Huna sura huna chura, nakusaidiaje

Kwa hiyo ndo umeamua kumdhalilisha dada yangu huku JF kwa vile kakunyima papuchi na domo zege lako au sio [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Dahhhh
Unamadharau sana.
Hivi kweli unatumia maneno haya kwa binadamu “kikasema”, “kikaniuliza”
Shame on you 🤬🤬
Ameshindwa kutambua ya kwamba binadamu hatuko sawa. I mean we are of different type
 
Ni vizuri tutakakosoana kwa tabia zetu na sio jinsi Mungu alivyotuumba huo Uhandsome au Urembo wako unaweza kupotea ndani ya dakika tu. Tumshukuru Mungu kwa kila jambo.
Na hawakuchagua kujiumba hivyo tena hamna mwanadamu awezaye kuongeza hata urefu wa kidole chake.
 
MUNGU alipomuumba alisema NI NJEMA. Wewe ni nani hata uhukumu uumbaji wake?
 
MUNGU alipomuumba alisema NI NJEMA. Wewe ni nani hata uhukumu uumbaji wake?
kwan mungu wanawake alimuumbia nani?

kama alijiumbia yeye sawa sipaswi kuhukumu ila kama aliniumbia mimi nakosoa tuu

atamnyimaje mtu vyote no sura even chura!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…