Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

Wadau hamjamboni nyote?

Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."

Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.

Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.

Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali

Niwatakie siku njema wapendwa

Nukuu:

Surah Al-Baqarah Ayat 133

أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ
Mkuu hata historia ya std4 haujasoma?

Miaka elfu ngapi toka Yakobo hadi kuzaliwa Mwamed?
 
Nabii Yakubu (Jacob) alikuwa ni mtumishi wa Mungu aliyeishi kabla ya Uislamu, Ukristo, au Uyahudi kujitokeza kama dini zilivyo leo. Katika Uyahudi na Ukristo, anachukuliwa kama mmoja wa mababu wa taifa la Israeli. Katika Uislamu, Yakub anaheshimiwa kama nabii na mmoja wa mitume wa Mwenyezi Mungu, lakini Uislamu ulianzishwa na Mtume Muhammad karne nyingi baada ya maisha ya Yakub.

Kwa hiyo, ingawa Yakub anaheshimiwa katika Uislamu kama nabii, hakuwa "Mwislamu" kwa maana ya kufuata dini ya Kiislamu, bali alikuwa mfuasi wa Mungu Mmoja aliyehubiri ujumbe wa kumtii Mwenyezi Mungu, sawa na manabii wengine waliomtangulia Muhammad.

Naomba Nisahihishe Ufahamu kidogo.

Uislamu unatokana na neno salaam yaani AMANI. Uislamu ni Dini Inayoamini katika Mungu mmoja asiye na Mshirika asiye Fanana na Kitu chochote.

MSINGI MKUU WA UISLAMU NI KUAMINI ANAESTAHILI KUABUDIWA NI MWENYEZI MUNGU (ALLAH) PEKEE NA ASISHIRIKISHWE PAMOJA NA YEYE CHOCHOTE.

UISLAMU UNAKANUSHA IBAADA ZA MIUNGU KAMA VILE KUABUDU MIZIMU ,, MAJINI,, MALAIKA,, MANABII/MITUME NK.

IMANI HII IMEKUWEPO TANGU KWA NABII ADAMU KISHA NUHU ,,........ HADI KUISHIA KWA MTUME WA MWISHO MUHAMMAD (SWALA NA SALAMU ZIWE JUU YAO WOTE)

HII INAMAANISHA MITUME NA MANABII WOTE WALIKUWA KATIKA IMAANI YA UISLAMU.

LAKINI SHERIA NYENGINE KAMA VILE NAMNA YA KUSWALI MFANO IDADI YA RAKAA AU IDADI YA SWALA PIA NAMNA YA KUFUNGA NA SHERIA NYENGINE AMBAZO KATIKA UISLAMU ZINAITWA (FIQH) HIZO ZILIBADILIKA KADRI YA MATAKWA YA ALLAH KWA HEKIMA ZAKE.

LAKINI MSINGI WA KUMUABUDU ALLAH PEKEE (TAWHEED) ULIBAKI PALE PALE NA NDIO MSINGI WA UISLAMU.

USHAHIDI

1) IBRAHIM NA KIZAZI CHAKE WALIKUWA NI WAISLAMU.

{ وَوَصَّىٰ بِهَآ إِبۡرَٰهِـۧمُ بَنِيهِ وَيَعۡقُوبُ يَٰبَنِيَّ إِنَّ ٱللَّهَ ٱصۡطَفَىٰ لَكُمُ ٱلدِّينَ فَلَا تَمُوتُنَّ إِلَّا وَأَنتُم مُّسۡلِمُونَ }
[Surah Al-Baqarah: 132]

Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.

2) ISSA (YESU) NA WANAFUNZI WAKE WALIKUWA NI WAISLAMU.

{ ۞فَلَمَّآ أَحَسَّ عِيسَىٰ مِنۡهُمُ ٱلۡكُفۡرَ قَالَ مَنۡ أَنصَارِيٓ إِلَى ٱللَّهِۖ قَالَ ٱلۡحَوَارِيُّونَ نَحۡنُ أَنصَارُ ٱللَّهِ ءَامَنَّا بِٱللَّهِ وَٱشۡهَدۡ بِأَنَّا مُسۡلِمُونَ }
[Surah Āli-ʿImrān: 52]

Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.

