Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uislam na mitombo ni dam damu,ndio maana hata huoni shida hapo mradi mzazi karidhia,naweza kumuoa binti yako wa miaka 6 leo???nawewe ukakubali??Hata angekuwa na mwaka mmoja ameoa kihalaii na wazazi wamemtoa mtoto wao ,
Usiww na akili fupi kama za mtume wako???wewe shule umeenda na huwenda imekusaidia kidogo.uislamu huko wazi alioa, YAKOBO ndio Israel yenyewe hawa wana waisrael mnao wasema sasa bila Yakobo wasingekuwepo maana yeye ndio kawazaa sasa ajabu unajizima data wakati hawa waisrael walipatikana kwa Yakobo kugonga mtu na dada yake pamoja na wafanyakazi wao wa ndani halafu unasema eti Yakobo sio nabii wetu nani kakuuliza nabii hapa!!!!
yakobo alilazimishwa kuoa mtu na dada yake,wala haikuwa ridhaa yake au msukumo wa ashki majinuun kama za mtume na hata alipozaa na beki 3 yalikuwa maagizo maalumu.Yesu ni uzao wa ndugu wawili kupigwa bakora na Yakobo pamoja na wafanyakazi wao wa ndani maarufu mabeki tatu halafu unakuja kutupigia kelele eti Mohamadi anamtaka mke wa mwanae
Huu utetezi wa kifala kabisa,huyu bazazi hata bi khadija alimla kwa mbinu hizo hizo kwamba anampa matunzo😂😂,inawezekana kabisa hata kijana aliyemuasili alimvuta jirani ili amt ombee,na akafanya kweli., huyo mwanae alizaa na mwanamke gani!!! yule ni mtoto wa kufikia tu sio mwanae ,
Yakobo alipewa wake wawili maana ilikuwa ni haram kumwoa mdogo mtu dada akiwa bado,na alizaa na kijakazi kwa maagizo maalumu,hivyo kabla hujashangaa hilo shangaa Yakobo mwenye jina lake Israel kupiga Threesome mtu na dada yake tumbo moja ili kuwatafuta wana wa Israel 😂😂😂
Narudia tena sio kenge yeyote wa kiislam anayeweza kunielewesha kuhusu Quran maana hakuna aliyeielewa.Unataka uhalisia gani kama mpaka sasa mmeshindwa kuelewana kuwa Habakuki ni kitabu ndani ya biblia au sio kitabu? wewe unazungumzia uhalisia wakati kuna wakristo wengine wanatumia vitabu 66 tu vile vingine wanasema havina pumzi ya Mungu na wale wengine wanatumia 72/73 vurugu tupu,Quran iko vizuri kabisaa wewe lete hapa aya moja moja utaelekezwa sio unarusha mate kama nyoka wakati mwalimu nipo
Tulia upate dawa wewe ni wale wa 66 au 72/73 ? Kwanza tukujue , Habakuki wale wa 66 kinaonekana ni kitabu cha kitapeli halafu unaniuliza habari za Yesu kwenye Habakuki kawaulize wale wanaokikataa ndio uje hapa sawa dogo? yaani mtu anaamua kufuta vitabu 6 na hakuna kitu mtamfanya halafu unataka sisi tuulize habari za Mungu mvaa nepi hauko serious wewe !!😂😂Quran ni kitabu bora kabisaaa hakina longo longoNarudia tena sio kenge yeyote wa kiislam anayeweza kunielewesha kuhusu Quran maana hakuna aliyeielewa.
Swali la msingi kwako habakuki inaeleza nini kuhusu ujio,kifo na ufufuko wa Yesu???
Hujui hata historia ya uislam na Quran maana uthman ndio mtu alijipa mamlaka ya kukusanya mabaki ya Quran na kuyaweka pamoja,yeye ndiye kazikwa na siri za ukweli wa aya zilizopo ktk Quran,maana zipo ambazo hakuzipenda akazitupa.
Yaani mtume hakuwa anajua kusoma.
Akakariri aya na kuwasomewa waandishi.
