Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

wewe una matatizo,wayahudi wakijusikia wanaona umerukwa na akili unatafuta uhalali wa dini yako kwa kuwapakazia wengine.

umeambiwa let andiko akipata shahada,mwaka wa 1400 huu unaruka ruka tu.
Shahada ya nini wakati Quran ilisha maliza kazi kuwa ni waislamu? au umeanza kuchanganyikiwa
 
Naam Quran imemaliza, ukikataa uje na andiko sio porojo kama Mbwiga
porojo kama za Mbwiga mtume wako Muhammad SAW.

huyu ndio bingwa wa hekaya toka dunia iumbwe.

boss unaijua ile story yake ya kwenda jerusalem na kurudi kwa kutumia mnyama,na shahidi akiwa punda tu???hii story unaiamini kabisa kaka na utu uzima huo!!!!
 
porojo kama za Mbiga mtume wako Muhammad SAW.

huyu ndio bingwa wa hekaya toka dunia iumbwe.

boss unaijua ile story yake ya kwenda jerusalem na kurudi kwa kutumia mnyama,na shahidi akiwa punda tu???hii story unaiamini kabisa kaka na utu uzima huo!!!!
Kama hauna andiko acha porojo, Story haina shida yeyote ile , kama wewe unavyo amini habari za joshua? Mtume alikwenda kweli miraji
 
Kama hauna andiko acha porojo, Story haina shida yeyote ile , kama wewe unavyo amini habari za joshua? Mtume alikwenda kweli miraji
porojo ni muhimu mbona Muhammad alikuwa anavimbiwa tu asubuhi anawajia wajinga na wahyi na wanakaa,kinachonisikitisha miaka 1400 mbele bado kuna mazuzu yanasikiliza mbanga zake!!!
 
Wadau hamjamboni nyote?

Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."

Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.

Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.

Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali

Niwatakie siku njema wapendwa

Nukuu:

Surah Al-Baqarah Ayat 133

أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ
Huu ni upuuzi mwingine unapotosha waziwazi.

Hata TU historia ya dini Yako hulijui. Ukristo ni zao la ujio wa Kristo ndio maana wafuasi wake wanaoitwa Wakristo.

Waislam ni zao la Mtume Mohammad (SAW). Na alikua miaka 600A.D. hivyo kihistoria TU Uislamu unamiaka michache duniani kuliko ukristo yaani Uislam una my miaka 1400+ (fuatilia kalenda yao).

Tuje hoja ya Jakobo aliishi inakdiriwa miaka kati ya 4500 na 4300 kabla ya Kristu yaani miaka 6500 iliyopita. Wakati Uislamu umeishi miaka 1400 TU. Zipo historical facts za kuthibitisha hilo.

Andiko lilitolewa hapo juu limetoka kwenye Quran hivyo kwangu sitaweza kuliamini maana Sina hakika chanzo chake ni kitu Gani.

Kwenye Ukristu wakatoliki ndio walifanya compilation ya vitabu na nyaraka mbalimbali za kale na kutengeneza Biblia na mwaka 327A.D ndio Biblia ilikamila rasmi. (Agano la kale na Kipya).

Na nyakati hizo hakukuwa na dini au dhehebu lolote la kiislamu hakuna kitabu chochote kilichotambua Uislamu. Kumbuka kwenye biblia makabila yalikua na miungu/medhehebu mbambali yametajwa hakuna uislam. Hivyo Uislamu ulikuja baadae 600a.d

Kitabu Cha Uislamu kinamtambua Yesu (nabii Issa) kwa sababu Uislamu ulikuja baada ya Kristu. Ila hakuna sehemu yeyote kwenye maandiko ya Biblia inautambua Uislamu.

Mwisho ila sio kwa umuhimu.
Vitabu vyote karibu vya dini zote vinawatambua Ibrahimu, Isiaka na Jacobo kama baba wa Imani. Kama ilivyo sote tunaamini wazee wetu wa kwanza ni Adam na Eva.

