msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,280
- 7,903
Yaaa,,,wana uzoefu na athari za vitaNafikiri kanajua maana ya vita ndio sababu hakataki ushirika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaa,,,wana uzoefu na athari za vitaNafikiri kanajua maana ya vita ndio sababu hakataki ushirika.
Akijitoa NATO ndo atavamiwa kiraisi tu na Russia, kamwe Russia hawezi kuthubutu kuvamia mwanachama wa NATO.Si ajitoe NATO, anasubiri nini?.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hizi ndio habari nazopenda kuzisikia
Lesson well learned 😂!Nafikiri kanajua maana ya vita ndio sababu hakataki ushirika.
Huyo ni mbinafsi,atoke NATO Ili akomae kivyake sasa yuko NATO kutaka nini?Hungary ambayo imo katika umoja wa NATO imtoa msimamo wake kwa uwazi pasi na kumung'unya maneno kuwa haitatuma vikosi wala silaha kwenda Ukraine na wala haitaruhusu silaha kupitishwa kwenye ardhi yake ili kulinda amani ya nchi hiyo. Maneno hayo kayazungumza waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Peter Szijjarto jana jumatatu alipoitembelea Kosovo.
"Sababu ya kufanya uamuzi huu ni kwamba tukiruhusu kupitishwa silaha hizo itakuwa ni sababu ya Russia kufanya mashambulizi ya kivita kwenye ardhi yetu na sisi ktk tunataka kuhakikisha usalama na amani wa nchi yetu...hatutaki kuhusishwa kabisa na vita hiyo", Waziri huyo aliongea baada ya kufanya kikao na Waziri wa mambo ya nje wa Losovo bwana Donika Gervalla.
=======
![]()
Hungary will not allow lethal weapons for Ukraine to transit its territory - FM
Hungary will not send troops or weapons to Ukraine and will not allow lethal weapons to transit its territory in order to keep the country safe, Foreign Minister Peter Szijjarto said on Monday during a visit to Kosovo.www.reuters.com
PRISTINA, Feb 28 (Reuters) - Hungary will not send troops or weapons to Ukraine and will not allow lethal weapons to transit its territory in order to keep the country safe, Foreign Minister Peter Szijjarto said on Monday during a visit to Kosovo.
"The reason for making this decision is that such deliveries might become targets of hostile military action and ... we have to ensure the security of Hungary ... that we are not getting involved in that war," Szijjarto said after meeting Kosovo Foreign Minister Donika Gervalla.
Kwasababu hakuna mwanachama yoyote wa NATO alievuka mstari mwekundu wa RussiaAkijitoa NATO ndo atavamiwa kiraisi tu na Russia, kamwe Russia hawezi kuthubutu kuvamia mwanachama wa NATO.
Uchawa raha nani hapendi slopeHuyo ni mbinafsi,atoke NATO Ili akomae kivyake sasa yuko NATO kutaka nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Team Putin
biden hawezi hii,Sio utani, PUTIN anatisha.
Ile kauli yake ya atakayeingilia Hii vita, atakipata Cha mtema kuni.
Inawajambisha memba wote wa NATO , hakuna mtu anataoa kurushiwa jumba bovu[emoji2]View attachment 2135349
Kifua kama tumbo la mjusiSio utani, PUTIN anatisha.
Ile kauli yake ya atakayeingilia Hii vita, atakipata Cha mtema kuni.
Inawajambisha memba wote wa NATO , hakuna mtu anataoa kurushiwa jumba bovu[emoji2]View attachment 2135349
Ukraine kavuka mstari gani mwekundu wa Russia? UK ana maelfu ya wanajeshi nchini Estonia kitu ambacho Russia hakitaki, lakini Russia kashindwa kufanya chochote kwa Estonia wala UK.Kwasababu hakuna mwanachama yoyote wa NATO alievuka mstari mwekundu wa Russia
Kumbe na wewe hujui kuwa Ukraine sio mwanachama wa NATOUkraine kavuka mstari gani mwekundu wa Russia? UK ana maelfu ya wanajeshi nchini Estonia kitu ambacho Russia hakitaki, lakini Russia kashindwa kufanya chochote kwa Estonia wala UK.
Woga wake tu huyu kenge mizigo Ukraine inaingia kila leo tokea Poland na RomaniaHungary ambayo imo katika umoja wa NATO imtoa msimamo wake kwa uwazi pasi na kumung'unya maneno kuwa haitatuma vikosi wala silaha kwenda Ukraine na wala haitaruhusu silaha kupitishwa kwenye ardhi yake ili kulinda amani ya nchi hiyo. Maneno hayo kayazungumza waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Peter Szijjarto jana jumatatu alipoitembelea Kosovo.
"Sababu ya kufanya uamuzi huu ni kwamba tukiruhusu kupitishwa silaha hizo itakuwa ni sababu ya Russia kufanya mashambulizi ya kivita kwenye ardhi yetu na sisi ktk tunataka kuhakikisha usalama na amani wa nchi yetu...hatutaki kuhusishwa kabisa na vita hiyo", Waziri huyo aliongea baada ya kufanya kikao na Waziri wa mambo ya nje wa Losovo bwana Donika Gervalla.
=======
![]()
Hungary will not allow lethal weapons for Ukraine to transit its territory - FM
Hungary will not send troops or weapons to Ukraine and will not allow lethal weapons to transit its territory in order to keep the country safe, Foreign Minister Peter Szijjarto said on Monday during a visit to Kosovo.www.reuters.com
PRISTINA, Feb 28 (Reuters) - Hungary will not send troops or weapons to Ukraine and will not allow lethal weapons to transit its territory in order to keep the country safe, Foreign Minister Peter Szijjarto said on Monday during a visit to Kosovo.
"The reason for making this decision is that such deliveries might become targets of hostile military action and ... we have to ensure the security of Hungary ... that we are not getting involved in that war," Szijjarto said after meeting Kosovo Foreign Minister Donika Gervalla.
Si ajitoe NATO, anasubiri nini?.
Uwe unasoma na kuelewa usiwe unasoma tu, ni wapi nimesema Ukraine ni mwanachama wa NATO?Kumbe na wewe hujui kuwa Ukraine sio mwanachama wa NATO