hizo ndio changamoto za wadada wa sasa...Hahaha
Yaani wewe ni changamoto
Niko poa hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu..[emoji23] [emoji23]Sidhani....
Ila la mno uko poa
Wanafundishana uchawi...hatari yake sasa...haponi mtu...Sijamuona siku nyingii bhana, Mshana ndo kiboko
Kunywa 40 nitalipaa...Natumia redbull
Asante kwa mara nyingine...Hongera kwa mara ingine
Hahahahizo ndio changamoto za wadada wa sasa...
Utasikia we mzee nimekupendaa...lakini sio kimapenzi, ooh au tufanye mara moja tu...[emoji1] [emoji1] [emoji1] mara moja my foot!! [emoji23] [emoji23]
no please...Hahaha
Kwa heri...
We unataka kila siku, utamuoa au atakuja kuoa mwanaume mwenzio
HeheheeNiko poa hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu..[emoji23] [emoji23]
HeheheeWanafundishana uchawi...hatari yake sasa...haponi mtu...
Ubazazi + uchawi =
Vipi mamy
Mie mbili zatoshaKunywa 40 nitalipaa...
ukinywa hizo utalewa?
KaribuAsante kwa mara nyingine...
Hujaelewa nini hapo, au ndo uzee wenyeweno please...
hapo chini umemaanisha nini?
I'm your bodyguard madamEwaaaa
Marahaba Nyagei, Hujambo mdogo wangu
I know that...I'm your bodyguard madam