Ukiichunguza vizuri quran ipo kwa ajili ya kuwapinga wakristu ,ni kama attacking flani hivi ,mbaya zaidi katika kuran kuna maneno yanasema "Watasema maneno yetu ni uzushi,wengine watasema tumekopi kwenye kwenye vitabu vyao"Nimechunguza nchi hizi,china,india,bangladesh,pakistan,nepal,vietnam,indonesia malaysia zitakuja kuwa za kikristo kila siku makundi yanabatizwa hatari mpaka nimeshangaa hata ukiingia fbni balaa tena wengine wanaenda wenyewe church
Hapa napata mashaka ,how neno toka kwa Allah lilishushwa na Jibril lianze kujitetea eti watasema tumecopy?.