Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

Wadau hamjamboni nyote?

Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."

Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.

Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.

Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali

Niwatakie siku njema wapendwa

Nukuu:

Surah Al-Baqarah Ayat 133

أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ
Wakati hawa watoto wanatamka haya nani alikuwepo kushuhudia huu uwongo? Jamani hizi dini ni uzushi tu, hakuna ukweli wowote ndani yake.
 
Kabla ya kunyooshwa msalabani alibong’oa ili asipelekwe kushughulikiwa na wahuni
Sawaa.....ila nyie kubong'oa ni jadi yenu maisha yenu yote......na tutawapapasa sana makalio huko masjid safari hii
 
Allah ni Mungu kweli hana longo longo, fanya mema peponi fanya mabaya motoni, hakuna blah blah mara Mungu mwana kapigwa makofi upuuzi mtupu
Mungu mwenyewe anaitwa alaaaaa hahaa shwain
 
Wadau hamjamboni nyote?

Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."

Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.

Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.

Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali

Niwatakie siku njema wapendwa

Nukuu:

Surah Al-Baqarah Ayat 133

أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ
We jamaa mbona mjinga sana
 
Huku kwenye uislamu hakuna hizo habari za Yesu kuhukumu sijui vilio hai na vilivyo kufa,huku Allah ndio HAKIMU hakuna hakimu mwengine, kuhusu Mohamadi Kufa Allah alishasema kila kiumbe kitaonja nafsi sio suala la kushangaa, RUDI kwenye mada sasa umekosa andiko la kumpinga mtoa mada juu ya dini nyingine tofauti na Uislamu aliyokuwa nayo Yakobo?
Mbona yesu hajafa
 
Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.

Sasa Waisrael wote si wangekuwa waislamu?
 
Hata Ibilisi hajafa, Nabii Idris Hajafa pia , sio Yesu peke yake, mbona hao huwasemi?
Mzee unajua kama yesu ni Alfa na Omega ,means mwanzo na mwisho? Yesu ni neno lake Mungu na kupitia neno kila kitu kiliumbwa (Mwanzo) na pia ni alama ya kiyama kama mnavyoamini kwenye quran (Mwisho).Haya tuseme ni mtu tu kama mnavyoamini je baba yake ni nani..au uniambie yesu aliumbwa lini? Ukija kuniambia aliumbwa kupitia kuzaliwa na Mariam uniambie baba yake ni nani?
 
Hahaaa hata kama alkuw yeye(yakobo) Imam pamoja na baba zake,na watoto wake wote,lkn sis tutakuw wakristo mpaka kifo ila tuna heshmu iman ya kila mtu kwakuw hatukufundshwa kuwakata maskio waliomkamata Bwana Yesu.Kila mtuu aabudu anacho kiamin.Lakin asante kwa maoni na juhud zako za dhat za kuieneza iman yako, keep it up!
Nimechunguza nchi hizi,china,india,bangladesh,pakistan,nepal,vietnam,indonesia malaysia zitakuja kuwa za kikristo kila siku makundi yanabatizwa hatari mpaka nimeshangaa hata ukiingia fbni balaa tena wengine wanaenda wenyewe church
 
Mzee unajua kama yesu ni Alfa na Omega ,means mwanzo na mwisho? Yesu ni neno lake Mungu na kupitia neno kila kitu kiliumbwa (Mwanzo) na pia ni alama ya kiyama kama mnavyoamini kwenye quran (Mwisho).Haya tuseme ni mtu tu kama mnavyoamini je baba yake ni nani..au uniambie yesu aliumbwa lini? Ukija kuniambia aliumbwa kupitia kuzaliwa na Mariam uniambie baba yake ni nani?
Haya ni maswali ya kitoto kwani baba yake Adam unamjua? au baba yake Hawa unamjua? kwenye Uislamu hakuna kiumbe ila kimeumbwa na Allah, anaweza kukiumba kwa njia atakazo kama Adam alimuumba kwa kufinyanga udongo, Hawa akatokana na Adam, hawa hawajanyonya hata maziwa ya mama, sasa si bora Yesu kakaa tumboni kama binadamu wengine na kanyonya maziwa ya Mama, Rudi kwenye HOJA ya msingi bila shaka umekosa andiko la kuonyesha Dini tofauti ya Yakobo kinyume cha Uislamu
 
Mzee fuvu lako gumu sana ,Adamu kafinyangwa kwa udongo hiyo kila mtu anajua ila yesu ni case tofauti kabisa..alikuwepo toka mwanzo wa kuumbwa dunia ..ndio mana alipokuja duniani inaandikwa alifanyika mwili.Tatizo lenu mnasoma kwa kukaririshwa hamruhusu ubongo wenu uchambue mambo,sikulaumu kwa hilo.
 
Tatizo waislamu mnapambana sana kubishana na Ukweli,ndio mana mnakataa Utatu mnasapoti tawhid wakati Allah anaongea kwa wingi mara kadhaa..Mkiulizwa ata wingi unawakilisha ukuu,hahahaaa.
 
Wewe tuambie hapa kuwa Yakobo hakuwa na dini kwahiyo alikuwa mpagani? unazunguka kwenda wapi!!!
shida umemezeshwa matango pori. hizi dini zimekuja siku sio nyingi sana, awali watu waliabudu Mungu bila kuwa na dini. Ibrahim aliongea na Mungu na alimwabudu Mungu bila dini, mood ndio anawaaminisha kwamba hadi zamani kulikuwa na dini, dini gani? mwongo sana yule tapeli wa imani.
 
Unanukuu kitabu cha majini unataka tujadili, nukuu maandako matakatifu tutajadili
 
H
Wadau hamjamboni nyote?

Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."

Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.

Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.

Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali

Niwatakie siku njema wapendwa

Nukuu:

Surah Al-Baqarah Ayat 133

أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ
Haya maneno yaliyoandikwa na binadamu waliotangulia kabla yetu !yana utata sana!

Kwanza usahihi wake na tumaini katika maneno yenyewe!
 
Nimechunguza nchi hizi,china,india,bangladesh,pakistan,nepal,vietnam,indonesia malaysia zitakuja kuwa za kikristo kila siku makundi yanabatizwa hatari mpaka nimeshangaa hata ukiingia fbni balaa tena wengine wanaenda wenyewe church
Watu wengi baada ya kuujua uislamu kiundani wanaamua kuachana nao..hata Africa itakuwa hivyo,time will tell
 
Back
Top Bottom