Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #61
Hakuna ukweli wowote hapo hizo ni personal beliefs na experience.. Sio universal truth..
Nakubali mtu kujitathmini ila swala la malezi ni baina ya hao watu wawili waliopendana. Shida ya mtoto kukataa mzazi ni ya mtoto. Imagine kuna watu wamezaa watoto kabisa na ni wao lakini mtoto anamkataa mzazi live. So issue kubwa ni how one is treated and how one faces the circumstances.
Aah,mie siwezi mtu anataka usipinge alichokiandika😁,Binafsi siwezi labda wewe
Masingo mama wanachukuliwa kama Takataka katika jamii ya wamatumbi.
Kwa wenzetu tofauti sana, they choose character
Hakuna ukweli wowote hapo hizo ni personal beliefs na experience.. Sio universal truth..
Nakubali mtu kujitathmini ila swala la malezi ni baina ya hao watu wawili waliopendana. Shida ya mtoto kukataa mzazi ni ya mtoto. Imagine kuna watu wamezaa watoto kabisa na ni wao lakini mtoto anamkataa mzazi live. So issue kubwa ni how one is treated and how one faces the circumstances.
Naelewa sana sasa kwanini kwenye mada yako umeyaweka as if ukishamweka ndani singo mama unakuwa na obligation ya kumlea?Mlezi au Baba wa kambo huna wajibu naye. Ila unaweza kujipa wajibu. Yaani ni hiyari. Sijui kama unaelewa haya mambo.
Binafsi siwezi labda wewe
Masingo mama wanachukuliwa kama Takataka katika jamii ya wamatumbi.
Kwa wenzetu tofauti sana, they choose character
Utayaishi maisha ya kuogopa mpaka unaingia kaburini? 😂 Jitetee Mfanye ajue kuwa hatuko sawa na asikuchukulie wakujaAah,mie siwezi mtu anataka usipinge alichokiandika😁,
AIVijana wa ki tibeli ndiyo vijana gani 😅
Basi hujui kitu mkuu..Wenzenu wapi? Unaishi wapi huko tuje tuone?
Kwenye filamu tunajionea.
Kwenye social media huko tunajionea.
Tuambie wapi.
Utasingizia wazungu. Labda hawa wazungu pori
Sijui hata kwakweli au ndo version ya pili ya wahadzabe? 😂 😂Vijana wa ki tibeli ndiyo vijana gani 😅
Kumbe okay basi wamesikia ushauri wake 😅
Sipendagi mtu mwenye kisukari,Sasa kama wewe ni mtu poa haunaga visirani japo unarushiwaga makombora humu.Utayaishi maisha ya kuogopa mpaka unaingia kaburini? 😂 Jitetee Mfanye ajue kuwa hatuko sawa na asikuchukulie wakuja
🤣🤣🤣🤣🤣,Kumbe okay basi wamesikia ushari wake 😅
Unajua kwa nini, ni kwasababu nipigiliaga msumari kwenye kichomi bila huruma.. Tena siku hizi nikiona mtu anarusha naona nimemkamatilia kisawasawa😁Sipendagi mtu mwenye kisukari,Sasa kama wewe ni mtu poa haunaga visirani japo unarushiwaga makombora humu.
Ai majibu yake utachoka😁😁Vijana wa ki tibeli ndiyo vijana gani 😅
Ngoja nikacheki😅Ai majibu yake utachoka😁😁
Hawa wote % kubwa wahudumiaji wa watoto wa kambo mkuu, unaweza kuta mtibeli katoka kulipa ada akililia penzi hajajua tu kuwa keshachangia sehemu yake kwa mtoto wa kambo.Mimi nimelelewa na baba wa kambo na alinipenda kama mwanae wa kumzaa na mimi nilihemshimu kama baba yangu mzazi na mpaka leo ninamheshimu sana licha ya kuwa alishafariki. Kwa wema wake huo leo hii nina maisha mazuri. Ninachojaribu kusema ni kwamba hizi mada zina agenda ambayo sio nzuri sana. Jitahidini kuwa fair kwenye judgements zenu.
Usimuache mke wako,hapa kwa wewe ni kuchukua tahadhari tu,ili ikija kutokea usije kujuta.Cha muhimu ni wewe kuwa karibu sana na Mungu akulinde usije kujidhuru siku moja.Hii kitu mbona ni nature,ukweli unaouma ni kuwa mtoto ana baba yake,haiwezikani akupende wewe kwakuwa unampenda mama ake,kingine nature ya wanawake hata kwenye ndoa za kawaida huwa akili yao yote ni watoto,hawezi akakuendekeza wewe amuache mwanaye,kwahiyo atafanya kila njia kuona kuwa mwanae anapata faraja ya kuwa karibu na baba yake halisi...Unatushauri nini sisi tuliooa wanawake tayari wana watoto zaidi ya wawili mkuu? Tuwaache au
ni vijana wanaofata sheria na kanuni za kitibeli ndo wanaitwa vijana wa kitibeliVijana wa ki tibeli ndiyo vijana gani