Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

Wakristo wanamubudu Mungu na Si Maria, Yusufu, sijui Issa, mtakatifu pyey pyee.
Mungu mmoja nafsi ttu yaani :-
1. Mungu baba
2. Mungu mwana [YESU]
3. Mungu roho mtakatifu.
Mungu baba na Mungu mwana nani ni mkuu kuliko mwengine au wote wako sawa?
 
Tena wanawakusanyaga vizuri na kuanza kuwalisha matango pori,,, wakitoka hapo wanakuja kupiga makelele kama wamevumbua kitu fulani cha ajabu sana duniani
Wewe ukikataa unatakiwa kuja kutoa andiko lako kuwa Yakobo alikuwa Mkristo au myahudi? sio kuleta mipasho
 
Mkuu hata historia ya std4 haujasoma?

Miaka elfu ngapi toka Yakobo hadi kuzaliwa Mwamed?
Mambo ya historia hayana uhusiano na mambo ya Mungu, ndio maana hao wana historia wanakuja na vitu vya ajabu, mara binadamu alianzia kwenye sokwe n.k, mambo ya Mungu jikite kwenye vitabu vya imani
 
M

Mungu gani huyo mmoja? Sema kuna Mungu na miungu labda ndiyo unayoiongelea hapa kwenye kijiwe, halafu hiyo miguu ya ndege uliochora chora hapo hatuijui, tupe tafsiri .

Kuna Mungu wa Ibrahim, Mungu Isaka na Mungu wa Yakobo, baada ya hapo ni KRISTO YESU.
Mungu alikuweko kabla ya Ibrahim na akawepo baada ya Ibrahim, huyo ndio Mungu muumba wa mbingu na nchi , kwahiyo usituchagulie Mungu kuanzia Ibrahim mara Isaka
 
Uislam umezaliwa miaka 500 baada ya Yesu Kristo kupaa, na ni miaka kama 3000 (afu tatu) tangu Yakobo afariki. yet, mtu asiyejua kusoma na kuandika anakuja kuwadanganya hawa viumbe kuwa Yakobo alikuwa muislam. kwahiyo alikuwa muislam kabla uislam haujaanzishwa hapa duniani? kwani uislam si umeanzishwa na mohamed? na mohamed si nabii wa uongo wa juzi tu hapa aliyekuja kuchambua Biblia aipindishe akasahau kutunza maneno ya akiba? hivi mna ubongo kweli?
Tuambie wewe Yakobo alikuwa Dini gani ili mtoa mada awe amesema uongo kwa andiko sio maneno matupu?
 
Kwahiyo Yakobo alikuwa Muislam kabla ya Uislam wenyewe!!!??? Quran ilishushwa enzi za Mohammad kwa maana nyingine Uislam ulianzia hapo quran iliposhushwa maana hiyo ndo mwongozo wa uislam. Angalau unhesema alikuwa Myahudi
Badala ya kuuliza haya maswali ebu tuambie wewe Yakobo alikuwa dini gani?
 





Aya ya 2:37, 6:14, 39:12 muhamadi anasema ameamrishwa awe wa kwanza ku slim ( kuwa mwisilamu) hizo aya aya ambazo alikuwa anasema sijui Yakobo ni muislam zilikiwa kamba, anawadanganya waarabu ili wamuamini. Muhamad ni tapeli tapeli na msanii sana
Hii aya tulisha waeleza ndio wa kwanza kwa Nyakati zake (umma wake), ila huko nyuma pia nabii husika wa umma husika pia alikuwa wa kwanza kufundisha imani na kusilimu kisha anawaendea binadamu wengine
 
Akili za hawa jamaa......
Braza kuna kitu nataka nikufahamishe tena ni rahisi sana yaani hata kama hukusoma darasa moja unaweza kuelewa.Katika ujenzi wa jambo lolote kuna mtiririko ufuatao
1.Wazo wa jambo husika
2.Msingi wa jambo husika
3.Ujenzi wa wa jambo husika
4.Hitimisho au finishing
Msingi wa uislam upo kwa nabii Adam na hitimisho au ukamilisho wa uislam uko kwa mtume Muhammad.
Tafadhari naomba unijibu swali hili,KAMA UISLAM UMEANZA KWA MUHAMMAD KWANINI SISI WAISLAMU TUNASHEHEREKEA SIKUU YA KUCHINJA BADALA YA WAKRISTO?
 
Sasa hi ya Israel mtoa roho za watu inatokaga wapi? Kumbuka Israel ndio huyo huyo Yakobo/Yakubu, jina Israel alipewa na Mungu while Yakobo ni jina alilopewa na wazazi wake; na mbona mnamchukia sana Israel muislam mwenzenu? How??????
 
Wadau hamjamboni nyote?

Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."

Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.

Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.

Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali

Niwatakie siku njema wapendwa

Nukuu:

Surah Al-Baqarah Ayat 133

أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ
Waislamu wa facebook mnatuchanganya sana,hivi dini yenu ilianzishwa lini ,mbona mnatuvuruga sana.Uislamu ulikuja zama za mtume tena baada ya kuteremshwa quran na ndio maana mtume akasema yeye atakuwa wa kwanza kwa waliosilimu..kumbuka mtume miaka yake yote 39 hakuwa muislamu (Alikuwa mpagani) je kama uislamu ulikuwepo kwa nini ajiite wa kwanza kusilimu?.Na kama haitoshi kuna aya Allah anazungumzia waliotangulia kabla yenu..je kama ulikuwepo uislamu kwa nini aseme waliotangulia kabla yenu.Kwanza pia nina wasi wasi kabla ya quran hata Allah hakuwepo maana sidhani kama kuna kitabu ambacho kilimzungumzia zaidi ya quran..japokuwa yeye anavitambua vitabu vya zaburi,torat na injili ila sina uhakika kama vimemzungumzia.
 
Nabii Yakubu (Jacob) alikuwa ni mtumishi wa Mungu aliyeishi kabla ya Uislamu, Ukristo, au Uyahudi kujitokeza kama dini zilivyo leo. Katika Uyahudi na Ukristo, anachukuliwa kama mmoja wa mababu wa taifa la Israeli. Katika Uislamu, Yakub anaheshimiwa kama nabii na mmoja wa mitume wa Mwenyezi Mungu, lakini Uislamu ulianzishwa na Mtume Muhammad karne nyingi baada ya maisha ya Yakub.

Kwa hiyo, ingawa Yakub anaheshimiwa katika Uislamu kama nabii, hakuwa "Mwislamu" kwa maana ya kufuata dini ya Kiislamu, bali alikuwa mfuasi wa Mungu Mmoja aliyehubiri ujumbe wa kumtii Mwenyezi Mungu, sawa na manabii wengine waliomtangulia Muhammad.
Correctly answered, Hakukuwa na Dini kwa jina Christianity, Wala Judaism, Wala Islam. Kulikuwa na kuishi kwa mapokeo ya manabii. Dini ziliundwa na serikali mbalimbali kwa kuibia ibia way of life (walikuwa wamestaaribika kuhusu kuwa wasafi kwa kumawa, kutahiriwa n.k) ya Jews na mdio maana hata sasa wanadamu sehemu nyingi dunia wanaendelea kujitambua na kuiachanisha serikali na usimizi wa Dini. Mwisho wa siku Dini itakosa wa kuibeba, hatimaye, kifo.
 
Hujakosea kabisa,,,,,,ndo maana nimekuja kwa ulamaa nielewe vizuri leta habari amii
Mimi niko na mtoa nyuzi si ametoa andiko hapo, wewe lete andiko lako kumpinga sio maneno matupu
 
Back
Top Bottom