3) MUSSA NA WATU WAKE WALIKUWA NI WAISLAMU

{ وَقَالَ مُوسَىٰ يَٰقَوۡمِ إِن كُنتُمۡ ءَامَنتُم بِٱللَّهِ فَعَلَيۡهِ تَوَكَّلُوٓاْ إِن كُنتُم مُّسۡلِمِينَ }
[Surah Yūnus: 84]

Na Musa alisema: Enyi watu wangu! Ikiwa nyinyi mmemuamini Mwenyezi Mungu, basi mtegemeeni Yeye, ikiwa nyinyi ni Waislamu.

KATI YA NABII MMOJA NA MWENGINE WATU WALIACHA MAFUNDISHO NA KUINGIA KATIKA IBAADA ZA KISHIRIKINA MFANO KUABUDU MASANAMU NA KUWAABUDU WAJA WEMA WALIOWATANGULIA.

ALIPOKUJA NABII MWENGINE AKALINGANIA TENA WARUDI KATIKA KUABUDU MUNGU MMOJA HADI IKAFIKA KWA MTUME MUHAMMAD KWANI NA YEYE ALIKUTA IBADA NYINGI ZA KISHIRIKINA ZINAFANYWA NA YEYE AKAWALINGANIA WARUDI KATIKA MILA YA KINA NABII IBRAHIM KWANI WAO WALIKUWA NI WAISLAMU.

UISLAMU SIO DINI YA MUHAMMAD NI DINI YA MITUME WOTE.

NA WALA MUSA HAKUWA MYAHUDI WALA ISSA WALA WANAFUNZI WAKE HAWAKUWA WAKRISTO. IMANI HIZO ZILIZUKA BAADA YA MITUME HIYO KUONDOKA NA KISHA SHETANI KUWAPOTEZA WATU NA KUANZA TENA KUABUDU MIUNGU MENGINE AU DINI ZENGINE WALIZOZITUNGA WAO WENYEWE.
 
Kaka tunapokosea ni kutaka kuthibitisha uhalali wa kitu kwenye kitabu ambacho unaowaambia hawakiamini
Ingekua busara kama ungethibitisha uislam wa yakobo kwenye biblia na sio hizo hekaya za abunuasi

Yale Yale ya YESU alisulubiwa YESU hakusulubiwa ,inategemea inasoma kitabu kipo

Jacob na nduguye esau walikua ni wayahudi kamili wakitio sadaka ya kuteketeza na kufata Imani ya baba Yao Isack

Sio sahihi kusema yakobo alikua mkristo au muislam kwakua alikuwako kabla ya huu ukristo unaouna Leo na huu uislam wa kujilipua wa sasa ,Uislam ni dini ya juzi kabisa ambayo imeletwa na muhamad.

Dini Yako ni ya muhamad wakeze na maswahaba zake,kabla yake Hakukua na uislam ,Bali wakristo ,mayaudi na waabudu sanamu (wapagani),
 
Mazinde ndio anawalishaga upuuzi huu. Hao ni wa kuwaonea huruma tu.
Huwa hawafikirii kabisa hawa jamaa keshokutwa watakuja watakuambia Yesu alikuwa Muislamu. Halafu ikiwauliza mbona Muhamad anasema yeye ndo wa kwanza katika waliosilimu akifuatiwa na majini. Hawana majibu. Watakuambia Adam alikuwa muislamu. Mi nawaambia sawa wawachukue wote waislamu. Mbona siyo issue. Wanakosa maneno. Kesho utasikia Ronaldo ni muislamu.nawaaambia haya. Mchukueni. Kipindi cha nyuma walisema Obama ni muislamu. Nikasema haya.... Wana ulimbukeni wa ajabu sana.
 
