Bia ukipiga tizi na kula kidogo kama mimi hakuna shidaUzi mfupi sana.
Ngoja nijazie nyama.
Soda inaongeza mafuta mabaya, ila bia inaongeza wanga mwilini.
Bora bia 2 za elfu 5, kuliko soda 1 ya mia 6.
Comment ndefu kuliko Uzi.
Kabisa bwasheeBia ukipiga tizi na kula kidogo kama mimi hakuna shida
twende sasaaaaa wanywa pimbe wameanza kuleta points zaoBia ukipiga tizi na kula kidogo kama mimi hakuna shida
Tupo vizuri kipesa mpaka kiakili bwasheetwende sasaaaaa wanywa pimbe wameanza kuleta points zao
Mno tunaringa kinoumaWalevi kwenye ubora wao
Bia ukipiga tizi na kula kidogo kama mimi hakuna shida