Hata kwenye Uislamu Kuna agano la kale na Kipya. Agano Jipya ni Yale aliyoyafanya na kuagiza Mtume Mohamed na Yale mapokeo ya manabii kuanzia Adamu na Eva.

Hivyo tuache upotishaji Jacob na Kuna wengine wanasema hata Yesu alikua Muislamu. Tuache upotishaji
 
porojo ni muhimu mbona Muhammad alikuwa anavimbiwa tu asubuhi anawajia wajinga na wahyi na wanakaa,kinachonisikitisha miaka 1400 mbele bado kuna mazuzu yanasikiliza mbanga zake!!!
Mohamadi alikuwa mtu makini anae mjua Mungu , ndio maana hata siku moja hajawai wafundisha watu ujinga kuwa ili watu wakombolewe basi Mungu aje duniani avishwe nepi, kwa kweli Mohamadi alikuwa timamu sana, anajua Mungu sio toi
 
embu kamwambie hivi mwanao wa miaka 3 halafu pia mwambie kwamba Muhammad alimtia aisha akiwa na miaka 9 usikie dogo atakujibu nini.

Muhammad hajawahi kuwa makini,fikiria mtu makini anayemuogopa Mungu anamnyatia mke wa mwanaye tena anamtia jumla.

neno MAKINI kiislam lina maana tofauti kabisa.
 
Nabii Yakubu (Jacob) alikuwa ni mtumishi wa Mungu aliyeishi kabla ya Uislamu, Ukristo, au Uyahudi kujitokeza kama dini zilivyo leo. Katika Uyahudi na Ukristo, anachukuliwa kama mmoja wa mababu wa taifa la Israeli. Katika Uislamu, Yakub anaheshimiwa kama nabii na mmoja wa mitume wa Mwenyezi Mungu, lakini Uislamu ulianzishwa na Mtume Muhammad karne nyingi baada ya maisha ya Yakub.

Kwa hiyo, ingawa Yakub anaheshimiwa katika Uislamu kama nabii, hakuwa "Mwislamu" kwa maana ya kufuata dini ya Kiislamu, bali alikuwa mfuasi wa Mungu Mmoja aliyehubiri ujumbe wa kumtii Mwenyezi Mungu, sawa na manabii wengine waliomtangulia Muhammad.
Siyo ukweli mkuu, uislamu umeanza zamani sna , kitendo cha ku amini mungu mmoja na kuto mshirikisha ni dalili za kuamini uislamu,
 
Hujui kitu uliza kwa wataalamu wewe ndio maana huelewi, kutwa mnadanganyana wakati hakuna mnacho jua
Ijue bible akili zako zichaji vizuri ona maproffesor wote ni wasomi wazuri wa bible😁😁 wanachota material sio unasoma eti mkifa mtapata mabikira 72 😂😂😂jiongeze wewe ,upande huo wanawaza mibanjuko tu mara wake wanne🤣🤣🤣🤣🤣
 
Asa ww inakuuma nini sisi tulishapewa red flag mapema kua haitokua radhi miyahud na minasara mpaka tufuate mila zao za kuvaa cheni ,,kuvaa modo,kusuka kwa wanaume wakat nyiny walokole mnaona kawaida ...sisi waislam tupo straight kiume zaid kingangari ukileta za kuleta tunakufyeka ,,mbaya zaid sasa kuna baadh ya waslam dhaifu ndio hio mifumo imeshawanasa wamesahau maagizo kutoka kwa mungu wa ulimwengu wote... waislam dhaif ambao wanavaa modo na kutoboa pua na kusuka mfano diamond nk
Nguo sio kigezo wewe😁😁😂😂 amka mbona hamvai kanzu zenu kila leo basi mnagombania suti,jeans,tshirt nk 😁😁😂😂vaeni kanzu zenu basi japo week tu uone kama mtavaa🤣🤣🤣🤣na ushoga umejaa sana zenji bar huko wanakuambia suna😂😂😂😂
 
embu kamwambie hivi mwanao wa miaka 3 halafu pia mwambie kwamba Muhammad alimtia aisha akiwa na miaka 9 usikie dogo atakujibu nini.

