Huna sababu ya kuwa baba wa kambo hasa ukiwa chini ya miaka 45

Wewe una siri yako binafsi kwenye hii chuki yako dhidi ya single mothers. Huwa unajitambulisha kama msabato ila sijawahi sikia wasabato wakifundisha kuwachukia watu. Acha chuki.

Mimi ni Mtibeli.
Usabato ni dhehebu tuu.

Kwenye hii Dunia kuna mambo hayatakufurahisha hasa yale yanayokugusa moja kwa moja. Hivyo jifunze kuyazoea tuu
 
Thank you Master
 
Labda nitoe kama zawadi kama ambavyo yeye anaweza kufanya.
Na huo sio wajibu ni hiyari
Upo sawa ila kama wewe ni bahili kweli the best approach ni kulipia na sio approach ya kulenga. Kulenga ina hadaa kwamba hujatumia pesa ila inatengeneza hidden I owe you sababu ya chemistry.
 
Upo sawa ila kama wewe ni bahili kweli the best approach ni kulipia na sio approach ya kulenga. Kulenga ina hadaa kwamba hujatumia pesa ila inatengeneza hidden I owe you sababu ya chemistry.

Unasema kweli
 
Reactions: Tsh
Ubaba wa kambo ni changamoto ya akili. Nashauri baba wa kambo waandaliwe department ya kuwapa matibabu pale milembe.
We jamaa kumbe huwa una vita vya kijinga na wanawake.. Nikajua huwa unapinga tabia mbaya kumbe mwanamke aliye zaa kwako ni adui?

What a pathetic mentality... Nini hasa inakufanya udhani kuwa baba wa kambo especially ukute mwanamke kafiwa na mumewe au tu akaamua kukimbia mwanaume narcissist ili wanawe asije kudhurika? Je kama kuna mwanaume mwenye uwezo na anampenda unataka tu kwasababu amezaa nje basi asihudumie huyo mtoto?
 
Utoto unakusumbua,najua vigezo vyako kabla vilikua bikra na maziwa yaliyosimama,hivyo havipo sasa na hii single mother itakutoka tu ukikomaa kifikra
 
Utoto unakusumbua,najua vigezo vyako kabla vilikua bikra na maziwa yaliyosimama,hivyo havipo sasa na hii single mother itakutoka tu ukikomaa kifikra

Sasa ulitaka kijana wa miaka 20-30 awaze kuoa wanawake wazee?

Kwetu tumefundishwa ukiwa kijana chukua mwanamke mbichi, teketeke sio ulete wazee.

Kuhusu bikira hilo ni muhimu sana kwa kijana wa Tibeli. Hilo tulishamalizana nalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…