Hata aliepo Marekani, hapaswi kuwadharau wenzie waliopo kwenye nchi ya asili yake kwa vyovyote vile. Ni waafrika tuu ndio wana hizo mambo.
Bora JF ya sasa hivi kidogo, haya mamno yamepungua kuna miaka flani humu kulikuwa na battle kubwa sana kati ya diaspora na wenyeji. Ile battle wenyeji walishinda. Ndio maneno kama "kubeba box" yakaibuka.
Kuna miaka flani hii JF ilitaka kuonekana kama ni ya watu waliopo "majuu" au "kiwanja". Ilijifiaga hiyo dhana. 😊
Imebaki ni mtego wa kupatia mademu tuu, sisi huwa tunawachora tuu humu.