ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Naam Quran imemaliza, ukikataa uje na andiko sio porojo kama Mbwigayakobo alikuwa muislam,hahahaaaa umefurahi??
Shahada ya nini wakati Quran ilisha maliza kazi kuwa ni waislamu? au umeanza kuchanganyikiwawewe una matatizo,wayahudi wakijusikia wanaona umerukwa na akili unatafuta uhalali wa dini yako kwa kuwapakazia wengine.
umeambiwa let andiko akipata shahada,mwaka wa 1400 huu unaruka ruka tu.
porojo kama za Mbwiga mtume wako Muhammad SAW.Naam Quran imemaliza, ukikataa uje na andiko sio porojo kama Mbwiga
hivi ni kweli kwamba shetani nayeye ni muislam??)Shahada ya nini wakati Quran ilisha maliza kazi kuwa ni waislamu? au umeanza kuchanganyikiwa
Kama hauna andiko acha porojo, Story haina shida yeyote ile , kama wewe unavyo amini habari za joshua? Mtume alikwenda kweli mirajiporojo kama za Mbiga mtume wako Muhammad SAW.
huyu ndio bingwa wa hekaya toka dunia iumbwe.
boss unaijua ile story yake ya kwenda jerusalem na kurudi kwa kutumia mnyama,na shahidi akiwa punda tu???hii story unaiamini kabisa kaka na utu uzima huo!!!!
Shetani ni sifa hata wewe unaweza kuwa shetani kwahiyo HANA DINIhivi ni kweli kwamba shetani nayeye ni muislam??)
porojo ni muhimu mbona Muhammad alikuwa anavimbiwa tu asubuhi anawajia wajinga na wahyi na wanakaa,kinachonisikitisha miaka 1400 mbele bado kuna mazuzu yanasikiliza mbanga zake!!!Kama hauna andiko acha porojo, Story haina shida yeyote ile , kama wewe unavyo amini habari za joshua? Mtume alikwenda kweli miraji
ili niwe shetani natakiwa kuwa na sifa gani??Shetani ni sifa hata wewe unaweza kuwa shetani kwahiyo HANA DINI
Usipotii amri za Mungu tayari umekuwa shetaniili niwe shetani natakiwa kuwa na sifa gani??
Huu ni upuuzi mwingine unapotosha waziwazi.Wadau hamjamboni nyote?
Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."
Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.
Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.
Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali
Niwatakie siku njema wapendwa
Nukuu:
Surah Al-Baqarah Ayat 133
أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ
Mohamadi alikuwa mtu makini anae mjua Mungu , ndio maana hata siku moja hajawai wafundisha watu ujinga kuwa ili watu wakombolewe basi Mungu aje duniani avishwe nepi, kwa kweli Mohamadi alikuwa timamu sana, anajua Mungu sio toiporojo ni muhimu mbona Muhammad alikuwa anavimbiwa tu asubuhi anawajia wajinga na wahyi na wanakaa,kinachonisikitisha miaka 1400 mbele bado kuna mazuzu yanasikiliza mbanga zake!!!
embu kamwambie hivi mwanao wa miaka 3 halafu pia mwambie kwamba Muhammad alimtia aisha akiwa na miaka 9 usikie dogo atakujibu nini.Mohamadi alikuwa mtu makini anae mjua Mungu , ndio maana hata siku moja hajawai wafundisha watu ujinga kuwa ili watu wakombolewe basi Mungu aje duniani avishwe nepi, kwa kweli Mohamadi alikuwa timamu sana, anajua Mungu sio toi
Siyo ukweli mkuu, uislamu umeanza zamani sna , kitendo cha ku amini mungu mmoja na kuto mshirikisha ni dalili za kuamini uislamu,Nabii Yakubu (Jacob) alikuwa ni mtumishi wa Mungu aliyeishi kabla ya Uislamu, Ukristo, au Uyahudi kujitokeza kama dini zilivyo leo. Katika Uyahudi na Ukristo, anachukuliwa kama mmoja wa mababu wa taifa la Israeli. Katika Uislamu, Yakub anaheshimiwa kama nabii na mmoja wa mitume wa Mwenyezi Mungu, lakini Uislamu ulianzishwa na Mtume Muhammad karne nyingi baada ya maisha ya Yakub.
Kwa hiyo, ingawa Yakub anaheshimiwa katika Uislamu kama nabii, hakuwa "Mwislamu" kwa maana ya kufuata dini ya Kiislamu, bali alikuwa mfuasi wa Mungu Mmoja aliyehubiri ujumbe wa kumtii Mwenyezi Mungu, sawa na manabii wengine waliomtangulia Muhammad.
