kalikalanje
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 226
- 285
mhhhMbona unajijibu mwenyewe nakujilike nakujichekesha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mhhhMbona unajijibu mwenyewe nakujilike nakujichekesha
😂😂😂😂😂Kwani ni uongoo sema bhana acha vitoto vya watu visome wewe hujaacha tu vile vimichezo vya shule mkeo anafadhaika sana haloo kwa kila mtumishi anataka mumewe acha videnti vya shule kwa sasa siupo na yule wa secondary ile kale keupe kapo kama paula kazuri kazuri ndio unajilia
Humu kuna wanaume wanaringa kama nini.
Sasa ukiwafuatilia kwa undani hata mbele nyuma hawajijui wapo tu.
Hawana pesa wala nini wote ni shida.
Good man , gentlemen nilazima mtu awe anapesa, source of investment.
Halafu ndio aringe sasa unapanga halafu bado wewe unapambania bidhaa ya mwanaume mwenzako ipate wateja ish hii inaitwa bado wewe ni mtumwa katika nchi yako.
Gari ya mikopo bado unakopa .
Eti unaoa lini bado nipo nipo woi huna hela .
Huna mwelekeo unasubiria alert ya ka 1 ml ionekane kwenye simu.
Kweli samahanini ila humu wanaoringa ni boyas .
Unapanga hadi leo umelogwa rudi kijijini kwenu ukatambikiwe unamikosi .
Huu mwaka wa 31 unapanga je tukikadiria miaka yako si miaka ya uhuru kabisaaa😂🤣🤣🤣 unatoa madongoo nahujui asha anamimba yako tena huidumii ukidai sio yangu kumbe hela huna badilikeni mna sonya wasichana mnaota wanawake wamajuu na unaishia baa kujidunga shida nini na ni ndoto tu uhalisia upo nani kina mwanaidi oa tulia miaka imeshaenda siku moja haitatoka maji wala povu .
Nikavu tu .
Hata uipike .
Shauri zenu .
Mapovu ruksa waliooa umiza kichwa tu hela hakunaga eti unamradi wakuku kuku wenyewe ni wakisasa
Naona umeamua kuja na mapicha picha! Hongera, kajitibie msongo wa mawazoUnajishaua wajameni ipo siku utaibika kama nini ipo siku yaani naiona nikwamba sihitaji kukusema maana walahi utazima simu .
Kama nini .......
Utablock hii account na mengi yakukuaibishia ila kwa sababu sina muda endelea na kunisumbua tu naushaidi wakutosha na hadi ulivyoo na maskani unavyoshea namabest zako mna lala kwa zamu ngoja niishie hapa inbox yangu nimetumiwa picha zakoo.
Wewe ni receptionist kwenye moja ya hotel mkoa wa dodoma na unabig mama fulani ambaye soon mume wake atajua naakisanuka umekwisha unajidai utamle a kwa shida na raha utafumuliwa na mwili wako wakuunga ungaa na hicho kiboxer hicho kitoyo maza anauliza unataka nini kisa ushamba eti toyo ambacho unaringishia kijijini kwenu .
Juzi hapa siumenunuliwa godoro ukatolewa pale maskani mliokuwa manalala kwa zamu ??
Halafu ile simu ya touch si yule demu alikununulia ukakunyang'anya kisa alisanuka mtampiga tungoo.
Ulikuwa unamwita demu wawatu mummeshee.
Sasa ngoja nikupe ukweli yule demu alikuchorea line ulikuwa urukishwe kichina china nawanajeshi kwanza unakumbuka kile kisa cha cheupe ulikoswa na pipe ??
Acha kufuatilia mali za watu utakuja kufaa.
Umebadili ID kisa yule mzee alisema atakutafuta mpaka humu.
Chezea watu na mali zao utaninginizwa karibuni
Shauri yako unakuja kunionea mimi sina hata time na wewe nakuheshimu sipendi maneno na mtu naishia hapa
Ila my intake dogoo huu mji sio mji kama jamii forum unajificha na avatar yako hapana huu umji unasakwa hata dar yule mzee atakusaka tu .
