Huna sura huna chura, nakusaidiaje

Huna sura huna chura, nakusaidiaje

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
habarini wakuu poleni na majukumu, katika pita pita zangu mtaani nikakutana na binti mmoja hivi kwa kifupi mbaya maana hana sura wala chura

sikutaka kumsalimia maana nlimuona kama kisiriri kwangu hafiti popote ata kulia na ndimu hafai

Asa kumbe kinashida bwana, kama uwajuavyo hawa viumbe wakiwa na shida huwa hawachoki kujisalimisha kikasema mambo nikakiambia poa, kikaniuliza mzima nikakijibu ndio hofu kwako

Nilipokiambia hivo si ndo kikaanza kuelezea shida zake kwanza kikasema kina njaa balaa pili kikasema kuna sehemu inatakiwa kiende asa kimekwama nauli tatu mama yake anaumwa koo kinaomba nikiunge mkono kama nimeguswa

mi nkamwambia pole dada na matatizo ila mimi mwenyewe niko vibaya labda tukionana tena ntakusapoti

ila kimoyo moyo nikawa nawaza binti huna sura huna chura unasaidiwaje kwa mfano?

mjini ukiwa na kimoja kati ya sura au chura huwezi kosa sponsor
 
Hahahahahahahaha Mungu atusamehe makosa yetu
 
Ni vizuri tutakakosoana kwa tabia zetu na sio jinsi Mungu alivyotuumba huo Uhandsome au Urembo wako unaweza kupotea ndani ya dakika tu. Tumshukuru Mungu kwa kila jambo.
wanaotakiwa kumshukuru wale walopewa chura

kwa koment hiyo unaonesha huna chochote
 
Duh, hata kama huyo Binti ni tapeli lakini sababu ya kuomba msaada ni njema na wala sio huko ulivyofikiri.
Lakini pia hatma ya mtu huwezi ijua. na tatizo la binadam tunaangalia udhaifu /ubaya wa mtu kuliko uwezo wake
ata kama tapeli sio mbaya swali linakuja ana chura au sura
 
Mkuu maisha hayana formula leo yeye kesho wewe.


KAMA HAUWEZI KUMSAIDIA MTU ANGALIA USIMUUMIZE
 
Back
Top Bottom