Humu JF kuna kasumba ya kuwa dharau wale join 2020 kuendelea

Humu JF kuna kasumba ya kuwa dharau wale join 2020 kuendelea

Beira alikuwa fala sana 😁, aliyeharibu JF ni Joseverest mzee wa siti ya kwanza
Beira Boy ule uduwanzi wake kipindi kile nilidhani alivyobadilika atakuja na ID mpya lakini kakomaa na hii hii , ni funzo kubwa sana kwa wanaokimbia IDs zao kuwa mtu ukibadilika na kuwa smart watu wanasahau maovu yako na kukuona mwenzao.

Zile nyuzi za Beira kipindi kile zilikuwa zinafurahisha sana , watu wanajaa kumshambulia kuwa anatunga stori lakini mwamba alikuwa anawakomalia 😂

Joseverest alikuwa kama AI robot vile kila Uzi yeye wa kwanza kuComment . Hizi story joined 2022 hawazijui 😂
 
Naona unawatambia Gen z wenzako.

😀
 
Kwisha habari yako,huna marinda
Katika watu ambao nimeshindwa kabisa niwaweke kwenye grp gani,basi ni huyo BICHWA KOMWE -
Huyu anaweza akawa tofauti kabisa na watu wanavyomfikiria,kuna muda hua anatema madini hasa ila muda mwingi anafanya mzaha,

Mimi naamini Bichwa ni mtu smart sana ila anafanya makusudi tu.
 
Kukimbia I'd yako Kongwe ni udhaifu mkubwa aisee halafu unataka kushindana ma watu ambao wamedumu na I'd zaidi ya miaka 15 ? Tupewe heshima zetu kwa kustahamili shuruba zote na tumekuwa imara kwa kila hali
Ukongwe ni pamoja na Kustahimili dhoruba zote na ukabaki na ID yako.
Sasa mtu anakimbia ID halafu anataka ajiweke kundi Moja sawa na ambao hawakukimbia ID zao.
Asubiri 2040 bila kukimbia ID,ataingia kwenye kundi lenu.
 
Naona unawatambia Gen z wenzako.

😀
Mimi nilikuwa mjanja wakati Gen Z wenzangu wanashinda fesibuku Mimi nipo Jf since nina miaka 15 ningejiunga zamani ila nilikuwa na kiswaswadu mpaka kujiunga inataka email , nikaja joined baada ya miaka miwili nilivyokuwa na smart phone at 17 age.

Vitu nilivyoshuhudia humu na kugain Gen Z wengi hawajapitia na mwakani In Shaa Allaah natimiza miaka kumi na kwa heshima ya kuwepo Jf nikiwa kwenye umri mdogo na kuweza kuBattle vyema positively nitamuomba mkuu Maxence Melo anipe cheo cha heshima cha Urais wa Ma Gen Z Jf kwenye
" 10 years Jf anniversary yangu " 🤣
 
Kuwa wewe pekee inatosha, kuwa low profile na achana na mambo ya validation au joined flani utaonekanaje
 
Bwashee ni ukweli usio na shaka, anguko la JF limeletwa na I'D nyingi kuanzia 2020+. Siku hizi hii forum haina addiction tena, kuna kipindi ilikuwa hukai dk 30 bila kulog in jamvini! Siku hizi naenda week mpaka mwezi au nikalog in halafu nakosa uzi wakusoma.

Kipindi hicho karibu kila jukwaa unakutana na uzi unavutia kiasi unashindwa uanze na uzi gani, kwanza wengi wetu humu jamvini ilituchukuwa muda kujiunga baada ya kuwa wasomaji kwa muda mrefu.

Waheshimiwe hawa wajomba wa miaka ya 2006 mpaka Tecno alivyokuja na T series zake, kiukweli hakuna kilaza miaka hiyo alikuwa na access ya internet achia mbali simu tu
Ilikuwa Jf ukikosa siku 2, unaweza ukaganda masaa 8 unasoma mijadala iliyokupita ..

Mtu kama The bold akitangazs kuwa siku flani anaachis uzi basi unakuta huo unajaa kwa comment wakisubiria uzi rasmi uje .

Mambo mengi ya kitoto na hovyo zimeletwa na IDs joined 2020 mtu kama Eli Cohen , Financial Analyst Forrest Gump etc wana haribu mpaka Majina ya members mfano "Makebo" wamepeleka kwenye maana nyingine na kuanzishia nyuzi kabisa, Vilaza kama hao Jf ya nyuma hata nguvu ya kuandika Uzi wasingepata sababu hakukuwa na chance ya kusapoti na kuvimilia ujinga wa kiasi hiko
 
Mkuu hata wewe unazingua kwanini kuatack members hao?
 
Fsnyeni mpango yajirudie bwana, this jf is becoming so dull guys

JF imepoa sana, watz mbona hatuna creativity?

Watu watengeneza hata magroup bwana kuwe na kiingilio, kuwe na watu wenye maono ya pamoja, kuwe na something that makes this platform chanzo cha vitu vikubwa sasa yaani platform imekaa kiboya saan
Mtu kama The bold ilikuwa akitangaza kuwa anakuja na uzi, huo Uzi wenyewe unajaa kabla ya Uzi rasmi watu wapo live wanasubiri Uzi .

Ukisema hivyo watu wanasema anza wewe kuleta creativity kwani ni sehemu ya Jf 😂
 
Ni ujinga na ujinga ndo umekithiri humu
 
Mkuu hata wewe unazingua kwanini kuatack members hao?
Hao members waovu sana na kwa mujibu wa VAR ya The Icebreaker ni member mmoja kama gang vile.

Wamebadilisha majina ya members wengi kuwa matusi na viungo vya uzazi sasa Kuna uovu gani zaidi ya kuharibu jina la mtu bila makosa ?

Ndio members wanaoongoza kwa kuanzisha chokochoko za kidini kwa matusi , vita nk walijaribu Jf kuwa uwanja wa marumbano ya kidini .

Ni members wanaoongoza kuanzisha nyuzi za KuDiss watu kwa uovu kitu ambacho Cha kishamba hakikuwepo Jf . Hizi nyuzi mbili waliandika directly kuniDiss Mimi na Wana nyuzi nyingi wakifanya personal attack kwa members

1.

IMG_20261026_131454.jpg

2. Hii baada ya Mimi kuandika Uzi wa kurudi Jf
IMG_20261026_131421.jpg

Hapa member mwingine kaandika Uzi mzuri , soma kwa makini comment ya kwanza kutokea Eli Cohen kufanya mashambulizi , huku si kuharibu Jf
IMG_20261026_131919.jpg

Hapa ten huyu huyu Eli Cohen akimtukania wazazi wake member mkongwe mwenye heshima kubwa jukwaani Malcolm Lumumba kisa Malcom alichambia kuhusu Marekani na Israel kushindwa vita .
IMG_20261026_131841.jpg
 
Back
Top Bottom