Ijue bible akili zako zichaji vizuri ona maproffesor wote ni wasomi wazuri wa bible😁😁 wanachota material sio unasoma eti mkifa mtapata mabikira 72 😂😂😂jiongeze wewe ,upande huo wanawaza mibanjuko tu mara wake wanne🤣🤣🤣🤣🤣Hujui kitu uliza kwa wataalamu wewe ndio maana huelewi, kutwa mnadanganyana wakati hakuna mnacho jua
Nguo sio kigezo wewe😁😁😂😂 amka mbona hamvai kanzu zenu kila leo basi mnagombania suti,jeans,tshirt nk 😁😁😂😂vaeni kanzu zenu basi japo week tu uone kama mtavaa🤣🤣🤣🤣na ushoga umejaa sana zenji bar huko wanakuambia suna😂😂😂😂Asa ww inakuuma nini sisi tulishapewa red flag mapema kua haitokua radhi miyahud na minasara mpaka tufuate mila zao za kuvaa cheni ,,kuvaa modo,kusuka kwa wanaume wakat nyiny walokole mnaona kawaida ...sisi waislam tupo straight kiume zaid kingangari ukileta za kuleta tunakufyeka ,,mbaya zaid sasa kuna baadh ya waslam dhaifu ndio hio mifumo imeshawanasa wamesahau maagizo kutoka kwa mungu wa ulimwengu wote... waislam dhaif ambao wanavaa modo na kutoboa pua na kusuka mfano diamond nk
Umri ni namba tu , baba yake mzazi aliona mwanae kakua wewe unambishia wewe mtoto wako? tulisha waambia mwanao ni wa damu tu sio mtoto katoka huko unaishi nae ndio anakuwa mwanao HAPANA, mbona huko mnafundishwa Yakobo alipita na mtu na dada yake na wote AKAOA ? muwe mnakuja huku kutangaza pia Kwamba wana wa Israel ni uzao wa dada mkubwa na mdogo wake wote walizalishwa na Yakobo pamoja na wafanyakazi wao wa ndani muwe mnakuja humu kusema pia, ndio maana nasema Mohamadi ni mtu makini, katufundisha Mungu mwenye utukufu sio Mungu wa kutemewa mate kama takatakaembu kamwambie hivi mwanao wa miaka 3 halafu pia mwambie kwamba Muhammad alimtia aisha akiwa na miaka 9 usikie dogo atakujibu nini.
Muhammad hajawahi kuwa makini,fikiria mtu makini anayemuogopa Mungu anamnyatia mke wa mwanaye tena anamtia jumla.
neno MAKINI kiislam lina maana tofauti kabisa.
Umeona sasa unashangaa bikra 72 maisha ya milele, wakati mfalme Selemani aliishi duniani muda mchache lakini alikuwa na wanawake 700, kuna shida kwenye akili yako, Mungu ikimpendeza aongeze wafike hata 100Ijue bible akili zako zichaji vizuri ona maproffesor wote ni wasomi wazuri wa bible😁😁 wanachota material sio unasoma eti mkifa mtapata mabikira 72 😂😂😂jiongeze wewe ,upande huo wanawaza mibanjuko tu mara wake wanne🤣🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo wewe unataka uislamu utajwe na biblia ili iweje? ikiwa biblia yenyewe kuna watu baadhi ya vitabu hawavitaki mfano Habakuki n.k wenyewe mpaka sasa mmeshindwa kukubaliana vitabu ni 72/73 au 66? ebu tulia Quran inajitosheleza hatuitaji kitabu kingine ambacho wenyewe hamuelewi , ila ukipinga andiko la Quran uje na andiko lako sio porojoyaani muudi muongo hadi yeye mwenyewe huko aliko motoni atakuwa anajicheka. anamaanisha Uislam ulikuwepo tangu Adam na kabla ya Yakobo na Ibrahim. wanakubali kwamba uislam ulikuwepo kabla ya Biblia, lakini hakuna hata sehemu moja Biblia imetaja neno uislam wala dini ya kiislam, zaidi ya eneo moja tu ambalo halijataja moja kwa moja, ial wameongelea dini za watuwa eneo hilo, wapagani waliokuwa wanaabudu Baali, huyo ndiye alikuwa mungu wa waarabu wa Gaza na maeneo mengine.