Ukiichunguza vizuri quran ipo kwa ajili ya kuwapinga wakristu ,ni kama attacking flani hivi ,mbaya zaidi katika kuran kuna maneno yanasema "Watasema maneno yetu ni uzushi,wengine watasema tumekopi kwenye kwenye vitabu vyao"Nimechunguza nchi hizi,china,india,bangladesh,pakistan,nepal,vietnam,indonesia malaysia zitakuja kuwa za kikristo kila siku makundi yanabatizwa hatari mpaka nimeshangaa hata ukiingia fbni balaa tena wengine wanaenda wenyewe church
AiseeUjinga mtaacha lini waafrika?
Wadau hamjamboni nyote?
Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."
Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.
Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.
Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali
Niwatakie siku njema wapendwa
Nukuu:
Surah Al-Baqarah Ayat 133
أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ
Jamaa ni Kondoo kweli hawawezi kuelewa,hawaelewi kwamba Uislam ulianza kwa Adam ila Muhammad alikuja kukamilisha tu jambo lililoanza Kujengwa na watangulizi wakeUislamu ulikuwepo labda wewe hujui nini maana yake
Ndiyo nakwambia alikopy na kupest tuMOHAMAD ndio alileta uislam,ndio maana tumetaja miaka hiyo. kwani aliyeanzisha uislam ni nani, si mood?
Kakuchagulia nani sasa wakati Bible imeandikwa hivyo, ambao Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo anawahusu hapo wanapiga mstari, wewe kama hakuhusu tulia usipaniki mkuu.Mungu alikuweko kabla ya Ibrahim na akawepo baada ya Ibrahim, huyo ndio Mungu muumba wa mbingu na nchi , kwahiyo usituchagulie Mungu kuanzia Ibrahim mara Isaka
Hapo sasa!Sasa hi ya Israel mtoa roho za watu inatokaga wapi? Kumbuka Israel ndio huyo huyo Yakobo/Yakubu, jina Israel alipewa na Mungu while Yakobo ni jina alilopewa na wazazi wake; na mbona mnamchukia sana Israel muislam mwenzenu? How??????
Yaani Kutoka AGANO la Kale lilipoishia mpaka AGANO jipya likipoanzia ni miaka mia 4 ilipita, mpaka YESU KRISTO anazaliwa na kufa hizo dini za ukristo hazikuwepo, alipo ondoka injili ilianza, sasa huyo nabii Adam kuwa mwislam 🤣🤣🤣 jamani kwanza wamemsoma kwenye Bible Takatifu lakini sasa wanavyo nyumbulisha, mie nachoka kabisaNabii Yakubu (Jacob) alikuwa ni mtumishi wa Mungu aliyeishi kabla ya Uislamu, Ukristo, au Uyahudi kujitokeza kama dini zilivyo leo. Katika Uyahudi na Ukristo, anachukuliwa kama mmoja wa mababu wa taifa la Israeli. Katika Uislamu, Yakub anaheshimiwa kama nabii na mmoja wa mitume wa Mwenyezi Mungu, lakini Uislamu ulianzishwa na Mtume Muhammad karne nyingi baada ya maisha ya Yakub.
Kwa hiyo, ingawa Yakub anaheshimiwa katika Uislamu kama nabii, hakuwa "Mwislamu" kwa maana ya kufuata dini ya Kiislamu, bali alikuwa mfuasi wa Mungu Mmoja aliyehubiri ujumbe wa kumtii Mwenyezi Mungu, sawa na manabii wengine waliomtangulia Muhammad.
Wao wanasema uislam ilikuwepo hata Kwa Adam si ndiyo nashangaa mie, halafu Bible Takatifu haimtaji hata sehemu moja wala nukta lakini wao sijui wanayatoaga wapi , au kitabu cha Ufunuo wa Yohane 😄?MOHAMAD ndio alileta uislam,ndio maana tumetaja miaka hiyo. kwani aliyeanzisha uislam ni nani, si mood?
