mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Unaibua hoja mpya ambazo sijauliza,nimeuliza walioacha vitabu 6 au ambao bado wanavyo wanapishana katika msingi wa imani ya kiskristo??soma taratibu kaka hii sio futari ya mihogo ukiwa umefunga usiharakie kujibu.1. Hivi ni vichekesho kuamini Yesu Mungu kuna husika vip na kukataa vitabu vya Mungu wenu?
hoja ya Uungu wa Yesu ni kubwa sana kwako na kwa kipenzi chako aliyekufundisha.
kichwa changu kiko sawa kabisa ndio maana nakuuliza tena ni vitabu vya Mungu vyenye sheria zipi ambazo hazifahamiki??lakini reply ya ngapi sijui hii hujibu😁😁binadamu unawezaje kukataa vitabu vya Mungu kuwa HAVIFAI hapa ndio HOJA ilipo acha kupuyanga 😂😂 yaani unafuta vitabu vya Mungu ukiulizwa unasema kwani wote si tunaamini Yesu ni Mungu wewe jamaa kichwani ziko sawa!!, tuambie hapa kwa mamlaka gani binadamu anaweza kufuta vitabu 6 vya Mungu acha kupuyanga
hii ni heshima ambayo huwezi mpa bata au mende aliyeumbwa na Mungu kama wewe ila jiwe,unaliheshimu kwa sifa gani lilizo nazo???2.Sijda ni heshima tu kama ambavyo mnaweza kuheshimubyale masanamu pale kanisani na kuyapigia magoti, hakuna kingine pale , ndio maana swala ni 5 na hakuna jiwe wala pango ndani yake , au kile kisanamu cha Mungu wenu mule kanisani akiwa kavalishwa kachupi na miba kichwani si mnakapigia magoti na kupiga ishara ya msalaba, kumbe mnaabudu kale kasanamu?😂😂😂hizo ni heshima tu za kumbukizi hakuna la ajabu
wanaosujudia sanamu ya maria hawajaanzia ktk yale mamidoli wameanzia kwa wahusika wenyewe,wakaja picha zinaofanania nao na mpaka masanamu yao,wewe hilo banda lina nini??mpaka mnauana ili mguse dhambi zifutwe🤣🤣🤣🤣
Wacha nikufundishe sayansi ya unajimu sheikh maandazi kashata bin bajia,shule huwa sio kipaumbele kwenu.3.Haya bishana na watu wa BBC kuwa nyota haitoi mwanga , shida ni kufikiri Allah ana bahatisha , eti nyota haitoa Mwanga hapo inatoa masikio yako 😂😂😂😂😂😂, nimeshakwambia hapa umekutana na mtaalamu aswa
View attachment 3131307
Enough light to be seen ni huo mwanga unaoufanya uione nyota,sio mwanga wa nyota kumulika uso wa dunia wewe maandazi.
Hapo unaambiwa kuna nyota mpaka tunakuja kuziona ziliishakufa na zingine bado hatujafanikiwa kuziona,sio kutumulikia.