Naomba Nisahihishe Ufahamu kidogo.

Uislamu unatokana na neno salaam yaani AMANI. Uislamu ni Dini Inayoamini katika Mungu mmoja asiye na Mshirika asiye Fanana na Kitu chochote.

MSINGI MKUU WA UISLAMU NI KUAMINI ANAESTAHILI KUABUDIWA NI MWENYEZI MUNGU (ALLAH) PEKEE NA ASISHIRIKISHWE PAMOJA NA YEYE CHOCHOTE.

UISLAMU UNAKANUSHA IBAADA ZA MIUNGU KAMA VILE KUABUDU MIZIMU ,, MAJINI,, MALAIKA,, MANABII/MITUME NK.

IMANI HII IMEKUWEPO TANGU KWA NABII ADAMU KISHA NUHU ,,........ HADI KUISHIA KWA MTUME WA MWISHO MUHAMMAD (SWALA NA SALAMU ZIWE JUU YAO WOTE)

HII INAMAANISHA MITUME NA MANABII WOTE WALIKUWA KATIKA IMAANI YA UISLAMU.

LAKINI SHERIA NYENGINE KAMA VILE NAMNA YA KUSWALI MFANO IDADI YA RAKAA AU IDADI YA SWALA PIA NAMNA YA KUFUNGA NA SHERIA NYENGINE AMBAZO KATIKA UISLAMU ZINAITWA (FIQH) HIZO ZILIBADILIKA KADRI YA MATAKWA YA ALLAH KWA HEKIMA ZAKE.

LAKINI MSINGI WA KUMUABUDU ALLAH PEKEE (TAWHEED) ULIBAKI PALE PALE NA NDIO MSINGI WA UISLAMU.

USHAHIDI

1) IBRAHIM NA KIZAZI CHAKE WALIKUWA NI WAISLAMU.

{ وَوَصَّىٰ بِهَآ إِبۡرَٰهِـۧمُ بَنِيهِ وَيَعۡقُوبُ يَٰبَنِيَّ إِنَّ ٱللَّهَ ٱصۡطَفَىٰ لَكُمُ ٱلدِّينَ فَلَا تَمُوتُنَّ إِلَّا وَأَنتُم مُّسۡلِمُونَ }
[Surah Al-Baqarah: 132]

Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.

2) ISSA (YESU) NA WANAFUNZI WAKE WALIKUWA NI WAISLAMU.

{ ۞فَلَمَّآ أَحَسَّ عِيسَىٰ مِنۡهُمُ ٱلۡكُفۡرَ قَالَ مَنۡ أَنصَارِيٓ إِلَى ٱللَّهِۖ قَالَ ٱلۡحَوَارِيُّونَ نَحۡنُ أَنصَارُ ٱللَّهِ ءَامَنَّا بِٱللَّهِ وَٱشۡهَدۡ بِأَنَّا مُسۡلِمُونَ }
[Surah Āli-ʿImrān: 52]

Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.

3) MUSSA NA WATU WAKE WALIKUWA NI WAISLAMU

{ وَقَالَ مُوسَىٰ يَٰقَوۡمِ إِن كُنتُمۡ ءَامَنتُم بِٱللَّهِ فَعَلَيۡهِ تَوَكَّلُوٓاْ إِن كُنتُم مُّسۡلِمِينَ }
[Surah Yūnus: 84]

Na Musa alisema: Enyi watu wangu! Ikiwa nyinyi mmemuamini Mwenyezi Mungu, basi mtegemeeni Yeye, ikiwa nyinyi ni Waislamu.

KATI YA NABII MMOJA NA MWENGINE WATU WALIACHA MAFUNDISHO NA KUINGIA KATIKA IBAADA ZA KISHIRIKINA MFANO KUABUDU MASANAMU NA KUWAABUDU WAJA WEMA WALIOWATANGULIA.

