Asa ww inakuuma nini sisi tulishapewa red flag mapema kua haitokua radhi miyahud na minasara mpaka tufuate mila zao za kuvaa cheni ,,kuvaa modo,kusuka kwa wanaume wakat nyiny walokole mnaona kawaida ...sisi waislam tupo straight kiume zaid kingangari ukileta za kuleta tunakufyeka ,,mbaya zaid sasa kuna baadh ya waslam dhaifu ndio hio mifumo imeshawanasa wamesahau maagizo kutoka kwa mungu wa ulimwengu wote... waislam dhaif ambao wanavaa modo na kutoboa pua na kusuka mfano diamond nkNi vituko kuna mengine inasema eti alla anasema wao wanadini yao na sisi tunadini yetu sana mungu gani huyo,au hawatokuwa radhi sijui mpaka mfate mila zao wayahudi na manaswala sasa mungu gani anaongea hivyo🤣🤣😂😂😂
Nimefurahi kukubali baba yake ni Mungu..case closed.Unajua nyie ndugu zetu mmezoea kukalilishwa ndio mana mpo wagumu sana kuelewa.Allah anadai yeye ndio aliyewafunulia watu kitabu cha injili na torati wakati huo huo kwenye quran anasema kuna watu watakuja kusema tumecopy kutoka katika vitabu vilivyotangulia..sasa kama vyote kavifunua yeye mbona anajishuku..hahahaaaBaba yake ni yule alie mtengeneza kwenye tumbo la Mariam na kumtoa kwenye papuchi ambaye ndio Mungu wake, ambaye ndio yule yule aliemuumba Hawa kutoka kwenye Nyama za Adamu
Ww ndio nimekuelewa, Uislamu umeanza mwaka 600 Yakobo alikuwepo kabla kidogo inachanganya.Nabii Yakubu (Jacob) alikuwa ni mtumishi wa Mungu aliyeishi kabla ya Uislamu, Ukristo, au Uyahudi kujitokeza kama dini zilivyo leo. Katika Uyahudi na Ukristo, anachukuliwa kama mmoja wa mababu wa taifa la Israeli. Katika Uislamu, Yakub anaheshimiwa kama nabii na mmoja wa mitume wa Mwenyezi Mungu, lakini Uislamu ulianzishwa na Mtume Muhammad karne nyingi baada ya maisha ya Yakub.
Kwa hiyo, ingawa Yakub anaheshimiwa katika Uislamu kama nabii, hakuwa "Mwislamu" kwa maana ya kufuata dini ya Kiislamu, bali alikuwa mfuasi wa Mungu Mmoja aliyehubiri ujumbe wa kumtii Mwenyezi Mungu, sawa na manabii wengine waliomtangulia Muhammad.
Nimeandika kitu ambacho kina make sense na hakihitaji hata kubishana, asiye elewa na asielewe.Ww ndio nimekuelewa, Uislamu umeanza mwaka 600 Yakobo alikuwepo kabla kidogo inachanganya.
Kwenye Bible hakuna sehemu yeyote uislamu au mudi anakotajwa.
Mzee umeeleweka vizuri sana. Yakobo ,Yesu, Abrahamu n.k hawakuwa Wakristo lakini walikuwa watumishi wa Mungu.Nimeandika kitu ambacho kina make sense na hakihitaji hata kubishana, asiye elewa na asielewe.
Wadau hamjamboni nyote?
Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."
Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.
Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.
Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali
Niwatakie siku njema wapendwa
Nukuu:
Surah Al-Baqarah Ayat 133
أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ
sasa wewe ni muislam??unaamini kwamba Mungu ana mtoto??Baba yake ni yule alie mtengeneza kwenye tumbo la Mariam na kumtoa kwenye papuchi ambaye ndio Mungu wake, ambaye ndio yule yule aliemuumba Hawa kutoka kwenye Nyama za Adamu
wakristo wote isipokuwa watoto,wanajua hata Yesu mwenyewe hakuwa mkristo.Mzee umeeleweka vizuri sana. Yakobo ,Yesu, Abrahamu n.k hawakuwa Wakristo lakini walikuwa watumishi wa Mungu.
Yes Mungu hajawai kuwa na mtoto wa kumuingizia mbegu mwanamke wala kumpanda mke apate mimbasasa wewe ni muislam??unaamini kwamba Mungu ana mtoto??
huo sio msimamo wa tunaoamini Yesu ni mwana wa Mungu??nyinyi waislam ndio mnaamini Mungu alizidi na mariam??Yes Mungu hajawai kuwa na mtoto wa kumuingizia mbegu mwanamke wala kumpanda mke apate mimba
mchungaji sio mwandishi,mtu kama mzee wa upako au geodavie ukiamua wawe waalimu wako katika ukristo sisi tunakuacha tu akulishe mavi kichwani.Asa na wewe uliona biblia ni kitabu cha kuaminika ambacho kila kukicha wachungaji wenu wanasema kimeshanajisiwa kwa kuchezewa chezewa na wahuni
Sio tunaamini tunakataa kuwa Mungu hawezi shiriki ngono kupata mtoto, ila tunaamini Mungu anaweza kuumba atakavyo, kwahiyo kwa yeyote yule mwenye akili kuwa Yesu ni mwana wa Mungu kisa hana Baba mzazi huyo amepotokahuo sio msimamo wa tunaoamini Yesu ni mwana wa Mungu??nyinyi waislam ndio mnaamini Mungu alizidi na mariam??
kwanini mnaamini Mungu anatakiwa ashiriki ngono ili kupata mtoto??Yeye ni sawa na Muhammad???
Na hili ndio tatizo kubwa la waislamu..tatizo mnaanza madrasa kabla ya kupitia shule ,ndio maana mnakataa utatu huku allah wenu anaumba kwa wingi.Sio tunaamini tunakataa kuwa Mungu hawezi shiriki ngono kupata mtoto, ila tunaamini Mungu anaweza kuumba atakavyo, kwahiyo kwa yeyote yule mwenye akili kuwa Yesu ni mwana wa Mungu kisa hana Baba mzazi huyo amepotoka
Waislam hawana imani na imani yao ndo maana wanatumia nguvu kubwa sana kuaminisha watu kwamba mitume na manabii wa kayahudi walikuwa Waislam jambo ambalo sio kweli.Ficha kidogo ujinga wako,Kuna tofauti ya miaka 622 kati ya ukristo na uislamu.
Utatu ni utapeli, achana nao ,Mungu ni mmoja ambaye hana utatu wala upiliNa hili ndio tatizo kubwa la waislamu..tatizo mnaanza madrasa kabla ya kupitia shule ,ndio maana mnakataa utatu huku allah wenu anaumba kwa wingi.
Sawa kwa nini Allah wenu anasema tuliwaumbeni?? Je alishirikiana na nani kuumba na kama alishirikiana na malaika hauoni kama Allah amefanya shirk kwenye uumbaji?Utatu ni utapeli, achana nao ,Mungu ni mmoja ambaye hana utatu wala upili
Allah amesha sema HANA MSHIRIKA, ameumba kila kitu mwenyewe mbona QURAN iko wazi sana, na kuhusu kutumia wingi umesha fundishwa humu hapo anajifaharisha kwa UUNGU , ndio maana huwezi kuona akimtaja yeyote kuwa ni mshirika wake Quran imenyooka kama ruraSawa kwa nini Allah wenu anasema tuliwaumbeni?? Je alishirikiana na nani kuumba na kama alishirikiana na malaika hauoni kama Allah amefanya shirk kwenye uumbaji?