Hunger in Tanzania - njaa Tanzania

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... Ni wavivu kweli yani unakuata wakiwa na shamba hawalimi wabongo wanachofanya wanalima mashamba yao kule lakini hao wanakuja kudai ka share kadogo kipindi cha mavuno hapo njaa itawaachaje sasa?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kudanganya watu tz tunalima kiasi kidg cha mazao kiasi kikubwa wanalima wazungu na kuondoka navyo ndio maana tanzania tunapigwa sana njaa,hata afya zetu ni dhaifu kulingana na chakula kidg kinachozalishwa na wakulima wachache wa ndani kuwa na gharama,ndio maana tunatumia pia hata bidhaa nyingi za wakenya..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya mko vzr hata katika udharishaji wenu wa bidhaa zenye uhitaji wa kila wakati mfano sabuni zenu za jamaa ziko kila kona na mahali pote kwa maisha ya mtanzania zile sabuni tukinunua kipande kimoja cha tsh500 tunafulia nguo,tunaogea na kuoshea vyombo,ukija kwenye upande wa dawa dawa za wakenya ni bora mno za kwetu hazitibu ukijiroga ununue za kit z unajipotezea muda yaani vitu vingi vya kikenya vinatamba tz hata upande wa chakula wakenya mna bidhaa nzr sana nyama,matunda,unga n.k KENYA NI MOYO WA AFRICA MASHARIKI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania sasa hivi kwenye uzalishaji wa viwanda tunaimprove vitu vingi madukani hasahasa vyakula ni vya kitanzania na pia tumeanza kuzaliaha vitu kama sabuni miaka michache ijayo bidhaa za Tanzania zitadominate soko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejaribu mupitia comments zako zote katika thread mbalimbali. Kwa kweli nimegundua 100% wewe siyo mtanzania.
Huna sifa za utanzania.

So unajifanya kuwa wewe ni mtanzania wakati wewe ni mkenya.
Ulijiunga 2017 na mienendo yako yote ni ya likenya.
So wala usijisumbue sana kujificha
Hizi hapa comments zako za mwanzo mwanzo
 
Wewe ni mkenya.
Kiswahili chako na uandishi wako unakuumbua:-
1. Udharishaji
2. Kitz
Na hapa:-


You cannot hide your identity
 
Mimi ni mtanzania asili kabisa damu ya kinyamwezi sikonge huko tabora,siwezi kujitapa uongo kama mnavyojitapa nyie kwa majirani zetu waliotuzidi kila kitu mpka usmart kichwani,ndo mnavyodanganya wenzetu tz hakuna njaa wakati unga tu wa ugali sembe kilo tunanunu mpka tsh1600-700 saivi kdg ndio umefikia 1400 njaa ipo tena wavivu wa kilimo kwa cc raia wa ndani kilimo kikubwa kinafanywa na wawekezaji huo ndio ukweli ukiona nakukera mkuu unaweza kujknyonga kamba nitakupatia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitu gani tunavyozalisha weka wazi wenzetu wavione na mimi nitaweka vya kwao hapa tunavyotumia mkuu usilete janja janja hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yale yale ya watu kuteseka kisiri.....wenzetu hawa jaameni.
Njaa hakuna Tanzania, hizo ni picha za wanafunzi shule za kata, wapo foleni kupata lunch.
Chakula kimejaa tangu mwaka jana.
Kwa taarifa yako Kenya mnanunua chakula kwetu.
Japo hatuwezi kuwa na chakula kila mmoja Tanzania nzima lakini kama nchi hatuna njaa mwaka huu mvua zimenyesha sana...mikoa ya Manyara, Singida, Dodoma, Shinyanga hadi Tabora wamekaribia kuvuna.
Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha hawa wamevuna mara mbili kwa mwaka, wamevuna Januari hadi Februari na wamepanda kuanzia Februari mwishoni na sasa mazao yako poa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale Watanzania ambao huwa mna tabia ya kutetea hizi guinea 🐷 nadhani sasa mnajionea tabia zao!
 
Umezaliwa Sikonge sehemu gani!?
Wewe mnyamwezi unasalimiwaje!?
Jina lako LA ukoo ni nani!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…