Humu JF kuna kasumba ya kuwa dharau wale join 2020 kuendelea

Humu JF kuna kasumba ya kuwa dharau wale join 2020 kuendelea

Watakaoheshimika ni wale waliotunza I'd zao hadi leo
Za 2006, 2008,2009 ,2010, 11,12,13,14,15,
Wengine mliozitelekeza halafu mnakuja kujitapa kuwa ni wakongwe, basi pambaneni na hali zenu
Kama mwenyewe umeshindwa kuwa mwaminifu kuilinda I'd yako ya zamani,unataka sisi utulazimishe kukubali kuwa ni mkongwe?
Tumia id zenu za zamani mpunguze kujieleza., especially kwa mnaotamani kuaminisha watu kama nyie ni wakongwe.

Kuwa new comer siyo dhambi Wala makosa.

Mkuu' Bora umerudi boss wangu... Nakuja kula keki
 
Anne Annee Anne kwani ungeongeza 16 ungepungukiwa nini jamani ee au ndo una uadui na sie utadhani tulimshauri anord trent akimbilie R madrid🤣🤣🤣🤣
Watakaoheshimika ni wale waliotunza I'd zao hadi leo
Za 2006, 2008,2009 ,2010, 11,12,13,14,15,
Wengine mliozitelekeza halafu mnakuja kujitapa kuwa ni wakongwe, basi pambaneni na hali zenu
Kama mwenyewe umeshindwa kuwa mwaminifu kuilinda I'd yako ya zamani,unataka sisi utulazimishe kukubali kuwa ni mkongwe?
Tumia id zenu za zamani mpunguze kujieleza., especially kwa mnaotamani kuaminisha watu kama nyie ni wakongwe.

Kuwa new comer siyo dhambi Wala makosa.
 
Wacha iwe.. imagine mtu alikuwa na simu 2010? Huyo ni kikongwe recently
Apewe heshima yake
Kweli na ulivyo wa moto lazima tusemekanae hatuna maana , ila join 2024 nimeona nimeona ni gen z ila umewazidi uzuri , nikisema nashambuliwa na winga visheti 🤣🤣 ila nasimamia ukweli , pisi za sasa jf zimezidiwa uzuri mara 100 na zile pisi zetu kina nyie depal🤣 watoto wazuri mnao nata kwa miongo sasa hapa jf 😅😅😅 , tunaonekana mbwiga😊
 
Back
Top Bottom