The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Mkuu hilo bwabwa maarufu la JF lenye IDs 8 wala lisikuumize kichwa,huyo anaonekana tu hata kichwani hayupo sawa.Hao members waovu sana na kwa mujibu wa VAR ya The Icebreaker ni member mmoja kama gang vile.
Wamebadilisha majina ya members wengi kuwa matusi na viungo vya uzazi sasa Kuna uovu gani zaidi ya kuharibu jina la mtu bila makosa ?
Ndio members wanaoongoza kwa kuanzisha chokochoko za kidini kwa matusi , vita nk walijaribu Jf kuwa uwanja wa marumbano ya kidini .
Ni members wanaoongoza kuanzisha nyuzi za KuDiss watu kwa uovu kitu ambacho Cha kishamba hakikuwepo Jf . Hizi nyuzi mbili waliandika directly kuniDiss Mimi na Wana nyuzi nyingi wakifanya personal attack kwa members
1.
View attachment 3698944
2. Hii baada ya Mimi kuandika Uzi wa kurudi Jf View attachment 3698945
Hapa member mwingine kaandika Uzi mzuri , soma kwa makini comment ya kwanza kutokea Eli Cohen kufanya mashambulizi , huku si kuharibu Jf View attachment 3698948
Hapa ten huyu huyu Eli Cohen akimtukania wazazi wake member mkongwe mwenye heshima kubwa jukwaani Malcolm Lumumba kisa Malcom alichambia kuhusu Marekani na Israel kushindwa vita .View attachment 3698951