Hungary, mjumbe wa NATO, yasema haitaruhusu NATO kupitishia silaha zake kwenye nchi hiyo kwenda Ukraine

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Hungary ambayo imo katika umoja wa NATO imetoa msimamo wake kwa uwazi pasi na kumung'unya maneno kuwa haitatuma vikosi wala silaha kwenda Ukraine na wala haitaruhusu silaha kupitishwa kwenye ardhi yake ili kulinda amani ya nchi hiyo.

Maneno hayo kayazungumza waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Peter Szijjarto jana jumatatu alipoitembelea Kosovo.

"Sababu ya kufanya uamuzi huu ni kwamba tukiruhusu kupitishwa silaha hizo itakuwa ni sababu ya Russia kufanya mashambulizi ya kivita kwenye ardhi yetu na sisi ktk tunataka kuhakikisha usalama na amani wa nchi yetu...hatutaki kuhusishwa kabisa na vita hiyo",

Waziri huyo aliongea baada ya kufanya kikao na Waziri wa mambo ya nje wa Losovo bwana Donika Gervalla.
=======

PRISTINA, Feb 28 (Reuters) - Hungary will not send troops or weapons to Ukraine and will not allow lethal weapons to transit its territory in order to keep the country safe, Foreign Minister Peter Szijjarto said on Monday during a visit to Kosovo.

"The reason for making this decision is that such deliveries might become targets of hostile military action and ... we have to ensure the security of Hungary ... that we are not getting involved in that war," Szijjarto said after meeting Kosovo Foreign Minister Donika Gervalla.
 
Si ajitoe NATO, anasubiri nini?
Marekani ndio analazimisha huo umoja wa NATO kuwepo kwa sababu anautumia kutimiza malengo yake. Kama unakumbuka Trump alikuwa akilalamika kuwa nchi wanachama wa umoja huo michango yao katka umoja huo ni mdogo sana, mzigo wote wa gharama unabebwa na Marekani. Akataka awaongezee fees. Nchi kibao zikataka kujitoa ikabidi Trump mwenyewe atulize boli
 
Marekani ndio analazimisha huo umaja wa NATO kuwepo kwa sababu anautumia kutimiza malengo yake. Kama unakumbuka Trump alikuwa akilalamika kuwa nchi wanachama wa umoja huo michango yao katka umoja huo ni mdogo sana, mzigo wate wa gharama unabebwa na marekani. Akataka awaongezee fees. Nchi kibao zikataka kujitoa ikabidi Trump mwenyewe atulize boli
Kwani UN si America ndio anatoa mchango mkubwa pia kwani tatizo nini.
 
Sio utani, PUTIN anatisha.

Ile kauli yake ya atakayeingilia Hii vita, atakipata Cha mtema kuni.

Inawajambisha memba wote wa NATO , hakuna mtu anataoa kurushiwa jumba bovu[emoji2]
IMG_20220228_154956.jpg
 
Hungary ambayo imo katika umoja wa NATO imtoa msimamo wake kwa uwazi pasi na kumung'unya maneno kuwa haitatuma vikosi wala silaha kwenda Ukraine na wala haitaruhusu silaha kupitishwa kwenye ardhi yake ili kulinda amani ya nchi hiyo. Maneno hayo kayazungumza waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Peter Szijjarto jana jumatatu alipoitembelea Kosovo.

"Sababu ya kufanya uamuzi huu ni kwamba tukiruhusu kupitishwa silaha hizo itakuwa ni sababu ya Russia kufanya mashambulizi ya kivita kwenye ardhi yetu na sisi ktk tunataka kuhakikisha usalama na amani wa nchi yetu...hatutaki kuhusishwa kabisa na vita hiyo", Waziri huyo aliongea baada ya kufanya kikao na Waziri wa mambo ya nje wa Losovo bwana Donika Gervalla.
=======

PRISTINA, Feb 28 (Reuters) - Hungary will not send troops or weapons to Ukraine and will not allow lethal weapons to transit its territory in order to keep the country safe, Foreign Minister Peter Szijjarto said on Monday during a visit to Kosovo.

"The reason for making this decision is that such deliveries might become targets of hostile military action and ... we have to ensure the security of Hungary ... that we are not getting involved in that war," Szijjarto said after meeting Kosovo Foreign Minister Donika Gervalla.

Kaongea kama Mh. Mzitto wa ACT Mzalendo.

Hiiiiii bagosha!
 
The reason for making this decision is that such deliveries might become targets of hostile military action and ... we have to ensure the security of Hungary ... that we are not getting involved in that war," Szijjarto said after meeting Kosovo Foreign Minister Donika Gervalla.
 
Back
Top Bottom