Hunywi pombe ila unakunywa soda? Usimcheke mnywa pombe

Point muhimu: Pombe za kienyeji asilimia kubwa mali ghafi za kutengenezea huwa zimeharibika. Hasa mahindi ambayo huwa yameathiriwa na FANGASI ndio hutumiwa kutengeneza pombe. Fangasi hao huzalisha sumu ambayo huwa inaharibu MAINI au KANSA YA INI. Ini linaharibiwa na pombe zenye sumu kwa Sababu kazi ya ini ni kufyonza sumu mwilini, sumu ikiwa nyingi ini linazidiwa mwisho linaharibika.
 
Piga tungi sana,piga msosi heavy,piga mazoezi sana,piga pumb.u sana mademu.
 
Na kuna wale wanaokunywa pombe wanatuona sisi watumiaji wa visungura kama tumeyakosea maisha, acheni hizo
 
Point muhimu: Pombe za kienyeji asilimia kubwa mali ghafi za kutengenezea huwa zimeharibika. Hasa mahindi ambayo huwa yameathiriwa na FANGASI ndio hutumiwa kutengeneza pombe. Fangasi hao huzalisha sumu ambayo huwa inaharibu MAINI au KANSA YA INI. Ini linaharibiwa na pombe zenye sumu kwa Sababu kazi ya ini ni kufyonza sumu mwilini, sumu ikiwa nyingi ini linazidiwa mwisho linaharibika.
Tumbo la binadamu limejaa fangasi ndio maana hushibi mwaka mzima
 
Uzi mfupi sana.

Ngoja nijazie nyama.

Soda inaongeza mafuta mabaya, ila bia inaongeza wanga mwilini.

Bora bia 2 za elfu 5, kuliko soda 1 ya mia 6.

Comment ndefu kuliko Uzi.
Uongo mtupu! Elimu ya wauza dawa mbadala!
 
Back
Top Bottom