Wakaandika na wakasomesha watu wakazikariri.
Baadae mtume kafa miaka mingi baadae uthman anaamua ipo iwemo ipi hapana.
Nenda katafiti uzuri.
Sasa ndio utumie akili kujua kwamba kuna vitabu vimetolewa maana uwepo wake na kutokuwepo kwake hakubadilishi chochote katika msingi mzima wa imani.maana hata wewe unakubali ni cha kihuni,kama kile cha barnaba ambacho kiliandikwa karne ya 12.Tulia upate dawa wewe ni wale wa 66 au 72/73 ? Kwanza tukujue , Habakuki hakuna liko na wale wa 66 kinaonekana ni kitabu cha kitapeli halafu unaniuliza habari za Yesu kwenye Habakuki kawaulize wale wanaokikataa ndio uje hapa sawa dogo? yaani mtu anaamua kufuta vitabu 6 na hakuna kitu mtamfanya halafu unataka sisi tuulize habari za Mungu mvaa nepi hauko serious wewe !!😂😂Quran ni kitabu bora kabisaaa hakina longo longo
ili nijue kama uislam ulikuwepo kabla ya Biblia. ama la, utakuwa uongo.Kwahiyo wewe unataka uislamu utajwe na biblia ili iweje? ikiwa biblia yenyewe kuna watu baadhi ya vitabu hawavitaki mfano Habakuki n.k wenyewe mpaka sasa mmeshindwa kukubaliana vitabu ni 72/73 au 66? ebu tulia Quran inajitosheleza hatuitaji kitabu kingine ambacho wenyewe hamuelewi , ila ukipinga andiko la Quran uje na andiko lako sio porojo
Biblia ipi sasa una maanisha ya vitabu 66 au 72/73? Uislamu hautegemei Biblia kujitangaza umekuja na maelekezo kamiliili nijue kama uislam ulikuwepo kabla ya Biblia. ama la, utakuwa uongo.
mbona unaruka ruka tena suala la mimi kukubali sio hoja, wewe mkristo tuambie ni yupi kati ya hawa wanasema kweli 66 au 72/73? hawa wa 66 wanaona vile vitabu 6 ni takataka badala ya kujadili unaanza kusema eti wewe unakubali sasa mimi mkristo?😂😂😂 kitabu ambacho hakijulikani idadi ipi inakubalika kwa wanaoamini unataka kufananisha na Quran iliotulia kabisaaa, nimeshakwambia lete hapa aya yeyote nitakufundisha mimi sio mtu wa kuacha wanafunzi kama wewe Mkae, hii ndio shida ya kumfanya mnya mavi kama wewe kuwa ni Mungu shida sanaSasa ndio utumie akili kujua kwamba kuna vitabu vimetolewa maana uwepo wake na kutokuwepo kwake hakubadilishi chochote katika msingi mzima wa imani.maana hata wewe unakubali ni cha kihuni,kama kile cha barnaba ambacho kiliandikwa karne ya 12.
Ndio maana unaona kuna madhehebu mengi ila hakuna linalokataa Yesu hakufa wala kufufuka,maana ndio msingi wa ukristo.
Quran hii hii iliyosema nyota ni urembo umeweka kupamba anga😁😁😁,ah kudadadeki.
