Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

Wadau hamjamboni nyote?

Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."

Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.

Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.

Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali

Niwatakie siku njema wapendwa

Nukuu:

Surah Al-Baqarah Ayat 133

أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ
Kwani ni nini maana ya Muslim mkuu
 
Kitabu kuchelewa au kufika mapema sio tatizo, Quran ndio imesema Yakobo alikuwa muislamu sio mimi, sasa basi wewe ukidai kuwa Yakobo alikuwa na dini tofauti unapaswa kuonyesha kwa andiko hiyo dini tofauti sawa na mtoa mada alivyoonyesha Uislamu wa Yakobo, rahisi kabisaaa
Unaweza kuniambia Muhammad alikuwa anamaanisha nini kuwa yeye ndiye wa kwanza katika waliosilimu..kiufupi mwanzoni hakukuwa na uislamu ndugu usikaze fuvu
 
Hili tulisha jibu ni wa kwanza kwa Ummah wake, RUDI kwenye mada unalo andiko la kumpinga mtoa mada kuhusu dini nyingine ya Yakobo?
 
Ukitaka kumjua Munguvwa kweli soma Biblia. Hicho ndicho kitabu pekee cha Mungu. Na Biblia imejaa hekima zote na maarifa ya ajabu ambayo hayapitwi na wakati. Qurani ilikuja baadaye sana baada ya kufungwa kwa uandishi wa Biblia kupitia kitabu cha Ufunuo wa Yohana. Hivyo basi maelezo ya jambo lolote linalohusu masuala ya kiroho hupimwa kwa kutumia Biblia. Kama ni kinyume na Biblia basi jambo hilo ni feki. Mfano waislamu wanadai Ibrahimu alielekezwa amtoe mwanawe Ishmael kama sadaka. Huu ni uwongo wa wazi. Mwana wa Ibarahimu aliyetolewa sadaka ni Isaka. Na Isaka ni mfano wa Kristo aliye mwana wa pekee wa Mungu. Hivyo Acha porojo!
 
Hili tulisha jibu ni wa kwanza kwa Ummah wake, RUDI kwenye mada unalo andiko la kumpinga mtoa mada kuhusu dini nyingine ya Yakobo?
Sasa umma wa muhammad si waislamu au ana umma mwingine..haya tuseme umma wake kama unavyotaka hao waislamu wengine waliopita walikuwa wanatumia kitabu gani?? Maana quran ya inayojulikana imekuja enzi za muhammad au kuna quran nyingine hatuijui..au labda kuna kitabu kingine kinazungumzia uislamu hatukijui?
 
Hivi unajua hata kinacho jadiliwa humu kweli? imetolewa Aya kutoka katika Quran hiyo hiyo kuwa Yakobo alikuwa Muislamu, wewe unaepinga uje utuambie kwa andiko kuwa alikuwa dini nyingine sio uislamu, sasa badala ya kufanya hivi unazunguka tu
ndio nachallenge kurani yako, kwamba inadanganya kwa sababu imekuja miaka 2500 baada ya Yakobo kuzaliwa. hivyo haina uwezo kuongea chochote. wee ndio huelewi.
 
sasa ndugu unaposema Yakobo alikuwa muislamu unakuwa unakosea sana.kitabu unachoki refer kilikuja enzi za muhammad na muhammad mwenyewe kabla ya kupokea hiko kitabu alikuwa mpagani iweje yakobo awe muislamu.Au labda uniambie wasilamu wa kale kabla ya kuja kwa qurani walikuwa wanatumia kitabu gani?.Na kama kweli usilamu ulikuwepo kwa nini Allah katika quran aseme waliotangulia kabla yenu..au hata maana ya kabla hauelewi?.Kwanza unaweza kunisaidia hili swali..kabla ya kuja quran Allah alikuwa wapi,maana inaonekana wayahudi na wakristo sio watu wake.
Huyu hahitaji andiko. Anataka kuhalalisha dini yake iliyokuja carne ya 7 baada ya Yesu, aseme ilikuwepo tangu Israel anapata mibaraka ya MUNGU. Chochote kilichoandikwa katika Quran kiliiga kilichokuwepo katika Biblia.
ndio nachallenge kurani yako, kwamba inadanganya kwa sababu imekuja miaka 2500 baada ya Yakobo kuzaliwa. hivyo haina uwezo kuongea chochote. wee ndio huelewi.
Huyu utabishana naye mwaka mzima, amekariri kama njia ya treni inavyopita kwenye reli yake haibadilishi njia. Amemezeshwa bila kuhoji ni kama robot tu.
 
