Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

Miaka ina husika vip na aya ya Yakobo kuwa muislamu? ebu jikite kwenye mada halafu lete andiko hapa Yakobo alikuwa dini gani tofauti na Uislamu
Jibu ni rahisi tu. Aya ya Yakobo imeandikwa na nani, mwaka gani na kwenye kitabu gani, cha dini gani ? Kama Yakobo ndiye yuleyule aliyebadilishwa jina na akaitwa Israel mpaka taifa lao Waisraeli lipo, je, Waisraeli ni waislam ?
 
Yakobo ndio Israel sasa tuambie kwenye maisha yake Yakobo alikuwa ni mtu wa dini gani kwa maandiko kama mtoa mada sio maneno matupu hayana maana hapa
 
Dini ni barabara tu kama tunaenda America haijalishi ulipitia wapi fikra mgando nazichukia sana .
 
Mungu 1 nafsi 3.
Hakuna nafsi kuu kuliko nyingine.
Narudia "Mungu ni mmoja, nafsi TATU"

Kinyakyusa tunaita "Trinity"
Kijana swali umeliona rudia tena kusoma uje na jibu hapa, Mungu baba na Mungu mwana nani ni mkuu kuliko mwengine? acha kuruka ruka
 
Tuambie wewe Yakobo alikuwa Dini gani ili mtoa mada awe amesema uongo kwa andiko sio maneno matupu?
Yakobo ambaye kwa jina lingine ni Israel, yaani baba wa waisrael ambao dini yako imesema muwaite "mayahudi", hakuwa muislam, ila alimwamini Mungu. hakuwa na dini wala dhehebu, yeye aliabudu Mungu moja kwa moja, Mungu wa baba yake Isaka, na babu yake Ibrahim.

si Ibrahim, si Isaka wala Yakobo, wala watoto 12 wa Yakobo (ambao ni mataifa 12 ya waisrael) walikuwa waislam. Uislam umekuja kuanzishwa na mwongo mwongo fulani ivi aitwaye mood miaka zaidi ya 2500 baada ya Ibrahim, Isaka, Yakobo kuzaliwa na kufa.
 
Sasa tulia huwezi kupinga uzi kwa maneno matupu

Screenshot_20241017-204709_Chrome.jpg
 
Uongo, utapeli na ulaghai. Dini ya ujanja ujanja na utapeli. Miaka mnatumia kuhwsabu hii 600plus ni ipi? Acheni kuwa matapeli kama alivyokuwa mohamad.

Hii nakujibu ww mwenyewe binafsi, (haihusiani na member wengine).

Acha huo ukichaa au Ulevi.

Kuna historia unasoma ww za miaka 200 nyuma,
Hizi za dini zao hata kama hawakuandika walikuwa wanarithi vizazi kwa vizazi kwa hadithi. Na mpaka pale walipoweka kuweka kwa Lugha ya kuelewana na ndipo ikaenea zaidi.
 
Aya ya 2:37, 6:14, 39:12 muhamadi anasema ameamrishwa awe wa kwanza ku slim ( kuwa mwisilamu) hizo aya aya ambazo alikuwa anasema sijui Yakobo ni muislam zilikiwa kamba, anawadanganya waarabu ili wamuamini. Muhamad ni tapeli tapeli na msanii sana
Yaani zamani watu walikuwa ni wajinga sana, mtu moja anaweza akawahadaa watu na wote eti wanamwamini tu kwamba kweli ametumwa na Mungu..!!
 
Yakobo ambaye kwa jina lingine ni Israel, yaani baba wa waisrael ambao dini yako imesema muwaite "mayahudi", hakuwa muislam, ila alimwamini Mungu. hakuwa na dini wala dhehebu, yeye aliabudu Mungu moja kwa moja, Mungu wa baba yake Isaka, na babu yake Ibrahim.

si Ibrahim, si Isaka wala Yakobo, wala watoto 12 wa Yakobo (ambao ni mataifa 12 ya waisrael) walikuwa waislam. Uislam umekuja kuanzishwa na mwongo mwongo fulani ivi aitwaye mood miaka zaidi ya 2500 baada ya Ibrahim, Isaka, Yakobo kuzaliwa na kufa.
Mzee maneno yote hayana uthibitisho udini juu ya dini ya Yakobo, lete andiko uthibitisho kuwa Yakobo alikuwa dini tofauti na Uislamu, mbona unazunguka , unalo andiko au huna?
 
Ili kujibu swali hili lazima ukatae, Israel sio Yakobo, kwa hiyo Yakobo alikuwa muislam na Israel ndiye mkristo. Hilo fungu au ya Quran imechomekwa kuhalalisha kwamba uislam ulianza enzi za zamani, kitu ambacho ni uongo mkubwa na uzushi. Kama tunakubaliana Quran iliandikwa miaka ya 610 AD, ni rahisi kukubaliana kuingizwa uongo wowote kuhalalisha mtazamo wao. Yakobo huyo huyo aliyeitwa Israel leo unalazimisha alikuwa muislam kwa aya iliyopachikwa miaka 600 baada ya Biblia, wakati ni mtu yuleyule aliyeitwa Israel !!!!!!! Haya ndiyo maajabu ya Quran. Usifanye hata walio kuwa wanadhania ni kitabu cha MUNGU kuona ni hadithi za kitapeli/uongo na visa vya kutunga.
 
Hakuna aliekataa Israel ndio Yakobo na andiko la kuthibitisha kuwa Israel ndio Yakobo lipo kwenye biblia sasa tuambie Yakobo alikuwa Dini gani katika biblia hiyo hiyo hili mtoa mada awe amesema uongo, bila kutoa andiko unakuwa sawa na wapiga kelele wa vijiweni, mtoa mada katoa andiko nawewe unatakiwa kupangua kwa andiko sio maelezo mengi yasiyo na maana, nafikiri nimetumia lugha nyepesi na umeelewa ninacho taka kwako
 
Back
Top Bottom