Jamani mbona mimi sipati wakugombana nae?Jinga wewe mkuu π π
Sema nini wapendanao ndio wagombanaoπ
Wewe utakuwa moderator haa haaKuna kipindi wakati hii app mpya anaanza mambo yaliyba kule piem, niliisoma piem za watu wengi sana hadi ninakanyoosha mikono juu π
Ngoja na mimi nitafute wakugombana naeSana!
Kaka ndege THIBITISHIA UMMA kaka ππHii ndiyo kusema kuwa, usipendelee kuchukua upanda na kuanza kurusha makombora ukiona bibie na babue wanazozana kwenye jukwaa. Hao ni wapendanao kule piem.
Red black, ShesRise_1, na Seran njoo tuulinde huu uzi kwa wivu wa kupindukia, maana una mafunzo ndani yake.
Muone huyu jamaaaπ πWell said. Ugomvi wa jukwaani mara nyingi huletwa na wivu wa kimapenzi.
Wavu wa kinyegere haufai kitu.
Haaahaa π π€£ ngoja nikuchokozeeJamani mbona mimi sipati wakugombana nae?
Njoo tugombane πJamani mbona mimi sipati wakugombana nae?
Fanya hivyo ujionee kwa macho.Ngoja na mimi nitafute wakugombana nae