Vina athali gani??wanaotumia 66 msingi wao wa imani ni upi tofauti na wa 77 au 72??1. Ndio shida ya kuamka umelewa Biblia iwe kitabu cha Mungu watu wakatae vitabu 6 wewe unasema havina athari? 😂😂😂
Mimi ni mzima kuliko Allah wako aliyeamua kukupa mtume kama Muhammad alikudharau sana,yaani watu wakatae mafundisho ya Mungu kuwa ni takataka unakuja hapa kuropoka havina athari !!! nimecheka sana, watu wanajiamulia tu hivi vitabu vya Mungu hivi sio kwa Mungu kwa utashi wao halafu unaniletea mimi hoja za kitoto eti havina athari , wewe sio mzima kama yule Mungu wako walio mchapa makofi wewe
huyo ni Allah sio Mungu,sema umesisitiza Allah hawezi kuwa na mwana maana hana mke,yaani inahitaji Allah kuingilia mke ili awe na mwana😁😁2.Uislamu unatambua ukristo ndio maana mara zote umesisitiza Mungu hana mwana
Yesu ni kiumbe kabisa,na ni Mungu kabisa., Yule Mungu wenu ni kiumbe tu cha Mungu , ambacho kinakwenda chooni na kula kama wewe , Quran iko wazi acha kuabudu binadamu wenzao, sio kutambua tu imekuonya pia kuachana na kuabudu kiumbe kama wewe
Mwalimu wa kiwango kikubwa wa Quran😆😆.3.Mimi nitakufundisha Quran siku zote maana mimi najua wanafunzi kama wewe mpo, unaleta vitu robo robo mimi nitakueleleza kitu kizima, maana hapa umekutana na mwalimu wa kiwango kikubwa kabisaaa
😂😂😂kaka nyota zinatoa mwanga???uko serious??4.Umetaja nyota mwenyewe kuwa Quran imesema nyota ni urembo tu ukaishia hapo ukaanza kujichekesha, mimi kama mwalimu nikakwambia usiishie hapo tu vile vile imetaja nyota kwa ajili ya kutoa mwanga nyakati za Giza popote pale bara au baharini, sasa unalia lia nini hapo 😂😂😂 au unafikiri tunabahatisha ukaona umeandika kitu cha maana nitakunyoosha humu
Kmmmk🤣🤣🤣🤣,,WHEN IT WAS DARK THESE STARS WOULD LIGHT UP THE SKY GIVING PEOPLE LIGHT ‘
Kaka geography ya darasa la 5 hii kaka,ulimaliza shule ya msingi kweli wewe???nyota ya karibu kabisa na yenye nguvu ya kutoa mwanga na joto ni jua peke yake.Kijana hakuna kubahatisha HAPA
1. Tutaelewana tu , wanaotumia 66 maana yake wameona kuwa vile 6 huyo Mungu wako alikosea ndio maana HAWAVITAKI, sasa kama wanaweza kukataa maneno ya Mungu wao hiko kitabu cha nini mimi? yaani watu wanaweza kulala na kuamka na kuanza kufuta maandiko ya Mungu halafu unauliza athari gani aiseee wewe jamaa huko serious kweli? 😳😳Vina athali gani??wanaotumia 66 msingi wao wa imani ni upi tofauti na wa 77 au 72??
Mimi ni mzima kuliko Allah wako aliyeamua kukupa mtume kama Muhammad alikudharau sana,
hivyo vitabu 6 vina mafundisho yapi ya Mungu ambayo wewe unadhani hayafuatwi???
huyo ni Allah sio Mungu,sema umesisitiza Allah hawezi kuwa na mwana maana hana mke,yaani inahitaji Allah kuingilia mke ili awe na mwana😁😁
Yesu ni kiumbe kabisa,na ni Mungu kabisa.
wakati Muhammad anajaribu kuwafundisha Mungu ni nani alichanganya akaweka finction zake za ndotoni na maandiko yaliyotanguli,ndio maana unaoa story nyingi zina mkanganyiko.
Hivi wewe kwa akili zako unaweza kukataa Mungu hana mwana halafu useme,umekuja kusisitiza maandiko yaliyopita???sawa hakujua kusoma hajawahi kusoma popote Je Allah hakujua yalisemaje aliyowapa waliomtangulia mtume wake wa maji ya ugoko??
Mwalimu wa kiwango kikubwa wa Quran😆😆.
😂😂😂kaka nyota zinatoa mwanga???uko serious??
Yaani issue ya utembo wa anga unaona nimeandika pumba ila uje upinge kwamba Quran imesema pia zinatoa mwanga😁😁.
Dah!!!
Kmmmk🤣🤣🤣🤣
Kaka geography ya darasa la 5 hii kaka,ulimaliza shule kweli wewe???nyota ya karibu kabisa na yenye nguvu ya kutoa mwanga na joto ni jua peke yake.
