Humu ndani kumepoa sana

Humu ndani kumepoa sana

hizo ndio changamoto za wadada wa sasa...
Utasikia we mzee nimekupendaa...lakini sio kimapenzi, ooh au tufanye mara moja tu...[emoji1] [emoji1] [emoji1] mara moja my foot!! [emoji23] [emoji23]
Hahaha
Kwa heri...
We unataka kila siku, utamuoa au atakuja kuoa mwanaume mwenzio
 
Niko poa hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu..[emoji23] [emoji23]
Hehehee
Hizo barua zilikuwa na maana kubwa kweli....

Usiwe unatutenga bhana, mie nilijua ulileft jf
 
Sawaaaa...nipendekezee...mshirikishe na espy plz...
sijui kaishia wapi huyu coz tokea haya mambo ya vyeti feki yaanze sijamsikia kabisa...[emoji1] [emoji1]
Yupo
Nitampa ujumbe huu amini jina utapata la ujana kabisaa
 
Daby Wee jamaa ni noma aisee... Huu ni uzi mkali wa wiki, sidhani kama utakuja kufunikwa
 
Back
Top Bottom