Ulikuja much no unajifanya wewe nikidume hadi na sasa anakutafuta amesema achana na mke wake unakwama wapi siutafute hata hao wageni wanaokuja hapo guestini kwenu uoe utulie .
Nayule dada wa IST mumewe afande mwenye cheo kaa tayari na timbwili lingine .
Hongera kwa kupata chumba na sebule na choo ndani umejitahidi .
Naona umeamua kuja na mapicha picha! Hongera, kajitibie msongo wa mawazo1ml huyo mama anajua wewe nyumbu hawezi kukupa wewe ni hela ya pamba na kifuta jasho tu kodi sianalipaga ya mwaka .
Sipendi kukuaibisha nakuheshimu ila picha ninazo tena zile ambazo amina alikupiga sikufutaga .
Naona umeamua kuja na mapicha picha! Hongera, kajitibie msongo wa mawazo. Haya mapichapicha unayoyaleta humu wanaonijua wanakucheka sana!Unakumbukaga lile sakata la kutembea na mke wa meneja ukakatwa nywele na mabaunsa nilizani ungetolewa kazi ,
Ila ubuyu enzo zile kumbe ulikuwa unatembea na mke wa bossy so ni meneja alibadilishiwa hoteli .
Je yule mama ambaye anakujaga kulala hapo hotelini kwenu ??
Mimi najua kila kitu kukuhusu .
Sijawahi hatakukuona ila napewa ubuyu fika na nikweli nawaheshimugi tu humu naninataniaga sana ila ukiniingilia anga zangu na kuingilia zako leo yule mzee nitamwambia avatar yako mpya .
Hata ukiishi na mwanamke ni shughuli upo busy unatumikia Taifa ila umri unayoyoma kipindi kile hadi sasa umri unayoyoma be care jenga basi hata kibanda mvua isikunyeshee .
Hiyo siku nikifanyiwa shopping na mdada si nitazirai! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Unamkumbuka yule mwanadada aliyekufanyiaga shopping akakufumania na yule manzi mmnywa pombe yule chembamba cheupe kile kibaamed , barabarani akapaki bodaboda na mabaunsa akakuvua nguo zote upo no men zisizisi is my mine wakanyakua na laptop ya mzee hadi naleo unalipia .
Home akaja akachoma nguo zote alizokununulia au hukumbuki kumbuka .
Eti unajiita sukari ya wanawake .
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ile kitu siimepinda kama komeo
Hayuko sawa huyu!! Stress ni ugonjwa mbaya sana [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We dada uko sawa??
Au umekosea kuquote??
Umenichekesha kichizi yani [emoji23][emoji23][emoji23]
Sukari ya wanawake my foot! Kajitibie wewe, naona unaropoka tu! Hata yasiyoeleweka!! Hueleweki hata kidogo zaidi ya kuandika stori na porojo!!Unamkumbuka yule mwanadada aliyekufanyiaga shopping akakufumania na yule manzi mmnywa pombe yule chembamba cheupe kile kibaamed , barabarani akapaki bodaboda na mabaunsa akakuvua nguo zote upo no men zisizisi is my mine wakanyakua na laptop ya mzee hadi naleo unalipia .
Home akaja akachoma nguo zote alizokununulia au hukumbuki kumbuka .
Eti unajiita sukari ya wanawake .
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ile kitu siimepinda kama komeo
Anafikiri kila mdada ni mswahili kama alivyo yeye Bora ulivyompa dozi ya maanaBitch plz....kwanza nahis umri nimekupita sana...
Hlf humu jf hatujajiunga juzi km wewe kuja kutafuta mandaga km wewe unavyopost post .wenzio tupo humu ku socialize ndio maana wala hatuhitaj tujulikane....
..unatafuta mume Jf....si ufala huo...manake mtaan kote washakushindwaa
Endele a kutumika[emoji1787]
Ulikuja Jf na higher expectation WAMEKUKULAAAA
BUREEE TENAAA
Eti kuku wenyewe wa kisasaHumu kuna wanaume wanaringa kama nini.