Zilizobaki zote hazina uwezo huo,umeshawahi kuishi porini gizani bila mwezi ila nyota peke yake???
Niambie zilikusaidia kuona nini😂😂😂
Mimi niko serious nakuuliza vitabu 66 vina wakristo aina gani tofauti na hawa wa 77 hujibu mkuu??1. Tutaelewana tu , wanaotumia 66 maana yake wameona kuwa vile 6 huyo Mungu wako alikosea ndio maana HAWAVITAKI, sasa kama wanaweza kukataa maneno ya Mungu wao hiko kitabu cha nini mimi? yaani watu wanaweza kulala na kuamka na kuanza kufuta maandiko ya Mungu halafu unauliza athari gani aiseee wewe jamaa huko serious kweli? 😳😳
Ndio maana tunasema Allah hajawahi na hatakuwa Mungu,Mungu ametambua watu kibao kama wanaye yeye,lakini mlivyo wachafu wa tabia na mawazo akili zimewapeleka kwenye kutiana kupata mimba🤭🤭🤭.2.Allah amesha sema na nimesha kufundisha Wale wanaosema kuwa Yesu ni mwana wa Mungu kisa hana baba ndio Allah amekataa kuwa hilo jambo halipo,
Ok tufanye ni kiumbe kama bata,wewe unaweza kumsujudia??? Haiwezekani kusujudia bata.Yesu ni kiumbe tu cha Allah kama viumbe wengine mfano Kuku, Bata n.k ni kichaa pekee ndio anaweza kuamini Mungu wake kavalishwa nepi na kachambishwa mavi
Narudia tena hii ni sayansi ya la 5 b,na kukusisitiza nikakuuliza umeshawahi kuishi mazingira ya giza kukiwa hakuna mbalamwezi wala mawingu???ulishuhudia mwanga upi kutoka kwenye nyota ukikusaidia hata kuokota kuni???😂😂.3. Kuhusu nyota nimeshakufundisha wakati wa giza zenyewe ndio zina mulika anga na kutoa mwangaza sasa hapa napo huelewi??yaaan mtu unaambiwa kabisaa wakati wa GIZA unasema jua linatoa mwanga , ebu nenda hata kagoogle basi acha uvivu, watu walisha thinitisha
ndio wakati wa giza kabisa bila mbalamwezi wala mawingi yaani nyota zikiwa wazi kabisa.UNA SWALI JINGINE wakati wa GIZA uwe unaelewa wewe 😂😂😂😂
dah kmmmk Quran😂😂😂😂
1.Wakristo wote walikuwa wanatumia vitabu 72/73, baada wakaja wale watu wamabadiliko wakaona vile vitabu 6 vinamatatizo Mungu wao alichanganyikiwa kwahiyo wakavitoa , sasa kama watu wanaweza kuamua tu kutoa vitabu kama wanatoa sisimizi mwilini unaniambia hakuna athari hujawai kuwa serious wewe 😳😳, Roman katoliki wanatumia 72/73 kama zamani, kuna hawa walimtoa Mungu wao kasoro na kufuta vile vitabu 6 na kutumia 66 ambao ni wasabato, Anglikana, lutheran n.k, yaani ukifika kwa hao wanajua kuwa vile vitabu Sita Mungu wako ALIVURUGWA HAVIFAI hatari sana hiiMimi niko serious nakuuliza vitabu 66 vina wakristo aina gani tofauti na hawa wa 77 hujibu mkuu??
Au kama hilo gumu hujui niambie vitabu 6 vilivyotolewa vina maagizo gani ya Mungu???
Wewe sio mkristo huujui ukristo najaribu kukuyliza kulingana na uelewa wako lakini bado inakuwa ngumu kunielewa.
Ndio maana tunasema Allah hajawahi na hatakuwa Mungu,Mungu ametambua watu kibao kama wanaye yeye,lakini mlivyo wachafu wa tabia na mawazo akili zimewapeleka kwenye kutiana kupata mimba🤭🤭🤭.