Ni vituko kuna mengine inasema eti alla anasema wao wanadini yao na sisi tunadini yetu sana mungu gani huyo,au hawatokuwa radhi sijui mpaka mfate mila zao wayahudi na manaswala sasa mungu gani anaongea hivyo🤣🤣😂😂😂Ukiichunguza vizuri quran ipo kwa ajili ya kuwapinga wakristu ,ni kama attacking flani hivi ,mbaya zaidi katika kuran kuna maneno yanasema "Watasema maneno yetu ni uzushi,wengine watasema tumekopi kwenye kwenye vitabu vyao"
Hapa napata mashaka ,how neno toka kwa Allah lilishushwa na Jibril lianze kujitetea eti watasema tumecopy?.
Mbona unazunguka wiki nzima tuambie hapa Yakobo alikuwa na Dini au mpagani? na kama alikuwa na Dini tuletee hapa andiko kuthibitisha Dini yake tofauti na mtoa mada, unaruka ruka kama ndegeshida umemezeshwa matango pori. hizi dini zimekuja siku sio nyingi sana, awali watu waliabudu Mungu bila kuwa na dini. Ibrahim aliongea na Mungu na alimwabudu Mungu bila dini, mood ndio anawaaminisha kwamba hadi zamani kulikuwa na dini, dini gani? mwongo sana yule tapeli wa imani.
Case tofauti wakati katoka kwenye papuchi kama wewe , akili zako zina shida sana, Adam na Hawa ambao hawajapita kwenye papuchi ndio tofauti sasa kuliko huyo Yesu, Adam na Hawa hawakupitia steji zetu za ukuaji wa kawaida wakati Yesu kama wewe tu wote mlianza kuvikwa nepi, wewe huna shida kubwa, ndio shida hii ya kulazimisha viumbe wenzako kuwa MunguMzee fuvu lako gumu sana ,Adamu kafinyangwa kwa udongo hiyo kila mtu anajua ila yesu ni case tofauti kabisa..alikuwepo toka mwanzo wa kuumbwa dunia ..ndio mana alipokuja duniani inaandikwa alifanyika mwili.Tatizo lenu mnasoma kwa kukaririshwa hamruhusu ubongo wenu uchambue mambo,sikulaumu kwa hilo.
Hujui kitu uliza kwa wataalamu wewe ndio maana huelewi, kutwa mnadanganyana wakati hakuna mnacho juaNi vituko kuna mengine inasema eti alla anasema wao wanadini yao na sisi tunadini yetu sana mungu gani huyo,au hawatokuwa radhi sijui mpaka mfate mila zao wayahudi na manaswala sasa mungu gani anaongea hivyo🤣🤣😂😂😂
Sisi tuna Mungu mpaka wa Adam, Hawa ,Nuhu, Mungu ni wa wote sio kakundi ka watuKakuchagulia nani sasa wakati Bible imeandikwa hivyo, ambao Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo anawahusu hapo wanapiga mstari, wewe kama hakuhusu tulia usipaniki mkuu.
Duuh hii ni contradiction kubwa.Kwa hiyo uisilamu haukuletwa na Muhamedi na wala hauongozwi na qurani maana vyote hivyo havikuwepo enzi za muisilamu Yakobo
Sawa katoka kwenye papuchi kama wewe baba yake ni nani?Case tofauti wakati katoka kwenye papuchi kama wewe , akili zako zina shida sana, Adam na Hawa ambao hawajapita kwenye papuchi ndio tofauti sasa kuliko huyo Yesu, Adam na Hawa hawakupitia steji zetu za ukuaji wa kawaida wakati Yesu kama wewe tu wote mlianza kuvikwa nepi, wewe huna shida kubwa, ndio shida hii ya kulazimisha viumbe wenzako kuwa Mungu
Baba yake ni yule alie mtengeneza kwenye tumbo la Mariam na kumtoa kwenye papuchi ambaye ndio Mungu wake, ambaye ndio yule yule aliemuumba Hawa kutoka kwenye Nyama za AdamuSawa katoka kwenye papuchi kama wewe baba yake ni nani?