Muhammad hajawahi kuwa makini,fikiria mtu makini anayemuogopa Mungu anamnyatia mke wa mwanaye tena anamtia jumla.

neno MAKINI kiislam lina maana tofauti kabisa.
Umri ni namba tu , baba yake mzazi aliona mwanae kakua wewe unambishia wewe mtoto wako? tulisha waambia mwanao ni wa damu tu sio mtoto katoka huko unaishi nae ndio anakuwa mwanao HAPANA, mbona huko mnafundishwa Yakobo alipita na mtu na dada yake na wote AKAOA ? muwe mnakuja huku kutangaza pia Kwamba wana wa Israel ni uzao wa dada mkubwa na mdogo wake wote walizalishwa na Yakobo pamoja na wafanyakazi wao wa ndani muwe mnakuja humu kusema pia, ndio maana nasema Mohamadi ni mtu makini, katufundisha Mungu mwenye utukufu sio Mungu wa kutemewa mate kama takataka
 
yaani muudi muongo hadi yeye mwenyewe huko aliko motoni atakuwa anajicheka. anamaanisha Uislam ulikuwepo tangu Adam na kabla ya Yakobo na Ibrahim. wanakubali kwamba uislam ulikuwepo kabla ya Biblia, lakini hakuna hata sehemu moja Biblia imetaja neno uislam wala dini ya kiislam, zaidi ya eneo moja tu ambalo halijataja moja kwa moja, ial wameongelea dini za watuwa eneo hilo, wapagani waliokuwa wanaabudu Baali, huyo ndiye alikuwa mungu wa waarabu wa Gaza na maeneo mengine.
 
Ijue bible akili zako zichaji vizuri ona maproffesor wote ni wasomi wazuri wa bible😁😁 wanachota material sio unasoma eti mkifa mtapata mabikira 72 😂😂😂jiongeze wewe ,upande huo wanawaza mibanjuko tu mara wake wanne🤣🤣🤣🤣🤣
Umeona sasa unashangaa bikra 72 maisha ya milele, wakati mfalme Selemani aliishi duniani muda mchache lakini alikuwa na wanawake 700, kuna shida kwenye akili yako, Mungu ikimpendeza aongeze wafike hata 100
 
Wakati mnatoana damu, Msisahau kwamba bado natafuta Tester wa App ya Qur-an, Pitia uzi Je, nastahili pongezi kwa haya niliyofanya?
Screenshot_20241020-162029~2.png

Hatua za Kushiriki.

1.Fungua link ya kwanza kisha jaza email yako/ Au weka hapa Email yako

2.Fungua Link ya pili kisha download App hii

Kwa Maelezo zaidi Uliza hapa chap
 
yaani muudi muongo hadi yeye mwenyewe huko aliko motoni atakuwa anajicheka. anamaanisha Uislam ulikuwepo tangu Adam na kabla ya Yakobo na Ibrahim. wanakubali kwamba uislam ulikuwepo kabla ya Biblia, lakini hakuna hata sehemu moja Biblia imetaja neno uislam wala dini ya kiislam, zaidi ya eneo moja tu ambalo halijataja moja kwa moja, ial wameongelea dini za watuwa eneo hilo, wapagani waliokuwa wanaabudu Baali, huyo ndiye alikuwa mungu wa waarabu wa Gaza na maeneo mengine.
Kwahiyo wewe unataka uislamu utajwe na biblia ili iweje? ikiwa biblia yenyewe kuna watu baadhi ya vitabu hawavitaki mfano Habakuki n.k wenyewe mpaka sasa mmeshindwa kukubaliana vitabu ni 72/73 au 66? ebu tulia Quran inajitosheleza hatuitaji kitabu kingine ambacho wenyewe hamuelewi , ila ukipinga andiko la Quran uje na andiko lako sio porojo
 
Back
Top Bottom