Yesu mwenyewe mnayemkomalia kwamba ni muislam anapingana na maagizo ya Allah kwa kumwita baba yake,unaona hoja kwamba uislam ni dini ya kwenye wallet ya Muhammad inapoibukia???
Ok tufanye ni kiumbe kama bata,wewe unaweza kumsujudia??? Haiwezekani kusujudia bata.
ila na akili zako timamu unakwenda kusujudia jiwe jeusi,tena limeumbwa na mtu sio Mungu kwamba walau lina pumzi😂😂😂.
Narudia tena hii ni sayansi ya la 5 b,na kukusisitiza nikakuuliza umeshawahi kuishi mazingira ya giza kukiwa hakuna mbalamwezi wala mawingu???ulishuhudia mwanga upi kutoka kwenye nyota ukikusaidia hata kuokota kuni???😂😂.
ndio wakati wa giza kabisa bila mbalamwezi wala mawingi yaani nyota zikiwa wazi kabisa.
dah kmmmk Quran😂😂😂😂
Kati ya hao wakristo uliowataja ni kundi lipi linaamini Yesu hakuzaliwa,hakufa wala hakufufuka??1.Wakristo wote walikuwa wanatumia vitabu 72/73, baada wakaja wale watu wamabadiliko wakaona vile vitabu 6 vinamatatizo Mungu wao alichanganyikiwa kwahiyo wakavitoa , sasa kama watu wanaweza kuamua tu kutoa vitabu kama wanatoa sisimizi mwilini unaniambia hakuna athari hujawai kuwa serious wewe 😳😳, Roman katoliki wanatumia 72/73 kama zamani, kuna hawa walimtoa Mungu wao kasoro na kufuta vile vitabu 6 na kutumia 66 ambao ni wasabato, Anglikana, lutheran n.k, yaani ukifika kwa hao wanajua kuwa vile vitabu Sita Mungu wako ALIVURUGWA HAVIFAI hatari sana hii
Ahaa kwahiyo wewe unaamini Mungu alitoa agizo tu kwa kauli na mimba ikatungwa kwa mariam???2.Yesu yupi tena sisi kwetu ni kiumbe kama wewe hapo , nimeshakwambia wale wanaodai eti kwa kuwa Yesu hana baba basi baba yake ni Mungu hao ndio Allah kawakataa, Allah anapotaka jambo huliambia KUWA linakua hakuna haja ya kumpanda mtu mimba ya kiumbe wake Yesu itokee, japo bado kuna watu akili zao haziko sawa wanamfanya binadamu mwenzao aliekuwa ananyoa vuzi kama wao kuwa ni Mungu, ni akili mbovu tu
Sina tatizo na yupi wa kuabudiwa,nauliza kwanini unasujudia jiwe jeusi??😂😂kwenye reli tafadhali usiruke ruke kama farasi.3.Jiwe jeusi halina shida, mbona Quran iko wazi Allah ndio Mungu sasa wewe umevurugwa wapi? Quran imenyooka wa kuabudiwa ni Allah haya mengine ni hatua tu
Acha upumbavu mkuu,kuwa na imani haimaanishi uwe mpumbavu😄😄nyota haitoi mwanga wenye nguvu kuangaza popote duniani isipokuwa jua peke yake na mwezi ambao huakisi juani.4.Hoja ya nyota imekushinda unaruka ruka sasa kama unawabishia hawa mimi nikusaidie nini 😂😂😂😂 vinginevyo labda kiingereza kuwa ni shida yako
WAKATI WA USIKU, NYOTA INAMULIKA ANGA NA KUTOA MWANGA ,
Ndio maana tunasema Allah sio Mungu,uelewe sasa😂😂😂na hivi ndivyo Allah amesema kwenye Quran tukufu kabisa , au hawa pia huwataka wamekugeuka 😂😂
View attachment 3131285
Kwahiyo Jacob alikuwa hana dini?Nabii Yakubu (Jacob) alikuwa ni mtumishi wa Mungu aliyeishi kabla ya Uislamu, Ukristo, au Uyahudi kujitokeza kama dini zilivyo leo. Katika Uyahudi na Ukristo, anachukuliwa kama mmoja wa mababu wa taifa la Israeli. Katika Uislamu, Yakub anaheshimiwa kama nabii na mmoja wa mitume wa Mwenyezi Mungu, lakini Uislamu ulianzishwa na Mtume Muhammad karne nyingi baada ya maisha ya Yakub.
