Hungary, mjumbe wa NATO, yasema haitaruhusu NATO kupitishia silaha zake kwenye nchi hiyo kwenda Ukraine

Hungary, mjumbe wa NATO, yasema haitaruhusu NATO kupitishia silaha zake kwenye nchi hiyo kwenda Ukraine

Mauaji yataongezeka lakini usalama wa kudumu utakuwa wa uhakika na ilikuwa n wajibu wa NATO kuisaidia Ukraine haijalishi nn kitatokea
Kivipi NATO inawajibu wa kuisaidia Ukraine?!
 
Hungary imesema haitopiga kura yake ya veto ktk kuidhinisha vikwazo vya umoja wa nchi za Ukaya (EU) dhidi ya Russia.

Hiyo yafuatia msimamo wake iliyoutangaza mwanzoni mwa wiki hii kuwa nchi hiyo haitakubali silaha vita kupitishwa ktk ardhi yake kwenda Ukraine

SmartSelect_20220303-140342_Chrome.jpg
 
Hungary ambayo imo katika umoja wa NATO imetoa msimamo wake kwa uwazi pasi na kumung'unya maneno kuwa haitatuma vikosi wala silaha kwenda Ukraine na wala haitaruhusu silaha kupitishwa kwenye ardhi yake ili kulinda amani ya nchi hiyo. Maneno hayo kayazungumza waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Peter Szijjarto jana jumatatu alipoitembelea Kosovo.

"Sababu ya kufanya uamuzi huu ni kwamba tukiruhusu kupitishwa silaha hizo itakuwa ni sababu ya Russia kufanya mashambulizi ya kivita kwenye ardhi yetu na sisi ktk tunataka kuhakikisha usalama na amani wa nchi yetu...hatutaki kuhusishwa kabisa na vita hiyo", Waziri huyo aliongea baada ya kufanya kikao na Waziri wa mambo ya nje wa Losovo bwana Donika Gervalla.
=======

PRISTINA, Feb 28 (Reuters) - Hungary will not send troops or weapons to Ukraine and will not allow lethal weapons to transit its territory in order to keep the country safe, Foreign Minister Peter Szijjarto said on Monday during a visit to Kosovo.

"The reason for making this decision is that such deliveries might become targets of hostile military action and ... we have to ensure the security of Hungary ... that we are not getting involved in that war," Szijjarto said after meeting Kosovo Foreign Minister Donika Gervalla.
Mkuu, unaamini media magharibi kweli?!
 
Hungary ambayo imo katika umoja wa NATO imetoa msimamo wake kwa uwazi pasi na kumung'unya maneno kuwa haitatuma vikosi wala silaha kwenda Ukraine na wala haitaruhusu silaha kupitishwa kwenye ardhi yake ili kulinda amani ya nchi hiyo.

Maneno hayo kayazungumza waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Peter Szijjarto jana jumatatu alipoitembelea Kosovo.

"Sababu ya kufanya uamuzi huu ni kwamba tukiruhusu kupitishwa silaha hizo itakuwa ni sababu ya Russia kufanya mashambulizi ya kivita kwenye ardhi yetu na sisi ktk tunataka kuhakikisha usalama na amani wa nchi yetu...hatutaki kuhusishwa kabisa na vita hiyo",

Waziri huyo aliongea baada ya kufanya kikao na Waziri wa mambo ya nje wa Losovo bwana Donika Gervalla.
=======

PRISTINA, Feb 28 (Reuters) - Hungary will not send troops or weapons to Ukraine and will not allow lethal weapons to transit its territory in order to keep the country safe, Foreign Minister Peter Szijjarto said on Monday during a visit to Kosovo.

"The reason for making this decision is that such deliveries might become targets of hostile military action and ... we have to ensure the security of Hungary ... that we are not getting involved in that war," Szijjarto said after meeting Kosovo Foreign Minister Donika Gervalla.
Kaicheza karata yake vizuri sana
 
Akijitoa NATO ndo atavamiwa kiraisi tu na Russia, kamwe Russia hawezi kuthubutu kuvamia mwanachama wa NATO.
Kuna ndege ya Romania jana ilipigwa kitu huko anga ya bahari ya black see hapohapo romania wakatuma helicopter kuifata hio ndege nayo ikapigwa, kuna kitu gani NATO imechukua hatua ?? Msijidanganye Urusi ataendelea kuwatandika nje ndani mpaka mtie akili, mwenye akili hawezi kuingilia hii vita kwa onyo lililotolewa
 
Ukraine kavuka mstari gani mwekundu wa Russia? UK ana maelfu ya wanajeshi nchini Estonia kitu ambacho Russia hakitaki, lakini Russia kashindwa kufanya chochote kwa Estonia wala UK.
Usisahau vita inapiganwa ndani ya Ukraine ndani ya Russia, pia usisahau Ukraine inajilinda kwa kuongezewa misaaada kutoka marekani na nchi karibia zote maana mpaka nilimuona mgana eti na yeye kavaa combat anaenda kupigana
 
Kwasababu hakuna mwanachama yoyote wa NATO alievuka mstari mwekundu wa Russia
Mstar mwekundu unauchorea kweny nchi ya mwenzio ? yaan mwenzio asijiunge NATO kisa mstari wako unapitia nchi yake hlf ww hujacholewa mstari mwekundu
 
Kuna ndege ya Romania jana ilipigwa kitu huko anga ya bahari ya black see hapohapo romania wakatuma helicopter kuifata hio ndege nayo ikapigwa, kuna kitu gani NATO imechukua hatua ?? Msijidanganye Urusi ataendelea kuwatandika nje ndani mpaka mtie akili, mwenye akili hawezi kuingilia hii vita kwa onyo lililotolewa
Walisema zilidondoka sababu ya hali mbaya ya hewa. Au ilikuwa danganya toto?
 
Back
Top Bottom