Hungary, mjumbe wa NATO, yasema haitaruhusu NATO kupitishia silaha zake kwenye nchi hiyo kwenda Ukraine

Mauaji yataongezeka lakini usalama wa kudumu utakuwa wa uhakika na ilikuwa n wajibu wa NATO kuisaidia Ukraine haijalishi nn kitatokea
Kivipi NATO inawajibu wa kuisaidia Ukraine?!
 
Hungary imesema haitopiga kura yake ya veto ktk kuidhinisha vikwazo vya umoja wa nchi za Ukaya (EU) dhidi ya Russia.

Hiyo yafuatia msimamo wake iliyoutangaza mwanzoni mwa wiki hii kuwa nchi hiyo haitakubali silaha vita kupitishwa ktk ardhi yake kwenda Ukraine

 
Mkuu, unaamini media magharibi kweli?!
 
Kaicheza karata yake vizuri sana
 
Akijitoa NATO ndo atavamiwa kiraisi tu na Russia, kamwe Russia hawezi kuthubutu kuvamia mwanachama wa NATO.
Kuna ndege ya Romania jana ilipigwa kitu huko anga ya bahari ya black see hapohapo romania wakatuma helicopter kuifata hio ndege nayo ikapigwa, kuna kitu gani NATO imechukua hatua ?? Msijidanganye Urusi ataendelea kuwatandika nje ndani mpaka mtie akili, mwenye akili hawezi kuingilia hii vita kwa onyo lililotolewa
 
Ukraine kavuka mstari gani mwekundu wa Russia? UK ana maelfu ya wanajeshi nchini Estonia kitu ambacho Russia hakitaki, lakini Russia kashindwa kufanya chochote kwa Estonia wala UK.
Usisahau vita inapiganwa ndani ya Ukraine ndani ya Russia, pia usisahau Ukraine inajilinda kwa kuongezewa misaaada kutoka marekani na nchi karibia zote maana mpaka nilimuona mgana eti na yeye kavaa combat anaenda kupigana
 
Kwasababu hakuna mwanachama yoyote wa NATO alievuka mstari mwekundu wa Russia
Mstar mwekundu unauchorea kweny nchi ya mwenzio ? yaan mwenzio asijiunge NATO kisa mstari wako unapitia nchi yake hlf ww hujacholewa mstari mwekundu
 
Walisema zilidondoka sababu ya hali mbaya ya hewa. Au ilikuwa danganya toto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…