Hunywi pombe ila unakunywa soda? Usimcheke mnywa pombe

Hunywi pombe ila unakunywa soda? Usimcheke mnywa pombe

KWA AFYA POMBE SI SALAMA
Refference Tafiti za Afya ,shirika la afya duniani WHO

2.Pombe na SARATANI
 
THE SAME APPLIES KWA SODA NA BIDHAA ZA VYAKULA VYENYE SUKARI NYINGI MWILINI
SIO SODA PEKEE TU NA JUISI ZA VIWANDANI N.K NA KADHALIKA..
SI SALAMA KWA AFYA ZETU
BILA KUSAHAU ENERGY DRINKS..
 
Wanaokunya Pombe kuna wengi Wapo kifungoni walijaribu na Maisha yao kwenye Pombe ikawa ni kifungo kwao
Na wanawaza ni njia zipi Waache
Wengn hawapendi ila wanashindwa kuacha

Nashauri wanaokunywa Pombe tafuteni mbinu za kuacha
 
THE SAME APPLIES KWA SODA NA BIDHAA ZA VYAKULA VYENYE SUKARI NYINGI MWILINI
SIO SODA PEKEE TU NA JUISI ZA VIWANDANI N.K NA KADHALIKA..
SI SALAMA KWA AFYA ZETU
BILA KUSAHAU ENERGY DRINKS..
Sasa kwanini mnashutumu sana wanywa pombe hasa nyi walokole
 
Back
Top Bottom