ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Uki-spend na mimi three hrs tu stress zitatoka wapi tena!!Mtaji kwanza nipunguze stress.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uki-spend na mimi three hrs tu stress zitatoka wapi tena!!Mtaji kwanza nipunguze stress.
Ila nikirudi nyumbani matatizo yapo palelape.Uki-spend na mimi three hrs tu stress zitatoka wapi tena!!
Tutatatua yale matatizo yanayoleta stress, mtaji wa vitumbua na hata mgahawa. Agatha mbona unaikimbia bahati...Ila nikirudi nyumbani matatizo yapo palelape.
Ndomana nikaomba ya mtaji kwanza ...ikitimia hiyo outing nitamtoa Mimi.Kila hela inatengwa kwa kazi maalum, ndio maana ya bajeti.
Tuanze na mtaji kwanza ili niwe nakutoa Mimi.Tutatatua yale matatizo yanayoleta stress, mtaji wa vitumbua na hata mgahawa. Agatha mbona unaikimbia bahati...
[emoji3][emoji3][emoji3] poleni hivi vitoto vimewaharibia sanaHivi vitoto vinavyofungua nyuzi vimefanya maisha ya mababzazi kuwa magumu sana!
Hiyo avatar ni wewe na mahondaw?
Laana ya pacha haijawahi kumuacha mtu salama. Nisamehe kaka yangu kipenzi[emoji120]Nitake radhi mimi sio bazazi, nitakulaani!
Kazi IPO.Subiri bajeti ya mtaji, ya bata ni ya bata.
Hata akikufungulia uzi kwan sisi tunakujua?Tatizo siku hizi kuchorana kwingi, leo mtu anakuita kwa umhiyari yake bila kushurutishwa na mtu kesho asubuhi anakuja kukufungulia uzi
Vijana mmekuwa wachoyo?