ALIPOKUJA NABII MWENGINE AKALINGANIA TENA WARUDI KATIKA KUABUDU MUNGU MMOJA HADI IKAFIKA KWA MTUME MUHAMMAD KWANI NA YEYE ALIKUTA IBADA NYINGI ZA KISHIRIKINA ZINAFANYWA NA YEYE AKAWALINGANIA WARUDI KATIKA MILA YA KINA NABII IBRAHIM KWANI WAO WALIKUWA NI WAISLAMU.

UISLAMU SIO DINI YA MUHAMMAD NI DINI YA MITUME WOTE.

NA WALA MUSA HAKUWA MYAHUDI WALA ISSA WALA WANAFUNZI WAKE HAWAKUWA WAKRISTO. IMANI HIZO ZILIZUKA BAADA YA MITUME HIYO KUONDOKA NA KISHA SHETANI KUWAPOTEZA WATU NA KUANZA TENA KUABUDU MIUNGU MENGINE AU DINI ZENGINE WALIZOZITUNGA WAO WENYEWE.

Huwa kuna bhangi maalum mnavuta? 😁
 
Wadau hamjamboni nyote?

Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."

Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.

Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.

Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali

Niwatakie siku njema wapendwa

Nukuu:

Surah Al-Baqarah Ayat 133

أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ
Quran ni kitabu ya kutungwa uislam umeanzishwa lini na wapi na jacobo alishi wapi na lini?
 
M
Nabii Yakubu (Jacob) alikuwa ni mtumishi wa Mungu aliyeishi kabla ya Uislamu, Ukristo, au Uyahudi kujitokeza kama dini zilivyo leo. Katika Uyahudi na Ukristo, anachukuliwa kama mmoja wa mababu wa taifa la Israeli. Katika Uislamu, Yakub anaheshimiwa kama nabii na mmoja wa mitume wa Mwenyezi Mungu, lakini Uislamu ulianzishwa na Mtume Muhammad karne nyingi baada ya maisha ya Yakub.

Kwa hiyo, ingawa Yakub anaheshimiwa katika Uislamu kama nabii, hakuwa "Mwislamu" kwa maana ya kufuata dini ya Kiislamu, bali alikuwa mfuasi wa Mungu Mmoja aliyehubiri ujumbe wa kumtii Mwenyezi Mungu, sawa na manabii wengine waliomtangulia Muhammad.
Muhammad ni nabii wa allah na wala si nabii wa Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakobo.
Allah ana nabii mmoja

Kwa hiyo mimi mmanyema ninayeamini Mungu wangu mmoja ambaye ni ndege na najisalimisha kwake nakuwa automatically muislam?Hebu acheni uhuni bhana.
Budhism ni monotheistic religion na wanajisalimisha kwa Mungu wao mbona hamuwaterm kama waislam?
Hii dini ya kukopi na kupesti ina longolongo kibao sana
 
Nabii Yakubu (Jacob) alikuwa ni mtumishi wa Mungu aliyeishi kabla ya Uislamu, Ukristo, au Uyahudi kujitokeza kama dini zilivyo leo. Katika Uyahudi na Ukristo, anachukuliwa kama mmoja wa mababu wa taifa la Israeli. Katika Uislamu, Yakub anaheshimiwa kama nabii na mmoja wa mitume wa Mwenyezi Mungu, lakini Uislamu ulianzishwa na Mtume Muhammad karne nyingi baada ya maisha ya Yakub.

Kwa hiyo, ingawa Yakub anaheshimiwa katika Uislamu kama nabii, hakuwa "Mwislamu" kwa maana ya kufuata dini ya Kiislamu, bali alikuwa mfuasi wa Mungu Mmoja aliyehubiri ujumbe wa kumtii Mwenyezi Mungu, sawa na manabii wengine waliomtangulia Muhammad.
Pin
 
Kaka tunapokosea ni kutaka kuthibitisha uhalali wa kitu kwenye kitabu ambacho unaowaambia hawakiamini
Ingekua busara kama ungethibitisha uislam wa yakobo kwenye biblia na sio hizo HEKAYA ZA ABUNUASI

Yale Yale ya YESU alisulubiwa YESU hakusulubiwa ,inategemea inasoma kitabu kipo

Jacob na nduguye esau walikua ni wayahudi kamili wakitio sadaka ya kuteketeza na kufata Imani ya baba Yao Isack

Sio sahihi kusema yakobo alikua mkristo au muislam kwakua alikuwako kabla ya huu ukristo unaouna Leo na huu uislam wa kujilipua wa sasa ,Uislam ni dini ya juzi kabisa ambayo imeletwa na muhamad.