Kwa hiyo, ingawa Yakub anaheshimiwa katika Uislamu kama nabii, hakuwa "Mwislamu" kwa maana ya kufuata dini ya Kiislamu, bali alikuwa mfuasi wa Mungu Mmoja aliyehubiri ujumbe wa kumtii Mwenyezi Mungu, sawa na manabii wengine waliomtangulia Muhammad.
1. Hivi ni vichekesho kuamini Yesu Mungu kuna husika vip na kukataa vitabu vya Mungu wenu? binadamu unawezaje kukataa vitabu vya Mungu kuwa HAVIFAI hapa ndio HOJA ilipo acha kupuyanga 😂😂 yaani unafuta vitabu vya Mungu ukiulizwa unasema kwani wote si tunaamini Yesu ni Mungu wewe jamaa kichwani ziko sawa!!, tuambie hapa kwa mamlaka gani binadamu anaweza kufuta vitabu 6 vya Mungu acha kupuyangaKati ya hao wakristo uliowataja ni kundi lipi linaamini Yesu hakuzaliwa,hakufa wala hakufufuka??
Ahaa kwahiyo wewe unaamini Mungu alitoa agizo tu kwa kauli na mimba ikatungwa kwa mariam???
Au wewe unaamini Mungu hawezi hili mpaka awe na mke chumbani😂😂😂
Sina tatizo na yupi wa kuabudiwa,nauliza kwanini unasujudia jiwe jeusi??😂😂kwenye reli tafadhali usiruke ruke kama farasi.
Acha upumbavu mkuu,kuwa na imani haimaanishi uwe mpumbavu😄😄nyota haitoi mwanga wenye nguvu kuangaza popote duniani isipokuwa jua peke yake na mwezi ambao huakisi juani.
Ndio maana tunasema Allah sio Mungu,uelewe sasa😂😂😂
Acha kupaniki Mkuu Mimi mwenyewe ni Muislamu wakati mwingine lazima uwe unafanya tafakuri ya mambo kwa kina. Nime highlight hilo Kumuabudu hapo. Sasa nakupa maana ya Kuabudu ili na wewe ufikirie kwa akili yako uliyopewa na Mungu.Kwahiyo Jacob alikuwa hana dini?
Unataka kutuambia kuwa Jacob alikuwa mpagani?
Alafu Cha kushangaza umeeleza habari za Jacob Kwa hisia zako na akili zako badala ya kutumia mandiko au haujui kuwa Jacob alikuwa nabii wa Mungu
Quran 2:133
- Je! Mlikuwapo yalipo mfikia Yaaqub mauti, akawaambia wanawe: Mtamuabudu nani baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is- hak, Mungu Mmoja tu, na sisi tunasilimu kwake.
Hilo andiko hapo Allah anaanza Kwa kuliza swali na wanaoulizwa hapo ni makafiri kama wewe walikuwa wanasema Jacob alikuwa mpagani
Alafu Allah anaendelea kuelezea manano ya mwisho ya nabii Jacob aliyo waambia wanawe kuwa wasitoke katika mstari waendelee kumuabudu Mungu mmoja tu
Wewe unatakiwa utaje dini ya Jacob Ili Quran ionekane imedanganya hapo iliposema Jacob na kizazi chake wote walikuwa waislam
Nimecheka kinoma😁😁Kwa hiyo uisilamu haukuletwa na Muhamedi na wala hauongozwi na qurani maana vyote hivyo havikuwepo enzi za muisilamu Yakobo