mlima makadamia
Senior Member
- Sep 10, 2024
- 186
- 256
Juice sawa soda hakunaBro wangu.
Kuhusu kwenye Biblia.
Naomba nikujibu.
Miaka ile Soda hazikuwepo.
Hata hii mpira, Mieleka na michezo ming.
Ila Kipind Kile Quran na Biblia imeitaja Mvinyo/ Kimea. 😂😂😂
Pamoja na Matunda yasiochachuka. Na ndio Juice/soda sasahivi
Ndio maana nikauliza kuna anaekunywa soda akatucheka?.
Maana zote zilikuwepo