Dini Yako ni ya muhamad wakeze na maswahaba zake,kabla yake Hakukua na uislam ,Bali wakristo ,mayaudi na waabudu sanamu (wapagani),

HIVI kuna kitabu cha hekaya za abunuasi kinacho zidi bibilia ambayo imeshindwa kuthibitisha dini ya yakobo.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."

Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.

Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.

Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali

Niwatakie siku njema wapendwa

Nukuu:

Surah Al-Baqarah Ayat 133

أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ
Yani ushahidi unautoa kwenye kijitabu unacho kiamini wewe ,kitabu ambacho kime copy na ku edit yaliyo andikwa na mitume wa zamani yakawekwa kwa lugha ya kiarabu ndio unataka wote tuamini hiko?
 
Huyu amepigwa nyingi za usoni sidhani kama ana neno bado la kusema inabidi anyooshe mikono tuu akubali ukweli naa abadilike ✍️
 
Wadau hamjamboni nyote?

Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."

Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.

Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.

Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali

Niwatakie siku njema wapendwa

Nukuu:

Surah Al-Baqarah Ayat 133

أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ
Yaani hawa kobazi akili zao hivi dini ya uislamu ilianzishwa na mtume karne ya 622 AD na alikuwa mtume wa mwisho huyu alikuwaje muislamu wakati alikuwepo hata uislamu haujaenezwa na mtume wenu mwisho wayahudi waliokuwa utumwani misri walikuwa wapalestina
 
Hii dini ya mwamedi imezaliwa na ukristi, na bila kupepesa macho dini ya mwamedi inaamini ktk Yesu na Bikra Maria. Ndio maana Yesu na Bikra Maria wameandikwa sana ktk kuran. Kama haitoshi hata mitume wengine wa kikristi wameandikwa ktk kuran.
Lakini kamwe haijawah tokea mwamedi akaandikwa hata kwa bahat mbaya kwenye kitabu cha story za watoto wa kikristi...
Mwamed ndio aliyekuja kupotosha baada ya kusomeshwa na wakristi akajua kusoma na kuandika ndipo akatupotosha tukaanza kuamini ktk majini ushirikina uganga na kupiga ramli, ndio maana ukienda kwa mganga utakuta mazingira yanayofanana na uislam unaweza hata kuswali.

Umasikini njaa na kukosa elimu ni suna ktk imani yetu tuna amini tutaiona pepo💩
Anyways hizi dini zimeletwa na meli mlivyo wapuuzi mnagombana waafrika wakat waarabu wenye dini yao wanakula kitimoto na bia...

Me napenda ugomvi
 
Wadau hamjamboni nyote?

Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."

Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.

Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.

Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali

Niwatakie siku njema wapendwa

Nukuu:

Surah Al-Baqarah Ayat 133

أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ
Uislam unaongozwa na Quran na Quran kashushiwa nabii Muhammad karne ya sita bahada ya Yesu sasa utuambie uislam wa Yakobo ulikuwa unaongozwa na kitabu gani vinginevyo ni uzushi tu umejisikia kuzusha
 
Hii dini ya mwamedi imezaliwa na ukristi, na bila kupepesa macho dini ya mwamedi inaamini ktk Yesu na Bikra Maria. Ndio maana Yesu na Bikra Maria wameandikwa sana ktk kuran. Kama haitoshi hata mitume wengine wa kikristi wameandikwa ktk kuran.
Lakini kamwe haijawah tokea mwamedi akaandikwa hata kwa bahat mbaya kwenye kitabu cha story za watoto wa kikristi...
Mwamed ndio aliyekuja kupotosha baada ya kusomeshwa na wakristi akajua kusoma na kuandika ndipo akatupotosha tukaanza kuamini ktk majini ushirikina uganga na kupiga ramli, ndio maana ukienda kwa mganga utakuta mazingira yanayofanana na uislam unaweza hata kuswali.

