Hunger in Tanzania - njaa Tanzania

Hunger in Tanzania - njaa Tanzania

vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,742
Reaction score
2,459
Kuficha na Kupika Takwimu ndiyo agenda ya CCM , halafu mnasema ni nchi yenye rutuba,
2020 ni mwaka wa kufichua ufedhuli wa WaTanzania - the North - Korea of Africa

1587939842487.png

1587939874325.png

1587939917654.png

1587940070788.png
 
Sio ww tu mkuu, mm pia nimeshindwa kusoma

Sent using Jamii Forums mobile app
kwenye computer nimeyakuza ila zina onekanana data za kuazia mwaka 2012 hadi mwanzoni wa 2015 na zilitolewa na twaweza kuwa mojawapo ya yalioandikwa hapo ni kuwa 10% ya wanawake waTanzania wanazaa watoto wenye uzito pungufu kwa ajili ya lishe asilimia 40 watoto wamedumaa kwaajili ya lishe asilimia 64 ya watu wamjini wanaishi maisha magumu kwa ukosefu wa chakula haya yote kwa sababu ya ukame unaoikabili Tanzania kwani karibu nusu ya majira ya mwaka ni ukame tupu hayo nimefupisha kiasi
 
WaKenya buaaana
Mnathubutu kuiweka Tz kwenye baa la njaaa hahahhh mnachekesha
Nyanda za Juu Kusini inalisha Tz sehemu kubwa na nje ya Tz
Tuna chakula Tunalima
WaKenya wavivu sana
Mna mambo ninyi kha
Kama kwa BBCSwahili mmeandika Kenya ndio bora kwa Kiswahili kwenye msiba wa Proffesor Nani sijui
Muwe wa wakweli
Kiswahili bora ni Tz wengine wote mnajisogeza
Mnajivuna na Kidhungu bakieni nacho msijipe credit kwa Lugha ya Kiswahili
Kiswahili chenu kibovuuuuu
 
WaKenya buaaana
Mnathubutu kuiweka Tz kwenye baa la njaaa hahahhh mnachekesha
Nyanda za Juu Kusini inalisha Tz sehemu kubwa na nje ya Tz
Tuna chakula Tunalima
WaKenya wavivu sana
Man mambo ninyi kha
Kama kwa BBCSwahili mmeandika Kenya ndio bora kwa Kiswahili kwenye msiba wa Proffesor Nani sijui
Muwe wa wakweli
Kiswahili bora ni Tz wengine wote mnajisogeza
Mnajivuna na Kidhungu bakieni nacho msijipe credit kwa Lugha ya Kiswahili
Kiswahili chenu kibovuuuuu
Hakuna mtz anaeongea kiswahili kizur wote tunaharibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwenye computer nimeyakuza ila zina onekanana data za kuazia mwaka 2012 hadi mwanzoni wa 2015 na zilitolewa na twaweza kuwa mojawapo ya yalioandikwa hapo ni kuwa 10% ya wanawake waTanzania wanazaa watoto wenye uzito pungufu kwa ajili ya lishe asilimia 40 watoto wamedumaa kwaajili ya lishe asilimia 64 ya watu wamjini wanaishi maisha magumu kwa ukosefu wa chakula haya yote kwa sababu ya ukame unaoikabili Tanzania kwani karibu nusu ya majira ya mwaka ni ukame tupu hayo nimefupisha kiasi
Aisee!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njaa ya chakula inafichika?
Tanzania kuna njaa kisha Kenya iombe chakula? Watanzania wauze chakula ilhali wana njaa?

Uko vizuri kwenye propaganda za kuidunisha Tanzania na kujaribu kuonyesha uwongo kuwa Kenya ni bora.

Yale yale ya watu kuteseka kisiri.....wenzetu hawa jaameni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unaanzaje kuiita Tz North korea ya africa.
Hujui kwamba Tz ndo baba yenu wa east africa.
Binafsi mim naona kama waKenya ni midoli(puppets) za wazungu. Unakuta mtu anachanganya lugha sijui kiswahili na kiingeereza mpaka mnakera.
Unakuja na takwimu za google jamani ni aibu kwako mkuu.
 
Back
Top Bottom