The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Au unakuta labda Mo ana id yake fake humu,halafu kuna kakijana kaendesha Bodaboda kanamwambia ''Tafuta hela,hama hapo kwa shemeji yako''Ndiyo lengo la ughost (anonymity) iliyopo humu Mkuu, mnachimbana mkwara bila kujuana.
Unakuta mwanafunzi anamchimba mkwara Mwalimu wake bila kujua yaani 😅
Anyways, twende mbele turudi nyuma, naomba hao wajukuu kwenye profile waniletee Kiko babu yao
Hii alosto itaniua Mzee wenu 🤪