Jamaa anatuvuruga tu mara aseme muhammad alisilimu kipindi cha umma wake..sasa atuambie umma mwingine wa waislamu uliongozwa na nani?
 
Sasa umma wa muhammad si waislamu au ana umma mwingine..haya tuseme umma wake kama unavyotaka hao waislamu wengine waliopita walikuwa wanatumia kitabu gani?? Maana quran ya inayojulikana imekuja enzi za muhammad au kuna quran nyingine hatuijui..au labda kuna kitabu kingine kinazungumzia uislamu hatukijui?
Ummah wa Mohamad maana yake ni wakati wake wa utume, sawa na ummah wa Musa na wakati wake wa utume, RUDI kwenye mada mpaka sasa aliefanikiwa kutoa andiko la dini ya Yakobo ni mtoa mada tu, lete na wewe andiko lako utuambie Yakobo alikuwa dini gani halafu kama hauna andiko pia useme
 
ndio nachallenge kurani yako, kwamba inadanganya kwa sababu imekuja miaka 2500 baada ya Yakobo kuzaliwa. hivyo haina uwezo kuongea chochote. wee ndio huelewi.
Huwezi kuchallenge Quran kwa maneno matupu, lete andiko kuwa Yakobo alikuwa Dini fulani HAPO sasa ndio umekuwa umechallenge Quran, kitabu cha Dini huwezi kuchallenge na maneno matupu kama unaimba mziki
 
Hivi unajua hata kinacho jadiliwa humu kweli? imetolewa Aya kutoka katika Quran hiyo hiyo kuwa Yakobo alikuwa Muislamu, wewe unaepinga uje utuambie kwa andiko kuwa alikuwa dini nyingine sio uislamu, sasa badala ya kufanya hivi unazunguka tu
Oya amih nimepata chimbo jipya la kitimoto mkuranga twende tukapige na serengeti laitiiiiinesi weeekend ndo hio
 
Kitabu kuchelewa au kufika mapema sio tatizo, Quran ndio imesema Yakobo alikuwa muislamu sio mimi, sasa basi wewe ukidai kuwa Yakobo alikuwa na dini tofauti unapaswa kuonyesha kwa andiko hiyo dini tofauti sawa na mtoa mada alivyoonyesha Uislamu wa Yakobo, rahisi kabisaaa
Uislam wa Yakobo unawahusu kivipi wakristo?
 
Huwezi kuchallenge Quran kwa maneno matupu, lete andiko kuwa Yakobo alikuwa Dini fulani HAPO sasa ndio umekuwa umechallenge Quran, kitabu cha Dini huwezi kuchallenge na maneno matupu kama unaimba mziki
Ndugu zetu katika Adam naomba kuuliza ,kwa nini yesu arudi kwa mara ya pili na wakati muhammad ni mtume wa mwisho.Pia huyu yesu ni nani mpaka yeye apewe mamlaka ya kuhukumu vilivyo hai na visivyo na uhai ikiwemo kumuhukumu muhammad ,je hii sio shirk kuingilia mamlaka ya Mungu.Mlisema pale msalabani yesu hakusulubiwa bali Allah alimuweka mtu mwingine ili kumuokoa yesu asife ..swali ni je kwa nini hakufanya hivyo kumuokoa kipenzi chake Muhammad asife kwa sumu?
 
Huku kwenye uislamu hakuna hizo habari za Yesu kuhukumu sijui vilio hai na vilivyo kufa,huku Allah ndio HAKIMU hakuna hakimu mwengine, kuhusu Mohamadi Kufa Allah alishasema kila kiumbe kitaonja mauti sio suala la kushangaa, RUDI kwenye mada sasa umekosa andiko la kumpinga mtoa mada juu ya dini nyingine tofauti na Uislamu aliyokuwa nayo Yakobo?
 
Huwezi kuchallenge Quran kwa maneno matupu, lete andiko kuwa Yakobo alikuwa Dini fulani HAPO sasa ndio umekuwa umechallenge Quran, kitabu cha Dini huwezi kuchallenge na maneno matupu kama unaimba mziki
shida yako wewe na mood mnaabudu dini, ila sisi na kitabu chetu tunamwabudu Mungu. haihitaji mtu aende shule, kwamba:
1. kuran ilikuja miaka kama 2500 baada ya Yakobo, hapo mood hajazaliwa, na mood ndio alianzisha uislam.

2. kuran iliikuta Biblia/Talmud n.k, hivyo haina uwezo kutikisa chochote kwa sababu ni ya kuja juzi tu hapa.

3. jiulize, uislam ulianza lini? wakati au kabla ya yakobo?
 
Back
Top Bottom