Hunywi pombe ila unakunywa soda? Usimcheke mnywa pombe

Hunywi pombe ila unakunywa soda? Usimcheke mnywa pombe

nilikwenda kwenye tafrija moja ya wafia dini nilishangaa mtu mzima anakunywa soda 6. Sherehe kama hizi huwa nakwenda na maji yangu "nimeyatakasa" na nyagi kwa level nzuri.
 
Ila wakizidiwa Huwa wanakinai tu ninyi wa bia Kuna WAKATI mnajinyea na wengine mnaanguka na tumbo mgongo juu
IMG_20250727_183557_159.jpg
 
Mmoja anachosha figo na kupandisha Sukari-pombe ,mwingine anaamua kupandisha sukari pekee-soda,Zote ni sumu
 
Wanywa pombe wanajitia moyo lakini inadhalilisha sana ! Nimeshuhudia mlevi kaingia chumbani hata zoezi la kubadilisha nguo limemshinda kaishia kuvua tu kuchukua nyingine avae kashindwa kalala uchiiiiii!
Muda mwingine mtu anatoka usiku kujisaidia komeo linamshinda analimwaga kojo mlangoni akijua amefika chooni tayari.
 
Back
Top Bottom