Huna sababu ya kuwa baba wa kambo hasa ukiwa chini ya miaka 45

Kwa hiyo wanatokaga kapa? Hahaha. Sawa sawa.

Mimi sina huo mtazamo kwamba wanawake ni walemavu, special group kwamba wao wanatakiwa kupewa tuu.

Nikikutana na mwanamke mwenye mawazo ya hivyo hamu inaisha, na ule uzuri (wa nyege nilizonazo) unaisha wote namwona kiuhalisia.

Bahati iliyoje kwamba wanawake wenye mtazamo wa wao sio walemavu ni wachache sana hivyo hii inanifanya nisifanye zinaa.
 
Reactions: Tsh

Acha kuongea usivyovijua

Hakuna sheria duniani, akhera, na kuzimu inayomlazimisha Baba wa kambo kumtunza mtoto asiye wake.

Kama makosa ni Yamazaki wawili umeona hapa nimezungumzia nini?

Kwa nini uwe Baba wa kambo ukiwa mdogo wakati unaweza ukaanzisha familia yako?
 
Process ya kupewa bure ina gharama ya muda wa kushawishiana. Kitu cha siku moja kinakuwa mwezi. Kama una familia ndo kabisaaa Total waste.
 
Kwa nini uwe Baba wa kambo ukiwa mdogo wakati unaweza ukaanzisha familia yako?
Hapa ndo mzizi wa fitna..
Kumbe unaangalia mtoto wa mwenza kwanza kabla ya upendo, nia na malengo uyatakayo? Achana na huu ujinga na kuwa manipulate vijana wasipate mwenza watakao kwa kigezo cha yeye kuzalishwa.. It's none of your business na haimpunguzii mtu kitu.
 
Process ya kupewa bure ina gharama ya muda wa kushawishiana. Kitu cha siku moja kinakuwa mwezi. Kama una familia ndo kabisaaa Total waste.

Yaani nipoteze muda kumshawishi mwanamke mwingine wakati Nina Wake zangu?
Really?

Mimi nipo direct. Demu mkali nimemwona. Namfuata. Namwambia nimemuelewa. Akianza kuleta za kuleta unamuacha. Huo muda wa kuzungushana sijui kupimana, sijui kubembelezana nilifanya nikiwa nasoma secondary.

Kingine, ukiwa na hali na muonekano fulani huo muda wa kushawishi wanawake huwezi kuwa nao. Wao wenyewe wataamua kama Nchimbi
 
Reactions: Tsh

Wewe ndio unawapotosha vijana.

Alafu none of my business kwani nakuhutubia wewe?
Nahutubia vijana wanaonielewa.

Kama unaona maslahi yako yanahatarishwa hiyo ni juu yako.

Hakunaga upendo wa kijinga ukaleta manufaa kwenye jamii. Ninachosema ndicho vijana wanatakiwa wakifuate.

Na mabinti wajichunge na kujilinda.
Hawataki hiyo ipo ndani ya hiyari yao
 
Basi only the ignorant and unaware people ndo wata buy into your BS
 
Hahaha, kumbe we mlengaji.

Mwabamke anakubali kwa sababu tatu:

1. Pesa.
2. Mahusiano. (Uwe mpenzi wake)
3. Awe na hamu ya tendo.

Kwa maelezo yako wewe unalenga wenye nyege kama wafanyavyo baadhi ya wanyama. Kwanini lakini? Embu wape pesa kidogo, si utapata zingine? Au unasemaje min -me ?
 

Alafu siku hizi wanawake wanamahitaji mengi ya kingono kuliko pesa. Nazungumzia wenye mishe zao achana na hawa ombaomba
 
Reactions: Tsh
Jomba labda kama nilishawahi kukupa mimba nikakutelekeza ndo unaweza kusema mimi ni msababishaji. Unawashambulia sana wanawake wenye watoto kama vile wamefanya dhambi isiyosameheka. Una nyuzi nyingi ukiwashambulia single mothers. Wanawake ndo huwa wanachukiana sio wewe mwanaume kuandika nyuzi za kikuda kushambulia wanawake.
 

Ni kwa sababu najua wewe ni mhusika. Na unakereka.
Mada zingine huzioni kwa sababu hazikuhusu.
Mtu anaona kile kilichopo akilini mwake. Hiyo ni saikolojia.

Mpaka unaona mada kama hizi wakati naandika mada zingine na sikuonagi. Ni wazi aidha wewe ni mtoto wa single mother,
Au umeoa single mother
Au umesababisha single mother
Au binti zako ni single mother

So unahaki
 
Kuwa mtoto wa single mother ni dhambi?
 
Imagine baba wa Kambo wa Isaya Yunge anavyojisikia sasa.Wewe pia unaweza kufa watoto wako wakalelewa na baba wa kambo mnaweza kuachana na mwenxa wako watoto wakalelewa na baba wa kambo.

Haiondoi wa ukweli wa nilichokisema.

Mimi nikifa,
Haiondoi ukweli wa changamoto atakazokutana nazo atakayekuja kuoa mke wangu au kuwalea watoto wangu.

Na lazima hizo changamoto wazijue mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…