Humu Kumezubaa siku hizi...

Humu Kumezubaa siku hizi...

Hapa enzi zetu wahenga kungekuwa na amsha amsha tunapeana address tu za maeneo ya matukio na tunakutana kweli na Kula bata na Biriani.
Lakini sasa hivi kimya, nyie vijana vipi? Mbona mmezubaa hivi? Hebu changamkeni! Kama kuna mtoto mzuri yupo hapa Liquid opposite TIA ajifanye kama anajikuna atakunywa na Kula bure hadi majogoo
Hahahaha, Mzee mwenzangu. Nimekuelewa ujue
 
Swadakta
Ninyi hamnijui ila kuna watu wananijua, akiexpose identity yangu wanaonijua watasema khaa kumbe Yule mdada anajiita Khantwe ni huyu mke wa mzee Abdu, halafu hata humu sitokuwa huru kama nilivyo sawa hivi nilivyojificha nyuma ya keyboard
 
Vijana wa siku hizi hawaendekezi starehe kama vijana wa zamani- January Marope
 
Ninyi hamnijui ila kuna watu wananijua, akiexpose identity yangu wanaonijua watasema khaa kumbe Yule mdada anajiita Khantwe ni huyu mke wa mzee Abdu, halafu hata humu sitokuwa huru kama nilivyo sawa hivi nilivyojificha nyuma ya keyboard
Usikute wewe ni mke wa Lugola
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Ha ha ha niliona akiambiwa hivyo nikakaa vizuri file lishushwe
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani kumbe hata wewe hunitakii mema kabisa, nimegundua watu wanaonipenda ni wachache sana
 
Back
Top Bottom