Umasikini njaa na kukosa elimu ni suna ktk imani yetu tuna amini tutaiona pepo💩
Anyways hizi dini zimeletwa na meli mlivyo wapuuzi mnagombana waafrika wakat waarabu wenye dini yao wanakula kitimoto na bia...

Me napenda ugomvi
Ukiona mtu anaamini
1. Torati
2. Manabii
3. Injili
Harafu anausema Ukristo vibaya muulize dini yako nini?
Waisram hivyo wanaamini.
 
Hii dini ya mwamedi imezaliwa na ukristi, na bila kupepesa macho dini ya mwamedi inaamini ktk Yesu na Bikra Maria. Ndio maana Yesu na Bikra Maria wameandikwa sana ktk kuran. Kama haitoshi hata mitume wengine wa kikristi wameandikwa ktk kuran.
Lakini kamwe haijawah tokea mwamedi akaandikwa hata kwa bahat mbaya kwenye kitabu cha story za watoto wa kikristi...
Mwamed ndio aliyekuja kupotosha baada ya kusomeshwa na wakristi akajua kusoma na kuandika ndipo akatupotosha tukaanza kuamini ktk majini ushirikina uganga na kupiga ramli, ndio maana ukienda kwa mganga utakuta mazingira yanayofanana na uislam unaweza hata kuswali.

Umasikini njaa na kukosa elimu ni suna ktk imani yetu tuna amini tutaiona pepo💩
Anyways hizi dini zimeletwa na meli mlivyo wapuuzi mnagombana waafrika wakat aarabu wenye dini yao wanakula kitimoto na bia...

Me napenda ugomvi
Duu halafu hii Kikristi ha ha ha ha
 
M
Wadau hamjamboni nyote?

Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your fathers, Abraham and Ishmael and Isaac - one God. And we are Muslims [in submission] to Him."

Je! mlikuwa mashahidi yalipo mfikia Yakubu mauti alipo waambia wanawe: Je! Mtaabudu nini baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is-haq, Mungu Mmoja. Na sisi ni Waislamu kwa ajili yake.

Nimeweka ushahidi wa aya hivyo niombe ukiamua kuchangia basi uje na aya.

Niombe pia kwa wanazuoni na wasomi wenye ilimu mnisahihishe kama nimetafsiri vibaya aya hiyo tafadhali

Niwatakie siku njema wapendwa

Nukuu:

Surah Al-Baqarah Ayat 133

أَمۡ كُنتُمۡ شُهَدَآءَ إِذۡ حَضَرَ يَعۡقُوبَ ٱلۡمَوۡتُ إِذۡ قَالَ لِبَنِيهِ مَا تَعۡبُدُونَ مِنۢ بَعۡدِيۖ قَالُواْ نَعۡبُدُ إِلَٰهَكَ وَإِلَٰهَ ءَابَآئِكَ إِبۡرَٰهِـۧمَ وَإِسۡمَٰعِيلَ وَإِسۡحَٰقَ إِلَٰهٗا وَٰحِدٗا وَنَحۡنُ لَهُۥ مُسۡلِمُونَ
Mungu gani huyo mmoja? Sema kuna Mungu na miungu labda ndiyo unayoiongelea hapa kwenye kijiwe, halafu hiyo miguu ya ndege uliochora chora hapo hatuijui, tupe tafsiri .

Kuna Mungu wa Ibrahim, Mungu Isaka na Mungu wa Yakobo, baada ya hapo ni KRISTO YESU.
 
Back
Top Bottom