Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

Kwa kuwa yaliandikwa kwamba Yesu atarudi pale Biblia ikishahubiriwa kwa kila kiumbe. Nawashukuru sana kwani sasa mnajisomea wenyewe.
 
Ni uzuzu wa ki Imani ambao unasumbua watu wengi.
Wewe Dini Yako imeletwa kupitia Muhammad kwanini usi komae kwenye Mafundisho ya Muhammad ili uwe na mwisho mwema.

Yaani usipo muhusisha Ibrahim au Yakubu katika Imani Yako unahisi itakua na mapungufu!!!

Uislam umekuja miaka mingi Sana baada ya u kristo na Dini ya Mayahudi
Nivizuri kuji kita kwenye uislam wa Muhammad unao ulewa zaidi kuliko kulazimisha Yakubu awe mwislam au Ibrahim awe mwislam vitu ambavyo ata wao uko walipo Wana shangaa.
 
Kwa mujibu wa Biblia huyu mtoto kijakazi aliambiwa hivi;

Mwanzo 16
11 Malaika wa Bwana akamwambia, Tazama! Wewe una mimba, utazaa mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Ishmaeli, maana Bwana amesikia kilio cha mateso yako.

Na pia aliambiwa hivi;

Mwanzo 16
12 Naye atakuwa kama punda-mwitu kati ya watu, mkono wake utakuwa juu ya watu wote na mkono wa watu wote utakuwa juu yake, naye atakaa mbele yao ndugu zake wote

Hivyo usishangae kwa wanayoyafanya waarabu na wanayofanywa na mataifa mengine.
 
Hahaaa hata kama alkuw yeye(yakobo) Imam pamoja na baba zake,na watoto wake wote,lkn sis tutakuw wakristo mpaka kifo ila tuna heshmu iman ya kila mtu kwakuw hatukufundshwa kuwakata maskio waliomkamata Bwana Yesu.Kila mtuu aabudu anacho kiamin.Lakin asante kwa maoni na juhud zako za dhat za kuieneza iman yako, keep it up!
 
Uongo mwingine hadi unaonekana kibweka.Kwa hiyo uislamu ulikuwepo kabla haujakuwepo?
 
Naomba unitajie nguzo za uislam na kama Nabii Yakub naye alizifuata/zifanya hizo nguzo 5 za Uislamu?
 
waafrika bwana, dah
 

Dini ni ulevi, dini zina addiction. Ili kuamini hizi dini ni lazima ujiondoe ufahamu, uache kufikiri na uishi kwa mawazo ya watu wengine. Huu ni utumwa wa fikra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…