Hungary, mjumbe wa NATO, yasema haitaruhusu NATO kupitishia silaha zake kwenye nchi hiyo kwenda Ukraine

Huyo ni mbinafsi,atoke NATO Ili akomae kivyake sasa yuko NATO kutaka nini?
 
Kwasababu hakuna mwanachama yoyote wa NATO alievuka mstari mwekundu wa Russia
Ukraine kavuka mstari gani mwekundu wa Russia? UK ana maelfu ya wanajeshi nchini Estonia kitu ambacho Russia hakitaki, lakini Russia kashindwa kufanya chochote kwa Estonia wala UK.
 
Ukraine kavuka mstari gani mwekundu wa Russia? UK ana maelfu ya wanajeshi nchini Estonia kitu ambacho Russia hakitaki, lakini Russia kashindwa kufanya chochote kwa Estonia wala UK.
Kumbe na wewe hujui kuwa Ukraine sio mwanachama wa NATO
 
Woga wake tu huyu kenge mizigo Ukraine inaingia kila leo tokea Poland na Romania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…