Humu Kumezubaa siku hizi...

Hahahaha, Mzee mwenzangu. Nimekuelewa ujue
 
Swadakta
Ninyi hamnijui ila kuna watu wananijua, akiexpose identity yangu wanaonijua watasema khaa kumbe Yule mdada anajiita Khantwe ni huyu mke wa mzee Abdu, halafu hata humu sitokuwa huru kama nilivyo sawa hivi nilivyojificha nyuma ya keyboard
 
Vijana wa siku hizi hawaendekezi starehe kama vijana wa zamani- January Marope
 
Ninyi hamnijui ila kuna watu wananijua, akiexpose identity yangu wanaonijua watasema khaa kumbe Yule mdada anajiita Khantwe ni huyu mke wa mzee Abdu, halafu hata humu sitokuwa huru kama nilivyo sawa hivi nilivyojificha nyuma ya keyboard
Usikute wewe ni mke wa Lugola
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Ha ha ha niliona akiambiwa hivyo nikakaa vizuri file lishushwe
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani kumbe hata wewe hunitakii mema kabisa, nimegundua watu wanaonipenda ni wachache sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…