017 😅
Kuna maoni ya watu yanapuuziwa tu kisa ni joini za miaka ya karibuni , unakuta kijana kama adriz ( jokes, usijali bwashee) wa hapa 2017 tu😅,ila anamtishia legend aliye kuja 2026 kwa parody lake tu na sio hoja😅
Asee jf tubadilke kabisa tudili na hoja na hoja binafsi na sio I'd ya mtu 🤔
Alafu we njuka acha kelele huna hata wiki humu😀😀Ndo maana mimi huwa nawachana makavu, uwe na ID ya 2006 kama Kiranga ama nani, I don't care. Age is just a number
Nimecheka hadi makebo yametikisikaAu unamkuta min -me muda wote ananuka Pombe tu.
Ukija kwa BICHWA KOMWE - ukitaka kusoma comment zake,lazima kwanza uangalie kama watoto wako mbali na wewe.

Wewe mwanamwali ilipotelea wapi?Abeee!
Nilifichwa jamaniWewe mwanamwali ilipotelea wapi?
Muheshimu Mkurugenzi basi sio una mtag kwenye nyuzi bila sababu za msingi.Hapana kaka mi mbona niko fresh hata Maxence Melo anatambua mchango wangu hapa jukwaani
Pole sanaNilifichwa jamani
Nipe hongera jamani 😝Pole sana
2003 una anza form one!Kulikuwa na ubabe wa kifala mashuleni, mi nakumbuka 2003 naanza form one, Kantalamba Boys. Kuna jamaa mmoja wa form six akaja kukagua tranka langu, akakuta kuna blueband, tomato sauce bimkubwa kanipa kutoka home. Akachukua, basi ndio siku nikawa maarufu pale shule. 😊
Na wewe muda wa kutuangalia sisi kua,hua tunaangalia joined ya mtu umeupata wapi?Muda wa kuangalia member flan kajoin lini huwa mnaupata wapi? Ili iweje?
Siku hizi watafanyiana aje ubabe wakati wote wamevaa suruali chini ya makalio,Zamani ubabe ni kila sehemu, nashangaa watoto wa siku hizi wanapendana. Huenda zamani ubabe ulikuwa kama sehemu ya kupoteza muda na bururani, siku hizi watu wameangalia mpira wanasimuliana, wote wanafuatikia muziki, movies n.k. hawana muda ya kutunishiana misuli.
Nilikuwa nadhani Chivundu atakuwa kwenye 50's huko 😃😃😃2003 una anza form one!
Kumbe humu tupo na wajukuu zetu aisee,
Kijana ukiingia humu uwe unasalimia wakubwa zako.
Kumbe na wewe ndio wale wale tu,au ndio kusema kila mkubwa ana mkubwa wake?Nilikuwa nadhani Chivundu atakuwa kwenye 50's huko 😃😃😃
Doh huo mwaka niko form 2 aisee
Kijana hebu nyoosha maneno hapa kwanza,Kulikuwa na ubabe wa kifala mashuleni, mi nakumbuka 2003 naanza form one, Kantalamba Boys. Kuna jamaa mmoja wa form six akaja kukagua tranka langu, akakuta kuna blueband, tomato sauce bimkubwa kanipa kutoka home. Akachukua, basi ndio siku nikawa maarufu pale shule. 😊
Kwisha habari yako,huna marindaNimecheka hadi makebo yametikisika![]()